Wema Sepetu kwanini anadanganya umri? Ushahidi huu hapa

Ni kwasababu ye anahesabu masaa 12 tu ya mchana usiku akilala hiyo haiingii kwenye hesabu ya umri
Kwahiyo miaka miwili ni sawa na mwaka mmoja kwake
 
Hili LIBIBI la kuitwa WEMA tangu niko vidudu naliona kwenye TV, lakini nimekua mpaka nimeolewa jamani haki ya mungu huwezi amini tunalingana nae umri sasa hivi.

Mimi nilikuwa vidudu enzi hizo namuona, leo wote tuna miaka SELASINI

Lamomy
 
Hiyo miaka inatusaidia nini!
Yaani Wikipedia ndio ushahidi?

Akili yako unaijua .wenyewe
 
Hili LIBIBI la kuitwa WEMA tangu niko vidudu naliona kwenye TV, lakini nimekua mpaka nimeolewa jamani haki ya mungu huwezi amini tunalingana nae umri sasa hivi.

Mimi nilikuwa vidudu enzi hizo namuona, leo wote tuna miaka SELASINI

Lamomy
Mwenyewe wizo nimeshangaa Wema anatwaa taji la Miss Tz niko baby class ila now tuko same age 🤣🤣🤣🤣
Bongo sihami
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…