kwa hiyo wewe ndio una upeo wa kutosha 🤣🤣🤣"... chaguo la waTanzania wengi" wasiokuwa na upeo wa kutosha!
"chaguo", kati ya nani na nani; Samia Kikwete na Magufuli?
Akumbukwe kwa "uzuri", mabaya yake yasifikiriwe kabisa kwenye mizani ya kupimia hayo mazuri? Huko ni kupima kwa namna gani huko?
Hayo mabilioni alioiba alizikwa nayo au mbona hatuoni kama familia yake ina hela hizo ulizotajaUngewajua wanasiasa wakubwa wa hadhi za urais namna wanavyoishi usingekuja na haya matusi dhidi ya awamu ya SSH.
Hayati JPM alijua namna ya kucheza na hisia za mtu wa kawaida alijua lugha ya kuongea mbele ya vipaza sauti ili mwananchi aweze kumuona yeye kiongozi ni mwenzake.
JPM alimiliki biashara ya ushoneshaji wa mavazi ya askari magereza kupitia kampuni ya mchina, alipogundua kuwa Mama Kizigha anafanya hiyo biashara na jeshi la magereza akaenda kuongea nao hadharani akaamuru waliopewa hiyo tenda wapokonywe, akijua kwamba yupo mchina wake anayevizia hiyo biashara.
Unaweza kumhukumu Rais Samia ukamuweka kwenye kundi la mafisadi ukiwa hujui chochote kuhusiana na hulka zake binafsi. Kosa linalofanywa sana na watanzania wengi wa huku kwetu bara wanaodhani kwamba SSH anaiba sana serikalini, wanamuweka pembeni hayati JPM aliyekuwa tajiri aliyefahamu kujificha ndani ya mavazi na haiba ya kiongozi mzalendo.
Silent majority ipi? Ni hivi 70% ya waTanzania ni 35 and below maana yake waTanzania wengi wamezaliwa kipindi cha vyama vingi kuliko waliozaliwa kabla ya vyama vingi.Ukweli ni kwamba CCM ni silent majority ulijionyesha tarehe 9 na 25 desemba pale vijana walio wengi wenye uzalendo na taifa lao walipoamua kwamba hakuna tena mtu atakayeiharibu nchi kizembe tu.
CCM hawapo humu mitandaoni wapo huko mikoani, kwenye vitongoji kwa wingi.
Watoto wa Bakhresa au ndugu zake Mo Dewji ukikutana nao unaweza kuwatambua kwa kuwaangalia tu?.Hayo mabilioni alioiba alizikwa nayo au mbona hatuoni kama familia yake ina hela hizo ulizotaja
sometimes unaposema vitu jitahidi kuwa mkweli sio kumsingizia mtu ambapo vitu vipo wazi wazi
wewe unaona kabisa kwa sasa hii inchi ipo sawa?? hadi unasifia eti Magufuli alijiua kuongea na hadhira, mbona mambo aliofanya yalionekana wazi wazi na sio kuongea tu
unazani watu walimpenda magufuli kwa kuongea tu.
Ingekuwa kuongea tu kuna mtu ana maenono matamu kama Kikwete??
Silent Majority wapo huko bara hawapo humu JF wala instagram, wanahudhuria mikutano ya CCM wakipigwa na jua wakati wagombea wakiwa wamekaa vivulini.Silent majority ipi? Ni hivi 70% ya waTanzania ni 35 and below maana yake waTanzania wengi wamezaliwa kipindi cha vyama vingi kuliko waliozaliwa kabla ya vyama vingi.
Sasa kuna kijana chini ya miaka 35 anaweza kuwa moyoni anaipenda CCM? Silent majority ni kwa wale wazee kuanzia 50s huko ila chini ya hapo hakuna mwenye kuipigia kura CCM.
Kama mnajiamini kubalini reforms za katiba na uchaguzi kama CCM haijazikwa rasmi
Nyie ndo huwa mnatulazimisha kukumbuka ushenzi wa hilo shetani lenu la Chato. Mnalitukanisha wenyeweKwa TZ, JPM was a prophet of our time , ni kama maji hata ukiyakataa utayanjwa.
