Document ikisha kuwa filed inabaki pale permanently! Kitakachokuwa kinafanyika ni kuongeza documents na folio numbers zinaongezeka!Uliziona ? Taarifa za utumishi una update kila baada ya muda gani ?
Hilo unajua wewe
Kinachoangaliwa yeye alijaza nini
Sheria imesema mke ni wa kwanza tu?Sheria inasemaje kwenye ndoa isiyo na talaka!
Anacho cheti cha ndoa ?Bado nasimama na Ma'mchaga mnayoyaandika,, hata selewii
Hata kesi huwa wanafanya ku refer kwa zilizopita na mifano halisi,,
Bi Stella bado ni mke halali ikiwa ndoa yao haikuvunjwa kisheria au kutalakiana,,
Ikiwa ni tofaut na hapo wote watakuwa treated
Ila sisi tubaki kuwa observer hakuna kitachofichika km kutakuwa na migogoro baina yao,,
🤣 huko ni kuleta maukimwi na ku create unstable family kwa maisha ya sasandiomana waislamu tumeamua tuoe wanne bila kificho.
Unafikiri Hana??Anacho cheti cha ndoa ?
kulea kimada ambacho hakijulikani je?🤣 huko ni kuleta maukimwi na ku create unstable family kwa maisha ya sasa
Hayo mambo waachieni waarabu….. hata waaarabu wa sasa imeshawashinda
Moja ya study yangu ya underground nilienda kuangalia risk ya Polygam kwa cases za HIV
POLYGAMY NI anather risk of HIV transmission na unstable familles
Sisomagi puuzi zako, ila unaprove we ni jinga lisilo na haya. Tutajie hao wengine wewe na utupe na details zao. We si riziki.Kwenye Utumishi au Serikalini kuna Mafile 2 ; moja huwa ni your basic information and correspondences, file la pili huitwa File la Siri. Mara nyingi unaweza kustaafu usiwe umewahi kujua kumeandikwa nini .
Yupo mwana mmoja alikuwa mtumishi kwa muda very hard working, Samia alipoingia tu , Jamaa akawa ameshakula uteuzi one of the highest position, lilipokuja jalada la Siri, jamaa ikaonekana file lake limeandikwa kuwa yeye ni SHOGA …. So teuzi ikawa withdrawn ila yeye hajui why teuzi was withdrawn .
Usiri wa file za Siri haupo kwa Job tu ……viongozi wengi wa kisiasa , wakurugenzi , top leaders both men and women by 75% of them wana familia zaidi ya moja na kote huko wanawatoto and they take care of them …..so inapokuja suala la kifo…. Serikali inachukua jalada la siri ambalo hata muhusika mwenyewe halijui …. Humo ndio itaonekana SPOUSE na watoto walioandikwa na wategemezi ni kina nani bila kujali kelele za mtaani na blah blah .
Dr. Fatima ndio mke RASMI alie appear kwenye Official document za Serikali and far better ameshawahi hata kutambulishwa RASMI bungeni. Ndoa zote zipo chini ya Serikali iwe ya dhehebu TUKUFU la kikatoliki, au msikiti au gvt itself …. Zote ni za Serikali. Mambo yenu ya dini mtabaki nayo nyie walimwengu.
Inawezekana Stella ni mke wa job, je anatambulika kwenye official document as beneficiary,? hata kama anacho cheti cha ndoa, je alijazwa kwa document za serikali nae ni beneficiary ? Mkurugenzi wa TANESCO alikuwa na wake 3 wote amewaoa……but in official document alietokea ni mmoja…. Huyo ndio beneficiary. ´Nadhan Hili eneo liangaliwe kwenye katiba mpya 🤣.
Otherwise , Job ametangulia… wewe na mimi ni wafu wenye kutembea….it is just a matter of time….kila Mtu atalamba udongo na kila mtu ataliwa na mchwa….ubongo na private parts zitaliwa na wadudu watashiba na watazaliana…..is no joke…..
Yes , Viongozi hawa ni wezi na ruthless and they think they are special wakati most of them wametoka POOR FAMILIES na kwa hakika nature itawahukumu kwa matendo yao.
Ukiwa Umeaminiwa Tenda haki, huna uspesho wowote wewe ni chakula cha wadudu kwa namna yoyote.
Wamekuibia nini, akili?Haya majizi hata hayajui kuwa Kuna kifo.
Ndio dini gani msikiti??Kwenye Utumishi au Serikalini kuna Mafile 2 ; moja huwa ni your basic information and correspondences, file la pili huitwa File la Siri. Mara nyingi unaweza kustaafu usiwe umewahi kujua kumeandikwa nini .
Yupo mwana mmoja alikuwa mtumishi kwa muda very hard working, Samia alipoingia tu , Jamaa akawa ameshakula uteuzi one of the highest position, lilipokuja jalada la Siri, jamaa ikaonekana file lake limeandikwa kuwa yeye ni SHOGA …. So teuzi ikawa withdrawn ila yeye hajui why teuzi was withdrawn .
Usiri wa file za Siri haupo kwa Job tu ……viongozi wengi wa kisiasa , wakurugenzi , top leaders both men and women by 75% of them wana familia zaidi ya moja na kote huko wanawatoto and they take care of them …..so inapokuja suala la kifo…. Serikali inachukua jalada la siri ambalo hata muhusika mwenyewe halijui …. Humo ndio itaonekana SPOUSE na watoto walioandikwa na wategemezi ni kina nani bila kujali kelele za mtaani na blah blah .
Dr. Fatima ndio mke RASMI alie appear kwenye Official document za Serikali and far better ameshawahi hata kutambulishwa RASMI bungeni. Ndoa zote zipo chini ya Serikali iwe ya dhehebu TUKUFU la kikatoliki, au msikiti au gvt itself …. Zote ni za Serikali. Mambo yenu ya dini mtabaki nayo nyie walimwengu.
Inawezekana Stella ni mke wa job, je anatambulika kwenye official document as beneficiary,? hata kama anacho cheti cha ndoa, je alijazwa kwa document za serikali nae ni beneficiary ? Mkurugenzi wa TANESCO alikuwa na wake 3 wote amewaoa……but in official document alietokea ni mmoja…. Huyo ndio beneficiary. ´Nadhan Hili eneo liangaliwe kwenye katiba mpya 🤣.
Otherwise , Job ametangulia… wewe na mimi ni wafu wenye kutembea….it is just a matter of time….kila Mtu atalamba udongo na kila mtu ataliwa na mchwa….ubongo na private parts zitaliwa na wadudu watashiba na watazaliana…..is no joke…..
Yes , Viongozi hawa ni wezi na ruthless and they think they are special wakati most of them wametoka POOR FAMILIES na kwa hakika nature itawahukumu kwa matendo yao.
Ukiwa Umeaminiwa Tenda haki, huna uspesho wowote wewe ni chakula cha wadudu kwa namna yoyote.
Hao wenye hela wanawaza kama wewe. Unahisi kuna mtu anaambiwa kuwa Jumatatu utazomewa na wapigakura ukiwa na wajumbe alafu wiki hiyohiyo ufe ghafla?Labda mwamba ATAKUA ameacha wosia kurahisisha.
Mi nikipata mali labda nife ghafla hakutakua na Cha kurithi. Kila mtu nitampa chake nikiwa hai. Hii inaitwa estate planning.....
Nilioa very Young nikiwa 25 tu , now I am 37 with 3 kids.kulea kimada ambacho hakijulikani je?
hivi wewe umedumu namwamke mmoja tu maishayako yote? hujachepuka?