Wengi wameonesha kukerwa na uteuzi wa Makonda, si rahisi kumfundisha mtu kumpenda katili aso na hofu ya Mungu

Kuchafua ndio kuchafua jinsi mboni haujibu hoja kwa hoja unakimbilia kutukana, tukana na vifungu vya bibilia basi km kawaida yako tukuone, watumishi wahuni wahuni km kondoo wao watumishi wa MCHongo

Unataka tunyamazie uongo wenu
Biblia inatufundisha kwamba tusinyamaze hadi tukute haki yetu

Isaya 62:1
Kwa ajili ya Sayuni sitanyamaza, na kwa ajili ya Yerusalemu sitatulia, hata haki yake itakapotokea kama mwangaza, na wokovu wake kama taa iwakayo.

Kwahiyo na wewe piga kelele unavyoweza bila kutukana halafu utakaposhindwa kaa kwa kutulia ukiitii mamlaka

Warumi 13:1-5
1 Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu.
2 Hivyo amwasiye mwenye mamlaka hushindana na agizo la Mungu; nao washindanao watajipatia hukumu.
3 Kwa maana watawalao hawatishi watu kwa sababu ya matendo mema, bali kwa sababu ya matendo mabaya. Basi, wataka usimwogope mwenye mamlaka? Fanya mema, nawe utapata sifa kwake;
4 kwa kuwa yeye ni mtumishi wa Mungu kwako kwa ajili ya mema. Lakini ufanyapo mabaya, ogopa; kwa maana hauchukui upanga bure; kwa kuwa ni mtumishi wa Mungu, amlipizaye kisasi mtenda mabaya kwa ajili ya ghadhabu.
5 Kwa hiyo ni lazima kutii, si kwa sababu ya ile ghadhabu tu, ila na kwa sababu ya dhamiri.
 
Kwa hio ndio umeniletea mafungu yako ya biblia au sio? Ushakunywa bia ngapi leo?
 
Inaonekana Makonda ni dude kubwa sana do!.
 


[emoji706][emoji706]
 
Inaonekana Makonda ni dude kubwa sana do!.
Dude kubwa sana linaloitwa DAB, awamu hii kasema hajaja na visasi kwa hio hata mumsemeje atakaa tu anawachekea na kuwaangalia hatojibu chochote, emu tumpe mda kwanza
 
Hii tabia ya kujumuisha watu mtaacha lini nani kakwambia atumuungi mkono ,usiwapangie watu cha kufanya tupo tunao muunga mkono Makonda na hatuamini kwenye umbea na maneno ya kulishwa tunazo akili timamu,mpaka mtuletee ushahidi wa ukatili sio story za chadema .
 
Wabongo ni watu wa kunung'unika na kulialia tu, kama una ushahidi wa matendo maovu aliyofanya nenda mahamani, au publish mtandaoni watu waone.
Wewe ni mjinga hasa. Tangu lini raia anaruhusiwa kufungua kesi ya jinai dhidi ya mtu yeyote? Mtu unaishi nchini mwako, unakua mpaka unazeeka, hujui hata sheria basic za nchi yako.

Wewe mjinga, fahamu kuanzia leo, hakuna raia mwenye uwezo wa kufungua kesi ya jinai dhidi ya yeyote isipokuwa DPP. Wewe ukiona kuna jinai imetendeka, mamlaka yako yanaishia kutoa taarifa polisi.
 
Usikae kimnya kareport maana mnazifahamu jinai nyingi za Makonda ,na Toka uchaguzi 2020 Hakuwa na cheo chochote mnashindwa Nini ku report maovu yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…