Kwa uharamia uliotokea 29 baada ya mwendawazimu kupewa rungu, we learned kuwa JPM was a prophet of our time. Alikuwa mtume na alimaanisha mengi kwa watanzania.
Haya majambazi ya sasa yaliyoingiza ngono , uasherati na uhawara kwenye nchi wakanajisi kiti cha uraisi hadi kupelekea for the first Time in our history kuingiza nchi kwenye biggest bloodshed; . It is Such a shame kwenye nchi yetu rais kukalia kiti kwa kumwaga damu maelfu ya watanzania.
Nchi imenajisiwa for the first time in history, it took us 60 years kuijenga Tanzania aliyoiacha JPM, it Will take us 60 years kuitakasa nchi aliyoinajisi Samia
Jambo moja I can say for sure : Nchimbi au Majaliwa atakapoingia Madarakani, jambo la kwanza ni samia Kufunguliwa Mashtaka na kundi lake , hata kama akiwa amekufa basi mwili wake ufukuliwe na ufikishwe mahakamni na kujibu mashtaki ya bloodbath, kundi lake lote na familia yake yote ijiandae… it is never over. Chuki na laaana ni kubwa dhidi yenu na kundi lenu….. na haitoweza kumalizwa na ujinga unaofanywa na Mwigulu.
Utawala utakaokuja utawatafuta hata mkikimbilia dubai au saudia kama Idi amini, tunajua mnaanza kupeana ubalozi kwenye nchi za kiarabu ili mkaweke mazingira sawa ya kukimbilia huko na kuficha fedha mnazoiba : be assured mtafuatwa mtakapo kuwa.
Rest well Dr John Joseph Pombe Magufuli (PhD Holder), you had the first opportunity to let the devil go …..but ukataka suluhu which Costed your life …..Once enemy always enemy - Putin philosophy
najua your body is turning around kuona nchi ilivyonajisiwa, uliyemuamini alikusaliti na the saddest part ni wewe kujua kuwa ndio alikuwa ni kigogo mwenyewe being used na majambazi … The devil was just right to your nose….. never to mention kuwa we warned you Lissu hajawahi kuwa your enemy …….
ulikufa na watu wengi na nyuma yako, watanzania wakauliwa madhuluma…. Thinking they have won the game ……….
Time will tell
Acha uongo bara gani? Sahivi utandawazi ni mkubwa, smartphone tu zipo zaidi ya 40 Million. Ina maana mpaka under 18 wanamiliki simu so wanaweza ona Heche kaongea nini na CCM wameiba mabilioni halmashauri gani!!Silent Majority wapo huko bara hawapo humu JF wala instagram, wanahudhuria mikutano ya CCM wakipigwa na jua wakati wagombea wakiwa wamekaa vivulini.
Sio kila kijana chini ya miaka 35 anaichukia CCM yenye kujiweka wazi inafanya nini kila siku.
Chaguzi huru mnazikimbia nyinyi kwa sababu nyingi za kitoto, maisha yanaendelea hakuna wa kusubiriwa.Acha uongo bara gani? Sahivi utandawazi ni mkubwa, smartphone tu zipo zaidi ya 40 Million. Ina maana mpaka under 18 wanamiliki simu so wanaweza ona Heche kaongea nini na CCM wameiba mabilioni halmashauri gani!!
Kama mnajiamini kubalini chaguzi huru na haki kama hamjaaibika
Maisha yanaendelea wapi? Mbona mnalialia maridhiano, sijui tume. Mnajua kabisa waTanzania bado wana chuki na nyie mafisadi na wanawasubiri tu fursa ingine itokee wawaondoshe for good.Chaguzi huru mnazikimbia nyinyi kwa sababu nyingi za kitoto, maisha yanaendelea hakuna wa kusubiriwa.
XKwa TZ, JPM was a prophet of our time , ni kama maji hata ukiyakataa utayanjwa.
