Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Walidhani kila jambo linasaulika, ila ukweli ni kwamba kwa uhalifu uliofanywa enze za RC Makonda hakuna mtu serious atamuunga mkono.
Atumie pikipiki au atembee kwa miguu still nafsi za watu zinakumbuka ukatili wake.
Mapokezi yake yamefanywa na wale wale tuliowaita chawa lakini viongozi serious hata ndani ya chama hakuna aliyejitokeza kumpokea na waliojitokeza wamekwepa camera.
Hii iwe fundisho kwa wale wote wanaamini kutesa ni njia ya kutafuta maendeleo basi hali si hivyo.
Binadamu anayo haki ya kuishi.