Wema Sepetu akiri kosa aomba radhi kwa Watanzania kuhusu video yake chafu iliyosambaa mitandaoni

Wema Sepetu akiri kosa aomba radhi kwa Watanzania kuhusu video yake chafu iliyosambaa mitandaoni

yamesemwa mengi juu yako. yamefanyika mengi ya kuudhi na kukinahisha kama sio kuria kinyaa juu yako. unaidhalilisha jamii yetu ya watanzania. umekuwa ukitenda ya hovyohovyo! wewe ni mtu gani?
1) ujipige picha za utupu mwenyewe , uzipost zenyewe kisha uje kulia mbele y ho wanaoitwa wandshi kama kweli ati unaomba msamaha. unachefua na kukera
 
Waandishi Wa Habari Wa Tanzania Ni Tatizo
Mnawezaje Kuitikia Wito Wa Huyo Mtu Anayejitia Aibu Kwa Kishindo Halafu Jamii Yake Wala Haijashtuka


Mjifunze Kuchagua
Mnapoitwa Na Kuitikia Wito
Huyo Dada Ni Wa Kupuuza
Utashangaa Kesho Eti Hii Nayo Itakuwa
Front Page


Wema Ni Wa Kupuuzwa
Ndiyo Alikuwa Kwenye" Mama Ongea Na Mwanao Campaign "
Ashazoea kuliwa 0712 pia itakuwa
Ndomana ubongo wake umevurugika

Ova
 
Back
Top Bottom