Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Kwahiyo Katibu Mkuu wa Chama ni mtu mdogo kwa tafsiri yakoWalidhani kila jambo linasaulika, ila ukweli ni kwamba kwa uhalifu uliofanywa enze za RC Makonda hakuna mtu serious atamuunga mkono.
Atumie pikipiki au atembee kwa miguu still nafsi za watu zinakumbuka ukatili wake.
Mapokezi yake yamefanywa na wale wale tuliowaita chawa lakini viongozi serious hata ndani ya chama hakuna aliyejitokeza kumpokea na waliojitokeza wamekwepa camera.
Hii iwe fundisho kwa wale wote wanaamini kutesa ni njia ya kutafuta maendeleo basi hali si hivyo.
Binadamu anayo haki ya kuishi.
Mimi ni mwananchi nimemwambia numechukuzwa na uteuzi wa huyu bashite vyeti feki.Wapi sisi wananchi tumekuambia kwamba tumechukizwa na uteuzi wa MAKONDA? Tuheshimiane!
Wakati wengine wanakumbuka ukatili wake wengine tunakumbuka mema aliyotutendeaWalidhani kila jambo linasaulika, ila ukweli ni kwamba kwa uhalifu uliofanywa enze za RC Makonda hakuna mtu serious atamuunga mkono.
Atumie pikipiki au atembee kwa miguu still nafsi za watu zinakumbuka ukatili wake.
Mapokezi yake yamefanywa na wale wale tuliowaita chawa lakini viongozi serious hata ndani ya chama hakuna aliyejitokeza kumpokea na waliojitokeza wamekwepa camera.
Hii iwe fundisho kwa wale wote wanaamini kutesa ni njia ya kutafuta maendeleo basi hali si hivyo.
Binadamu anayo haki ya kuishi.
Shetani kaja kuwanyoosha mbwa nyinyi.Makonda ni zaidi ya shetani
Weka takwimu acha blablaWalidhani kila jambo linasaulika, ila ukweli ni kwamba kwa uhalifu uliofanywa enze za RC Makonda hakuna mtu serious atamuunga mkono.
Atumie pikipiki au atembee kwa miguu still nafsi za watu zinakumbuka ukatili wake.
Mapokezi yake yamefanywa na wale wale tuliowaita chawa lakini viongozi serious hata ndani ya chama hakuna aliyejitokeza kumpokea na waliojitokeza wamekwepa camera.
Hii iwe fundisho kwa wale wote wanaamini kutesa ni njia ya kutafuta maendeleo basi hali si hivyo.
Binadamu anayo haki ya kuishi.
Mwambie huyo mumeo siasa ya 2016 siyo ya 2023Shetani kaja kuwanyoosha mbwa nyinyi.
Sawa mbwa.Mwambie huyo mumeo siasa ya 2016 siyo ya 2023
Nakuelewa sister anguSawa mbwa.
ntamwambia mume wangu kwamba mbwakoko kasema siasa za 2016 sio za 2023.
Makonda is a draculaWalidhani kila jambo linasaulika, ila ukweli ni kwamba kwa uhalifu uliofanywa enze za RC Makonda hakuna mtu serious atamuunga mkono.
Atumie pikipiki au atembee kwa miguu still nafsi za watu zinakumbuka ukatili wake.
Mapokezi yake yamefanywa na wale wale tuliowaita chawa lakini viongozi serious hata ndani ya chama hakuna aliyejitokeza kumpokea na waliojitokeza wamekwepa camera.
Hii iwe fundisho kwa wale wote wanaamini kutesa ni njia ya kutafuta maendeleo basi hali si hivyo.
Binadamu anayo haki ya kuishi.
Hakuna wa kuungana na watu wanaosemwa vibaya kwemye jamii?Walidhani kila jambo linasaulika, ila ukweli ni kwamba kwa uhalifu uliofanywa enze za RC Makonda hakuna mtu serious atamuunga mkono.
Atumie pikipiki au atembee kwa miguu still nafsi za watu zinakumbuka ukatili wake.
Mapokezi yake yamefanywa na wale wale tuliowaita chawa lakini viongozi serious hata ndani ya chama hakuna aliyejitokeza kumpokea na waliojitokeza wamekwepa camera.
Hii iwe fundisho kwa wale wote wanaamini kutesa ni njia ya kutafuta maendeleo basi hali si hivyo.
Binadamu anayo haki ya kuishi.
Hata mimi nakuelewa shogaangu.nikuazime dera langu ukacheze kigodoro?Nakuelewa sister angu
Muazime wifi akoHata mimi nakuelewa shogaangu.nikuazime dera langu ukacheze kigodoro?
Kumbe katumia Piki piki kama bodaboda........haikusaidia bado?Atumie pikipiki au atembee kwa miguu still nafsi za watu zinakumbuka ukatili wake.