Kwa uharamia uliotokea 29 baada ya mwendawazimu kupewa rungu, we learned kuwa JPM was a prophet of our time. Alikuwa mtume na alimaanisha mengi kwa watanzania.
Haya majambazi ya sasa yaliyoingiza ngono , uasherati na uhawara kwenye nchi wakanajisi kiti cha uraisi hadi kupelekea for the first Time in our history kuingiza nchi kwenye biggest bloodshed; . It is Such a shame kwenye nchi yetu rais kukalia kiti kwa kumwaga damu maelfu ya watanzania.
Nchi imenajisiwa for the first time in history, it took us 60 years kuijenga Tanzania aliyoiacha JPM, it Will take us 60 years kuitakasa nchi aliyoinajisi Samia
Jambo moja I can say for sure : Nchimbi au Majaliwa atakapoingia Madarakani, jambo la kwanza ni samia Kufunguliwa Mashtaka na kundi lake , hata kama akiwa amekufa basi mwili wake ufukuliwe na ufikishwe mahakamni na kujibu mashtaki ya bloodbath, kundi lake lote na familia yake yote ijiandae… it is never over. Chuki na laaana ni kubwa dhidi yenu na kundi lenu….. na haitoweza kumalizwa na ujinga unaofanywa na Mwigulu.
Utawala utakaokuja utawatafuta hata mkikimbilia dubai au saudia kama Idi amini, tunajua mnaanza kupeana ubalozi kwenye nchi za kiarabu ili mkaweke mazingira sawa ya kukimbilia huko na kuficha fedha mnazoiba : be assured mtafuatwa mtakapo kuwa.
Rest well Dr John Joseph Pombe Magufuli (PhD Holder), you had the first opportunity to let the devil go …..but ukataka suluhu which Costed your life …..Once enemy always enemy - Putin philosophy
najua your body is turning around kuona nchi ilivyonajisiwa, uliyemuamini alikusaliti na the saddest part ni wewe kujua kuwa ndio alikuwa ni kigogo mwenyewe being used na majambazi … The devil was just right to your nose….. never to mention kuwa we warned you Lissu hajawahi kuwa your enemy …….
ulikufa na watu wengi na nyuma yako, watanzania wakauliwa madhuluma…. Thinking they have won the game ……….
Time will tell
Kwa TZ, JPM was a prophet of our time , ni kama maji hata ukiyakataa utayanjwa.

Hoja nzima ya "wengi" ni ya kijinga tu.Kama wengi hawampendi, anabakije tena chaguo la wengi?
Kama mwaka 2015 asingetokea Magufuli kuwa mgombea es CCM tusingefika hapa tulipofika.Kwa TZ, JPM was a prophet of our time , ni kama maji hata ukiyakataa utayanjwa.
Kwa uharamia uliotokea 29 baada ya mwendawazimu kupewa rungu, we learned kuwa JPM was a prophet of our time. Alikuwa mtume na alimaanisha mengi kwa watanzania.
Haya majambazi ya sasa yaliyoingiza ngono , uasherati na uhawara kwenye nchi wakanajisi kiti cha uraisi hadi kupelekea for the first Time in our history kuingiza nchi kwenye biggest bloodshed; . It is Such a shame kwenye nchi yetu rais kukalia kiti kwa kumwaga damu maelfu ya watanzania.
Nchi imenajisiwa for the first time in history, it took us 60 years kuijenga Tanzania aliyoiacha JPM, it Will take us 60 years kuitakasa nchi aliyoinajisi Samia
Jambo moja I can say for sure : Nchimbi au Majaliwa atakapoingia Madarakani, jambo la kwanza ni samia Kufunguliwa Mashtaka na kundi lake , hata kama akiwa amekufa basi mwili wake ufukuliwe na ufikishwe mahakamni na kujibu mashtaki ya bloodbath, kundi lake lote na familia yake yote ijiandae… it is never over. Chuki na laaana ni kubwa dhidi yenu na kundi lenu….. na haitoweza kumalizwa na ujinga unaofanywa na Mwigulu.
