mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Kuchafua ndio kuchafua jinsi mboni haujibu hoja kwa hoja unakimbilia kutukana, tukana na vifungu vya bibilia basi km kawaida yako tukuone, watumishi wahuni wahuni km kondoo wao watumishi wa MCHongo
Unataka tunyamazie uongo wenu
Biblia inatufundisha kwamba tusinyamaze hadi tukute haki yetu
Isaya 62:1
Kwa ajili ya Sayuni sitanyamaza, na kwa ajili ya Yerusalemu sitatulia, hata haki yake itakapotokea kama mwangaza, na wokovu wake kama taa iwakayo.
Kwahiyo na wewe piga kelele unavyoweza bila kutukana halafu utakaposhindwa kaa kwa kutulia ukiitii mamlaka
Warumi 13:1-5
1 Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu.
2 Hivyo amwasiye mwenye mamlaka hushindana na agizo la Mungu; nao washindanao watajipatia hukumu.
3 Kwa maana watawalao hawatishi watu kwa sababu ya matendo mema, bali kwa sababu ya matendo mabaya. Basi, wataka usimwogope mwenye mamlaka? Fanya mema, nawe utapata sifa kwake;
4 kwa kuwa yeye ni mtumishi wa Mungu kwako kwa ajili ya mema. Lakini ufanyapo mabaya, ogopa; kwa maana hauchukui upanga bure; kwa kuwa ni mtumishi wa Mungu, amlipizaye kisasi mtenda mabaya kwa ajili ya ghadhabu.
5 Kwa hiyo ni lazima kutii, si kwa sababu ya ile ghadhabu tu, ila na kwa sababu ya dhamiri.