Tairi bovu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2017
- 3,063
- 2,985
yamesemwa mengi juu yako. yamefanyika mengi ya kuudhi na kukinahisha kama sio kuria kinyaa juu yako. unaidhalilisha jamii yetu ya watanzania. umekuwa ukitenda ya hovyohovyo! wewe ni mtu gani?
1) ujipige picha za utupu mwenyewe , uzipost zenyewe kisha uje kulia mbele y ho wanaoitwa wandshi kama kweli ati unaomba msamaha. unachefua na kukera
1) ujipige picha za utupu mwenyewe , uzipost zenyewe kisha uje kulia mbele y ho wanaoitwa wandshi kama kweli ati unaomba msamaha. unachefua na kukera