Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Nimeshakuambia Mimi sio dada yako Mimi ni dume la MbeguSiku nyingine usivamie watu humu wengine washavurugwa,sawa dada?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshakuambia Mimi sio dada yako Mimi ni dume la MbeguSiku nyingine usivamie watu humu wengine washavurugwa,sawa dada?
Alibeba zigo la misumali hapo ameshusha pumzi balaa lilianza kwenye sakata la kupiga marufuku chawa Chama Cha Chawa kikaja juu kwamba kimesajiriwa S Mjema akaingia Uhai FM Radio kwa kushtukiza asubuhi saa 2 kwenda kutoa ufafanuzi kuhusu Chawa na kupigwa marufuku ChawaSophia Mjema
Kama una hofu ya Mungu jifunze kusamehe. Hata mimi sikupenda vitendo vya Makonda lakini siwezi kuruhusu hiyo chuki ibaki milele. Kama utaendelea na hiyo chuki na jinsi unavyoonekana kiuandishi, na wewe ni katili kama yeye, maana inaonekana inbaamini "meno kwa meno, jicho kwa jicho" ambayo yote ni kinyume na wacha Mungu. Samehe na sahau.Walidhani kila jambo linasaulika, ila ukweli ni kwamba kwa uhalifu uliofanywa enze za RC Makonda hakuna mtu serious atamuunga mkono.
Atumie pikipiki au atembee kwa miguu still nafsi za watu zinakumbuka ukatili wake.
Mapokezi yake yamefanywa na wale wale tuliowaita chawa lakini viongozi serious hata ndani ya chama hakuna aliyejitokeza kumpokea na waliojitokeza wamekwepa camera.
Hii iwe fundisho kwa wale wote wanaamini kutesa ni njia ya kutafuta maendeleo basi hali si hivyo.
Binadamu anayo haki ya kuishi.
Alikua nyuma ya Camera itakua angalia vizuri,Inaonekana uvccm wamerudisha majeshi nyuma, mariam sombi hajaonekana hadharani tangu jina litajwe hata kwenye mapokezi hakuwepo, kawaida nae sijui yuko wapi?
Inama tanua mapaja nikukague.sawa dada?Nimeshakuambia Mimi sio dada yako Mimi ni dume la Mbegu
kwasasa zinahitajika sura za mbuzi chongolo makonda bananga rulandama ili kuleta ushindi mwakani,Alibeba zigo la misumali hapo ameshusha pumzi balaa lilianza kwenye sakata la kupiga marufuku chawa Chama Cha Chawa kikaja juu kwamba kimesajiriwa S Mjema akaingia Uhai FM Radio kwa kushtukiza asubuhi saa 2 kwenda kutoa ufafanuzi kuhusu Chawa na kupigwa marufuku Chawa
Mbwa ana kosa gani mpaka umfananishe na kitu Cha hovyo. Kuwa na huruma na viumbe vya duniani kama wewe ulivyo kiumbe jamii ya nyaniShetani kaja kuwanyoosha mbwa nyinyi.
Utakutana na Chupa limetuna we lete ujinga wako tuInama tanua mapaja nikukague.sawa dada?
Na wewe ni mbwa pia.Mbwa ana kosa gani mpaka umfananishe na kitu Cha hovyo. Kuwa na huruma na viumbe vya duniani kama wewe ulivyo kiumbe jamii ya nyani
Mama kwadharau sana wana ccm na watanzania kwa ujumla.Binafsi nlikuwa na mama kwny kampeni 2025 ila Kwa uteuzi wa makonda nimeamua nishuke Kwenye basi hilo...makonda huyu huyu..
Kwa hio yule mu-ethiopia hakukosea aliposea Chama Cha Mambuzi', maana naona umewataja kwamba wana hizo sura za Mbuzikwasasa zinahitajika sura za mbuzi chongolo makonda bananga rulandama ili kuleta ushindi mwakani,
Kuwachapa na nini wakati kaja na mistari ya Biblia aliyokopi kwa mumeo Kuhani Musa,
Sikua najua km umeolewa na Bashite, kumbe kawaoa hadi madume?
Mama tuheshimiane nyinyi chawa mboni mnakimbilia kwenye suala la kuchafua jinsia za watu, Mimi ni dume la Mbegu kwa hio angalia kauli zako na vifungu vyako vya bibilia au ndio mnavyofunzwa huko kwa manabii wenu wa mchongo?Hiyo hiyo mistari ya biblia itakuchapa
Hasira yote hiyo ni sababu ileile kwamba Makonda amekataa kukuoa au kuna lingine??
Alafu kuna mda eti na wewe unanukuu vifungu vya Bible, unaongea ujinga km huu na unajitia mtu wa dini balaa kumbe muhuni tu km DABalikukataa Wewe sababu haoi jinsia mixer
Una maana gani kusema hivyo?
Naomba nieleweshe tafadhali.
Pamoja na kupelekea elimu bure sasa sekondari ambayo ilikuwa ni agenda ya upinzani unaubeza upinzani?!
Walivyosakamwa awamu ilopita kupita kiasi na kuwekwa vizuizini, wengine attempts to be killed bado unaona hakuna upinzani?
Kwa hiyo ungeshauri sheria ibadilishwe visiwepo tubaki na mfumo wa chama kimoja tu?
Hebu nielezee tafadhali una maana gani ?
Mama tuheshimiane nyinyi chawa mboni mnakimbilia kwenye suala la kuchafua jinsia za watu, Mimi ni dume la Mbegu kwa hio angalia kauli zako na vifungu vyako vya bibilia au ndio mnavyofunzwa huko kwa manabii wenu wa mchongo?
Kuchafua ndio kuchafua jinsi mboni haujibu hoja kwa hoja unakimbilia kutukana, tukana na vifungu vya bibilia basi km kawaida yako tukuone, watumishi wahuni wahuni km kondoo wao watumishi wa MCHongoKama unaogopa kuchafuliwa na Wewe acha kutuchafua sisi na acha kabisa kuchafua watumishi wa Mungu
Hujalazimishwa kuwafuata basi kitulize
sema wapi wewe.Wapi sisi wananchi tumekuambia kwamba tumechukizwa na uteuzi wa MAKONDA? Tuheshimiane!