Wengi wanahoji wake wa Spika Job Ndugai, na kuona mmoja amesahaulika

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
5,233
Reaction score
12,398
Kwenye Utumishi au Serikalini kuna Mafile 2 ; moja huwa ni your basic information and correspondences, file la pili huitwa File la Siri. Mara nyingi unaweza kustaafu usiwe umewahi kujua kumeandikwa nini .

Yupo mwana mmoja alikuwa mtumishi kwa muda very hard working, Samia alipoingia akapendekezwa ale teuzi……during vetting process …..Confidential File likaonesha kuwa yeye ni SHOGA …. So process ikawa suspended

Usiri wa file za Siri haupo kwa Job tu ……viongozi wengi wa kisiasa , wakurugenzi , top leaders both men and women by 75% of them wana familia zaidi ya moja na kote huko wanawatoto and they take care of them …..so inapokuja suala la kifo…. Serikali inachukua jalada la siri ambalo hata muhusika mwenyewe halijui …. Humo ndio itaonekana SPOUSE na watoto walioandikwa na wategemezi ni kina nani bila kujali kelele za mtaani na blah blah .

Dr. Fatima ndio mke RASMI alie appear kwenye Official document za Serikali and far better ameshawahi hata kutambulishwa RASMI bungeni. Ndoa zote zipo chini ya Serikali iwe ya dhehebu TUKUFU la kikatoliki, au msikiti au gvt itself …. Zote ni za Serikali. Mambo yenu ya dini mtabaki nayo nyie walimwengu.

Inawezekana Stella ni mke wa job, je anatambulika kwenye official document as beneficiary,? hata kama anacho cheti cha ndoa, je alijazwa kwa document za serikali nae ni beneficiary ? Mkurugenzi wa TANESCO alikuwa na wake 3 wote amewaoa……but in official document alietokea ni mmoja…. Huyo ndio beneficiary. ´Nadhan Hili eneo liangaliwe kwenye katiba mpya 🤣.

Otherwise , Job ametangulia… wewe na mimi ni wafu wenye kutembea….it is just a matter of time….kila Mtu atalamba udongo na kila mtu ataliwa na mchwa….ubongo na private parts zitaliwa na wadudu watashiba na watazaliana…..is no joke…..

Yes , Viongozi hawa ni wezi na ruthless and they think they are special wakati most of them wametoka POOR FAMILIES na kwa hakika nature itawahukumu kwa matendo yao.

Ukiwa Umeaminiwa Tenda haki, huna uspesho wowote wewe ni chakula cha wadudu kwa namna yoyote.
 
Kwenye Utumishi au Serikalini kuna Mafile 2 ; moja huwa ni your basic information and correspondences, file la pili huitwa File la Siri. Mara nyingi unaweza kustaafu usiwe umewahi kujua kumeandikwa nini .

Yupo mwana mmoja alikuwa mtumishi kwa muda very hard working, Samia alipoingia tu , Jamaa akawa ameshakula uteuzi one of the highest position, lilipokuja jalada la Siri, jamaa ikaonekana file lake limeandikwa kuwa yeye ni SHOGA …. So teuzi ikawa withdrawn ila yeye hajui why teuzi was withdrawn .

ACHA uongo Wewe..Hakuna Kitu Kama hicho
 
Kiujumla, ya kujifunza huwa ni mengi kwenye suala la kifo. Hapa kwenye hili la mafaili kuna mume wa shemeji anataraji kuja kusapraiziwa kuwa mkewe hakumuandika kama mume lakini ndo basi acha tu ikawe hivyo
 
Kwenye Utumishi au Serikalini kuna Mafile 2 ; moja huwa ni your basic information and correspondences, file la pili huitwa File la Siri. Mara nyingi unaweza kustaafu usiwe umewahi kujua kumeandikwa nini .

Yupo mwana mmoja alikuwa mtumishi kwa muda very hard working, Samia alipoingia tu , Jamaa akawa ameshakula uteuzi one of the highest position, lilipokuja jalada la Siri, jamaa ikaonekana file lake limeandikwa kuwa yeye ni SHOGA …. So teuzi ikawa withdrawn ila yeye hajui why teuzi was withdrawn .

Usiri wa file za Siri haupo kwa Job tu ……viongozi wengi wa kisiasa , wakurugenzi , top leaders both men and women by 75% of them wana familia zaidi ya moja na kote huko wanawatoto and they take care of them …..so inapokuja suala la kifo…. Serikali inachukua jalada la siri ambalo hata muhusika mwenyewe halijui …. Humo ndio itaonekana SPOUSE na watoto walioandikwa na wategemezi ni kina nani bila kujali kelele za mtaani na blah blah .

