HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Wengi wanaohoji kina nani wataje,acha uchochezi basi
Inawezekana Dr Fatuma ana watoto lakini si Ndugai.hata watoto naona wamekwepa kutaja idadi!....
Bi STELLA tayari kesha zidiwa kete, maana hatambuliki popote, ila uzuri wake yeye ndie alie zaa na ndugai watoto watatu, ila Bi Fatuma hakubahatika kuzaa na Ndugai.
Asante sana! Huyu evangelical amezidi! MwelimisheJe, una elimu ya kiwango gani hasa wewe? Je, una elimu yoyote ile ya Sheria hata kwa level ya Foundation Course???
Nakushauri Usome kuhusu masuala ya HAKI za Mali za Chumo la Ndoa (Matrimonial Property) katika Sheria ya Ndoa pamoja na Sheria za Usimamizi wa Mirathi.
Kwa kawaida, kila Kesi huwa inaamuliwa kutokana na facts zilizopo katika Kesi husika.
"No research no right to speak."
By Mao Zedong
Hii comment niliitegemea kutoka kwa akinamamaTatizo la kuparamia ndoa za watu. Alichokula huyo mke wa pili kimetosha, sema tu watoto watafikiriwa kwenye mirathi.
Hiyo ndio njia nzuri ya kuishi na familia. Unakuta jitu lina mali halafu linakumbatia yote likiwa hai, mtu kama huyo akifa anasabaisha familia isambaratike kwa migogoro ya mali. Ukiwa na hela kila unachokifanya kiattach kwa mwafamilia fulani ikiwa ni mtoto au mke au ndugu ukiwa hai na Kila mtu anakuwa anajua. Rithisha vitu mapema tena kwa uwazi. Wazee wenye busara wanafanya hivyo, unakuta mtu anawake hata 6 watoto zaidi ya 20 na mabilioni ya mali, anakufa anazikwa matanga yanaisha husikii hata minong'ono ya ugomvi kwenye familia yake.Labda mwamba ATAKUA ameacha wosia kurahisisha.
Mi nikipata mali labda nife ghafla hakutakua na Cha kurithi. Kila mtu nitampa chake nikiwa hai. Hii inaitwa estate planning.....
Acha Chuki dada.... Wakristo kwann mnawa chukia sana wenzenu waislam...... dini yako umeitaja kwa ufasaa ,,,Hiyo hiyo
Ninazijua sana tena inawezekana nina elimu kulipo wewe .Je, una elimu ya kiwango gani hasa wewe? Je, una elimu yoyote ile ya Sheria hata kwa level ya Foundation Course???
Nakushauri Usome kuhusu masuala ya HAKI za Mali za Chumo la Ndoa (Matrimonial Property) katika Sheria ya Ndoa pamoja na Sheria za Usimamizi wa Mirathi.
Kwa kawaida, kila Kesi huwa inaamuliwa kutokana na facts zilizopo katika Kesi husika.
"No research no right to speak."
By Mao Zedong
Mahakama ni za Sheria na Ushahidi.
Kwenye suala hili la Marehemu Job Ndugai kuna ushahidi wa wazi kabisa kwamba huyo Mwanamke wake wa kwanza tayari walishatengana muda mrefu Sana, kila mmoja alikuwa anaishi kivyake na Wala hapakuwa na ushahidi wowote ule wa kwamba Watu hao walikuwa wanachuma Mali zao kwa pamoja Mara baada ya kutengana.
Hivyo Basi, huyo Mwanamke wake wa kwanza Hana Haki kabisa ya kuweza kudai mgawanyo wa Mali za mirathi ambazo Job Ndugai alizichuma Mara baada ya kutengana kwao.
Zile Mali walizochuma wote kabla ya kutengana ndio pekee ambazo anaweza kudai mgawo wake
Mkoa wa njombe wenye waathirika wengi wa HIV una polygamy?🤣🤣 nimekugusa eenh ?
Nikupe TAARIFA , Nchi za kiarabu za sasa zina discourage mitara…..kwa mfano moja ya nchi ngumu kuoa mitara ni
tunisia, Egypt ya sasa, Moroko ya sasa, Algeria ya sasa na hawa wote wame adopt life style za kizungu kama hao kina salah Benzema Zidane…..
Usiongee kwa hisia za kiima…. Check Studies na key findings zinasemaje kwenye arabic countries na polygam acceptance in society ; Acceptance kiimani ipo but Practice ni kwa wachache mno.
Ni sawa na wale wanaoiita nchi za Kiislam kwa sababu tu kuna waarabu. Dunia kwa sasa hakuna nchi ya KIISLAM…. Ili nchi iwe ya kiislam ni lazima KATIBA yake iwe QURAN…… niletee nchi ambayo katiba yake ni Quran ! Na katiba ikiwa ni Quran maana yake ukiiba unakatwa mkono, ukizini ni mawe hadi kufa…. Kama umeoa
Huko tiktok kuna studies nyingi wanaweka key findings in summary…. Someni
Sio kuangalia makalio tu
Kuna studies nyingi zinaonesha mitara ni chanzo cha unstable families for more than 60% :mimi mwenyewe nilifanya study kupitia zile Centers za HIV …….na kubaini kuwa more than 35%- geohraphically delimited walio athirika wanatoka kwenye polygamy rasmi au isio rasmi
Wewe unaongea kihisia
Huna data
Hoja hii haina mashiko hata kidogo.Ikiwa mke anafanya kazi ya kuajiriwa ambapo anaondoka saa 11 alfajiri na anarudi saa tatu usiku jumatatu to jumamosi hivi kwa mazingira haya itahitajika hukumu ya mahakama🤣😂 na hapo kuna dada wa kazi na ambapo mume ndiye anayemlipa🤣😂
Hata watoto wanajua mama yao hapikagi, hafui🤣🤣
Wewe utakuwa una shida kubwa sana kuhusiana na uelewa wako. Kwenye hiyo comment yangu uliyonukuu, Je, wapi nilipoeleza kwamba marehemu Job Ndugai waliachana kwa talaka na huyo mke wake wa kwanza?? Huwa unasoma kwa kuelewa maelezo yaliyopo au huwa unasoma kama vile unasoma gazeti la udaku???Ushahidi mahakamani kama umeachana na mwanamke uliyemuoa ni hati ya talaka ya mahakama .
Tofauti ya hapo huyo ni mkeo.
Halafu wewe jamaa unaonekana kilaza sana na mgumu kuelewa ishu ambazo zipo wazi .
Embu jitahidi uwe unakulakula samaki kuongeza uwezo wako wa kuelewa