Wengi wameonesha kukerwa na uteuzi wa Makonda, si rahisi kumfundisha mtu kumpenda katili aso na hofu ya Mungu

Inaonekana uvccm wamerudisha majeshi nyuma, mariam sombi hajaonekana hadharani tangu jina litajwe hata kwenye mapokezi hakuwepo, kawaida nae sijui yuko wapi?
 
Sophia Mjema
Alibeba zigo la misumali hapo ameshusha pumzi balaa lilianza kwenye sakata la kupiga marufuku chawa Chama Cha Chawa kikaja juu kwamba kimesajiriwa S Mjema akaingia Uhai FM Radio kwa kushtukiza asubuhi saa 2 kwenda kutoa ufafanuzi kuhusu Chawa na kupigwa marufuku Chawa
 
Kama una hofu ya Mungu jifunze kusamehe. Hata mimi sikupenda vitendo vya Makonda lakini siwezi kuruhusu hiyo chuki ibaki milele. Kama utaendelea na hiyo chuki na jinsi unavyoonekana kiuandishi, na wewe ni katili kama yeye, maana inaonekana inbaamini "meno kwa meno, jicho kwa jicho" ambayo yote ni kinyume na wacha Mungu. Samehe na sahau.
 
Inaonekana uvccm wamerudisha majeshi nyuma, mariam sombi hajaonekana hadharani tangu jina litajwe hata kwenye mapokezi hakuwepo, kawaida nae sijui yuko wapi?
Alikua nyuma ya Camera itakua angalia vizuri,
 
kwasasa zinahitajika sura za mbuzi chongolo makonda bananga rulandama ili kuleta ushindi mwakani,
 
Binafsi nlikuwa na mama kwny kampeni 2025 ila Kwa uteuzi wa makonda nimeamua nishuke Kwenye basi hilo...makonda huyu huyu..
Mama kwadharau sana wana ccm na watanzania kwa ujumla.
 
kwasasa zinahitajika sura za mbuzi chongolo makonda bananga rulandama ili kuleta ushindi mwakani,
Kwa hio yule mu-ethiopia hakukosea aliposea Chama Cha Mambuzi', maana naona umewataja kwamba wana hizo sura za Mbuzi
 
Kuwachapa na nini wakati kaja na mistari ya Biblia aliyokopi kwa mumeo Kuhani Musa,

Hiyo hiyo mistari ya biblia itakuchapa
Hasira yote hiyo ni sababu ileile kwamba Makonda amekataa kukuoa au kuna lingine??
 
Hiyo hiyo mistari ya biblia itakuchapa
Hasira yote hiyo ni sababu ileile kwamba Makonda amekataa kukuoa au kuna lingine??
Mama tuheshimiane nyinyi chawa mboni mnakimbilia kwenye suala la kuchafua jinsia za watu, Mimi ni dume la Mbegu kwa hio angalia kauli zako na vifungu vyako vya bibilia au ndio mnavyofunzwa huko kwa manabii wenu wa mchongo?
 
Narudia tena
Tanzania hakuna upinzani

Duniani kote hakuna wapinzani wanaolialia kama nyie. Sisi tunawaona kama kikundi cha wapiga deal nyuma ya kivuli cha demokrasia tuu

Kama unabisha tueleze kwanini kila uchaguzi kwa sababu ileile na hamjaipatia suluhu? Hivi hamuoni kama mnaonekana.....!?
Insanity is doing the same thing over and over again and expecting different results.
 
Mama tuheshimiane nyinyi chawa mboni mnakimbilia kwenye suala la kuchafua jinsia za watu, Mimi ni dume la Mbegu kwa hio angalia kauli zako na vifungu vyako vya bibilia au ndio mnavyofunzwa huko kwa manabii wenu wa mchongo?

Kama unaogopa kuchafuliwa na Wewe acha kutuchafua sisi na acha kabisa kuchafua watumishi wa Mungu
Hujalazimishwa kuwafuata basi kitulize
 
Kama unaogopa kuchafuliwa na Wewe acha kutuchafua sisi na acha kabisa kuchafua watumishi wa Mungu
Hujalazimishwa kuwafuata basi kitulize
Kuchafua ndio kuchafua jinsi mboni haujibu hoja kwa hoja unakimbilia kutukana, tukana na vifungu vya bibilia basi km kawaida yako tukuone, watumishi wahuni wahuni km kondoo wao watumishi wa MCHongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…