Dr. Fatima ndio mke RASMI alie appear kwenye Official document za Serikali and far better ameshawahi hata kutambulishwa RASMI bungeni. Ndoa zote zipo chini ya Serikali iwe ya dhehebu TUKUFU la kikatoliki, au msikiti au gvt itself …. Zote ni za Serikali. Mambo yenu ya dini mtabaki nayo nyie walimwengu.

Inawezekana Stella ni mke wa job, je anatambulika kwenye official document as beneficiary,? hata kama anacho cheti cha ndoa, je alijazwa kwa document za serikali nae ni beneficiary ? Mkurugenzi wa TANESCO alikuwa na wake 3 wote amewaoa……but in official document alietokea ni mmoja…. Huyo ndio beneficiary. ´Nadhan Hili eneo liangaliwe kwenye katiba mpya 🤣.

Otherwise , Job ametangulia… wewe na mimi ni wafu wenye kutembea….it is just a matter of time….kila Mtu atalamba udongo na kila mtu ataliwa na mchwa….ubongo na private parts zitaliwa na wadudu watashiba na watazaliana…..is no joke…..

Yes , Viongozi hawa ni wezi na ruthless and they think they are special wakati most of them wametoka POOR FAMILIES na kwa hakika nature itawahukumu kwa matendo yao.

Ukiwa Umeaminiwa Tenda haki, huna uspesho wowote wewe ni chakula cha wadudu kwa namna yoyote.
Nimepata mkanganyiko kidogo
Umesema wakati wa kula teuzi wanaangalia file la siri (Personal confidential file) halafu ukasema kuna mtu Samia alimteua badae uteuzi ukatengulia baada ya kuangalia file lake na kukutwa ameandikwa ni gay...ilikua mtu ateuliwe tena -with high position bila kuangalia hilo file lake la siri.
Akili hapo zimegoma.
 
hata watoto naona wamekwepa kutaja idadi!....
Bi STELLA tayari kesha zidiwa kete, maana hatambuliki popote, ila uzuri wake yeye ndie alie zaa na ndugai watoto watatu, ila Bi Fatuma hakubahatika kuzaa na Ndugai.
Amezaa nae

Pia Job ndio alie mu officialize Dr Fatima

Sasa Job ndio
Anajua zaidi…..
 
Nimepata mkanganyiko kidogo
Umesema wakati wa kula teuzi wanaangalia file la siri (Personal confidential file) halafu ukasema kuna mtu Samia alimteua badae uteuzi ukatengulia baada ya kuangalia file lake na kukutwa ameandikwa ni guy...ilikua mtu ateuliwe tena -with high position bila kuangalia hilo file lake la siri.
Akili hapo zimegoma.
Achana naye huyo haelewi hiyo siri inakuwa kwa manufaa ya nani kama suala la ndoa na familia linakuwa sehemu ya siri wakati mke na wategemezi wote hujulikana.
 
Nimepata mkanganyiko kidogo
Umesema wakati wa kula teuzi wanaangalia file la siri (Personal confidential file) halafu ukasema kuna mtu Samia alimteua badae uteuzi ukatengulia baada ya kuangalia file lake na kukutwa ameandikwa ni guy...ilikua mtu ateuliwe tena -with high position bila kuangalia hilo file lake la siri.
Akili hapo zimegoma.
Shida umetafsiri word to word , na hii ndio shida yenu wabongo

Unapaswq kuelewq in simple language kuwa jamaa alijulikana ni shoga during vetting process . Hivyo mchakato haukuendeleaa
Hiyo ndio maana, I thought ungeelewa kwa urahisi, kumbe ni Junior

Mtu anaefanyiwa vetting kwa ajili ya kupewa teuzi maana yake huyo ni prospective….
 
Mkuu umeandika kihisia zaidi na si kisheria.
Huyo Fatma ni mke wa protokali, lakini mirathi itawahusu wote ikiwa ni wake zake kweli.
Kwa Watanzania wanavyopenda vitu vya kurithi utakuta Dkt Fatuma naye anakimbilia mahakamani kudai mali za Ndugai ziwe zake wakati hajazaa naye hlf akijua kbs Bi Stella ni mke halali wa Ndugai na amezaa naye watoto watatu.
 
Back
Top Bottom