Utawala utakaokuja utawatafuta hata mkikimbilia dubai au saudia kama Idi amini, tunajua mnaanza kupeana ubalozi kwenye nchi za kiarabu ili mkaweke mazingira sawa ya kukimbilia huko na kuficha fedha mnazoiba : be assured mtafuatwa mtakapo kuwa.
Rest well Dr John Joseph Pombe Magufuli (PhD Holder), you had the first opportunity to let the devil go …..but ukataka suluhu which Costed your life …..Once enemy always enemy - Putin philosophy
najua your body is turning around kuona nchi ilivyonajisiwa, uliyemuamini alikusaliti na the saddest part ni wewe kujua kuwa ndio alikuwa ni kigogo mwenyewe being used na majambazi … The devil was just right to your nose….. never to mention kuwa we warned you Lissu hajawahi kuwa your enemy …….
ulikufa na watu wengi na nyuma yako, watanzania wakauliwa madhuluma…. Thinking they have won the game ……….
Time will tell
Machawa nyie mnaopakatwaUngewajua wanasiasa wakubwa wa hadhi za urais namna wanavyoishi usingekuja na haya matusi dhidi ya awamu ya SSH.
Hayati JPM alijua namna ya kucheza na hisia za mtu wa kawaida alijua lugha ya kuongea mbele ya vipaza sauti ili mwananchi aweze kumuona yeye kiongozi ni mwenzake.
JPM alimiliki biashara ya ushoneshaji wa mavazi ya askari magereza kupitia kampuni ya mchina, alipogundua kuwa Mama Kizigha anafanya hiyo biashara na jeshi la magereza akaenda kuongea nao hadharani akaamuru waliopewa hiyo tenda wapokonywe, akijua kwamba yupo mchina wake anayevizia hiyo biashara.
Unaweza kumhukumu Rais Samia ukamuweka kwenye kundi la mafisadi ukiwa hujui chochote kuhusiana na hulka zake binafsi. Kosa linalofanywa sana na watanzania wengi wa huku kwetu bara wanaodhani kwamba SSH anaiba sana serikalini, wanamuweka pembeni hayati JPM aliyekuwa tajiri aliyefahamu kujificha ndani ya mavazi na haiba ya kiongozi mzalendo.
Tulimsikia Nape akitangaza bao la mkono, majuzi tumemsikia Bashite aka Makonda akitamba mbinu za kuiba uchaguzi za CCM.Haya maneno yamekuwa yakisemwa kwa zaidi ya miaka 20. CCM wana wanachama na wadau wengi kuliko chama chochote kile.
Ni silent majority always they show up when they are really needed, huwezi kuwaona wakiwa wamejaa huku mitandaoni.
Wewe chawa askari na magari ya kivita yalikuwa yanatafuta nini barabarani? Kwa nini jeshi la polisi lilitangaza curfew? Kama siyo bunduki hamna kitu nyie machawa.Mkuu hizi kelele za humu JF zisikudanganye ukadhani upinzani una watu kuliko wale wa CCM.
Upinzani maximum unaweza kuwa na watu milioni 5 nchi nzima, CCM wapo zaidi ya milioni 20 nchi nzima.
Ushahidi wa uwepo wa wingi wa wanaCCM ni pale tarehe 9 desemba mlivyoshindwa kuushawishi umma ukaunga mkono yale mliyoita maandamano, wenye nchi yao ambao ni wengi waliokaa kimya waliamua hakuna tena kufanya ujinga wa kuichafua nchi yetu wenyewe.
Kuna siasa za humu mitandaoni , pia kuna siasa za huko walipo wananchi wa kawaida, hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa.
Chawa Lissu mmemuweka ndani toka April 2025, Heche mlimkamata kinyume cha sheria kwa wiki mbili kabla na baada ya uchaguzi. Hao walihusikaje?Bloodbath iliyotengenezwa na wanasiasa walioapa kukinukisha?.
Mkuu hao ICC wakija wanaweza kuondoka na Lissu pamoja na Heche kwa zile kauli zao za uchochezi.