Wengi wameonesha kukerwa na uteuzi wa Makonda, si rahisi kumfundisha mtu kumpenda katili aso na hofu ya Mungu

Wengi wameonesha kukerwa na uteuzi wa Makonda, si rahisi kumfundisha mtu kumpenda katili aso na hofu ya Mungu

Binafsi nlikuwa na mama kwny kampeni 2025 ila Kwa uteuzi wa makonda nimeamua nishuke Kwenye basi hilo...makonda huyu huyu..
Mkuu jiepushe na watu wenye mikono michafu kizazi chako kisije pata laana
 
Endelea na ushoga wako mkuu......sikiliza kauli ya mbunge wa ccm aliyesema baadhi ya wabunge wa ccm ni mashoga.....Nenda Youtube kaangalie Hansard.

Pamnaneni mashoga
makonda pekeyake anaweza kuinyosha hiyo demokrasia ovu mnayoipambania kila uchwao
 
Wapi niliposema Mimi mke Mimi mume kenge mmoja wewe si ume-admit mwenyewe kwamba Bashite anakusumia paipu
Usikasirike dada huu mchezo auhitaji hasira,,twende kazi.👇

Leo usiku za zamu yako kukalia pipe ya Bashite nikakushauri umtanulie vizuri hakikisha umekunya usitoe mavi.
 
Wpinzani hawajapenda ila wanaccm wamefurahishwa sana. Mapokezi yake yamekuwa makubwa mno ofisi ndogo Lumumba.
 
Tanzania hakuna upinzani jameni
Makonda wacha Makonda awachapeee



Una maana gani kusema hivyo?

Naomba nieleweshe tafadhali.

Pamoja na kupelekea elimu bure sasa sekondari ambayo ilikuwa ni agenda ya upinzani unaubeza upinzani?!

Walivyosakamwa awamu ilopita kupita kiasi na kuwekwa vizuizini, wengine attempts to be killed bado unaona hakuna upinzani?

Kwa hiyo ungeshauri sheria ibadilishwe visiwepo tubaki na mfumo wa chama kimoja tu?

Hebu nielezee tafadhali una maana gani ?
 
Wananchi tumefurahi sana leo kumpokea Kiongozi shujaa, mwenye uthubutu Mh Makonda. Hapa Mama amejua kuteua. Leo tumefarijika sana kumuona tena Mh Makonda kwenye kiti cha mamlaka ya chama.
 
Uteuzi wa Makonda kisiasa una una faida na hasara zake lakini inaonekana waliofanya uteuzi huo wanalijua
Yamkini kwa mawazo yao faida ni nyingi kuliko hasara

1. Visibility
Ni jambo lililo wazi kwamba ukiwauliza Watanzania wengi Sophia Mjema alikuwa nani au na cheo gani ? Hawawezi kukujibu
ni Watanzania wachache watakwambia alikuwa Katibu Mwenezi wa Ccm
Ila kauli yoyote atakayoitua Makonda hata iwe ya kipuuzi itafika kona zote za Tanzania kwa dakika chache sana

2. Ukanda
Ccm washapiga mahesabu na wanajua takwimu za kidemografia za Kanda ya Ziwa na matokeo yake kisiasa 2025
Wamejaribu kumsogeza Biteko na Bashungwa lakini kumbuka hawa ni Watendaji wazuri ambao wamepwelewa na amsha amsha na komedi ukilinganisha na Makonda

3. Mfumo Kristo
Mfumo Kristo, Sakata la Bandari na Sukuma Gang linakifanya chama ambacho kinaonekana kimeelemea sana kwa Waswahili kitafute asiye Mswahili apige komedi na amsha amsha za nguvu
Ni kama Jahazi ambalo linaonekana linaelemea upande mmoja hivyo inabidi upande mwingine liongezwe mizigo Ili uzito ulingane na safari iwe shwari

Hasara

1. Compatibility
Kisiasa Makonda kuna watu amewajeruhi/ amewauwa wakati wa mwendazake jee watafanya kazi na Makonda kwa INSAAFU ?

2

3
 
Back
Top Bottom