Wengi wanahoji wake wa Spika Job Ndugai, na kuona mmoja amesahaulika

Hakuna kitu kama hicho ukishafunga ndoa ya kikristo sheria haitambui ndoa nyingine yeyote hapo labda ubadili dini ndipo uone kwa dini nyingine tena hapo mke wa kwanza akikubali akikataa ni kwamba itabidi itoke talaka ndio ukaoe kwa dini tofauti na ukristo

View attachment 3437940
Sheria ya ndoa imepiga pin sana kwenye ndoa za Kikristo…. Ndio maana viongozi wengi wànakula kitimoto

Sasa , Mama Stella hana cheti cha ndoa , japo ana claim walifunga ndoa ya kanisa. Dr Fatima ana cheti cha ndoa cha Serikali

Hapo issue kwa mujibu wa mahakama ni complicated sana kwa upande Stella
 
Mke wa marehemu anatambulika kupitia cheti cha ndoa kama mtu akifariki kama hakuna cheti cha ndoa ishu inakuwa very complicated sana
Kwa kesi ya marehemu ndugai mke wake halali ni yule aliyefungana ndoa kanisani anaitwa Stella.
Yule mama akikomaa anakomba mali nyingi za ndugai yule dr fatma wanaoweza kuambulia mali ni watoto wake aliozaa na ndugai
Mtumishi wa umma akifariki mafao yake yapo kwa utaratibu huo hapo nimekuwekea link

Siyo kweli hata kidogo.
You are wrong.

Kwa mujjbu wa Sheria za Tanzania, uwepo wa ndoa hauthibitishwi kwa kuwepo kwa Cheti Cha Ndoa peke yake, ipo pia Dhana ya Ndoa (Presumption of Marriage).

Kwa Sheria za Tanzania, kuwepo kwa Ndoa Kati ya Mume na Mke hakuthibitishwi kwa kuwepo kwa Cheti Cha Ndoa tu peke yake, hata Dhana ya Ndoa (Presumption of Marriage) pia ni Uthibitisho tosha Mojawapo wa kwamba Wahusika walikuwa au ni Wenza.

Kwa Kesi hii ya huyu mtu, nadhani busara ya Mahakama itatumika katika kuamua Mgawanyo wa Mirathi ya huyo Marehemu kwa hawa Wenza wake wawili aliokuwa nao. Naamini kwamba kila mmoja hapo ana Haki ya kupata Urithi wake kutoka kwa huyo Marehemu.

Huyo Mwanamke RAS wa Singida hata kama hakufunga naye Ndoa kisheria Wala hakuzaa na huyo Marehemu, bado anayo Haki ya kupata Mgawo wa Mali kutoka kwa huyo Marehemu.

Kumbukeni tafsiri za kisheria za maneno haya:-
1. Dhana ya Ndoa (Presumption of Marriage).
2. CHUMO LA NDOA (Matrimonial Property)
Ukizingatia Ukweli halisi kwamba huyo Marehemu Job Ndugai tayari alishatengana muda mrefu na huyo Mwanamke aliyefungua naye Ndoa kanisani. Walikuwa hawaishi pamoja, na wakati huyo Job Ndugai alipokuwa anachuma baadhi ya Mali zake alizoziacha, huyo Mwanamke aliyefungua naye ndoa kamwe hakuchangia kitu chochote kile (hakutoa jasho lake) kwenye upatikanaji wa hizo Mali kwa sababu walikuwa hawaishi pamoja. Hivyo basi, huyo Mwanamke hawezi kuwa na Haki ya kupatiwa mgawo wa hizo Mali. Badala yake, huyo Mwanamke wa pili (huyo RAS) ambaye alikuwa akiishi pamoja na huyo Marehemu atakuwa ana Haki zote kabisa za kupata Mgawo wake kwa sababu upatikanaji wa Mali hizo yeye binafsi (RAS) ana mchango wake(i.e Matrimonial Property) chini ya kigezo Cha kuwepo kwa Dhana ya Ndoa
 
Faustine amezikwa mjini alikozaliwa ila baba yake ambae alikuwa ni Afisa wa Serikali alipelekwa kuzikwa kijijini alipozaliwa
Wewe unajua Faustine alizawq wapi ?

Alizaliwa kigamboni ? 🤣 hebu go and read
 
Sheria ya ndoa imepiga pin sana kwenye ndoa za Kikristo…. Ndio maana viongozi wengi wànakula kitimoto

Sasa , Mama Stella hana cheti cha ndoa , japo ana claim walifunga ndoa ya kanisa. Dr Fatima ana cheti cha ndoa cha Serikali

Hapo issue kwa mujibu wa mahakama ni complicated sana kwa upande Stella
Hii presumption Marriage ndio ile ukîkaa na mwanamke hata miezi 6 kiserikali
Huyo ni mke
 
Mtu ambae alikuwa boss wa muhimili wa kutunga Sheria
Lakini kumbe mambo yake alikuwa hajayapanga kisheria.
Wewe una uhakika hakuyapanga? Au unafuatilia maneno ya JF na kujustify?
 
Hii presumption Marriage ndio ile ukîkaa na mwanamke hata miezi 6 kiserikali
Huyo ni mke

Na lengo Kuu kabisa lililosababisha suala hili la Dhana ya Ndoa (Presumption of Marriage) Kuingizwa kwenye Sheria ya Ndoa ya Tz ni kulinda maslahi ya Wachumba (au wanandoa tarajali) wakati wanapoachana ikiwa tayari wachumba hao walishachuma Mali zao kwa pamoja kama mke na mume au katika masuala ya mgawanyo wa Mali katika Mirathi wakati mchumba mmojawapo akifariki kama hivi katika suala hili
 
Siyo kweli hata kidogo.
You are wrong.

Kwa mujjbu wa Sheria za Tanzania, uwepo wa ndoa hauthibitishwi kwa kuwepo kwa Cheti Cha Ndoa peke yake, ipo pia Dhana ya Ndoa (Presumption of Marriage).

Kwa Sheria za Tanzania, kuwepo kwa Ndoa Kati ya Mume na Mke hakuthibitishwi kwa kuwepo kwa Cheti Cha Ndoa tu peke yake, hata Dhana ya Ndoa (Presumption of Marriage) pia ni Uthibitisho tosha Mojawapo wa kwamba Wahusika walikuwa au ni Wenza.

Kwa Kesi hii ya huyu mtu, nadhani busara ya Mahakama itatumika katika kuamua Mgawanyo wa Mirathi ya huyo Marehemu kwa hawa Wenza wake wawili aliokuwa nao. Naamini kwamba kila mmoja hapo ana Haki ya kupata Urithi wake kutoka kwa huyo Marehemu.

Huyo Mwanamke RAS wa Singida hata kama hakufunga naye Ndoa kisheria Wala hakuzaa na huyo Marehemu, bado anayo Haki ya kupata Mgawo wa Mali kutoka kwa huyo Marehemu.

Kumbukeni tafsiri za kisheria za maneno haya:-
1. Dhana ya Ndoa (Presumption of Marriage).
2. CHUMO LA NDOA (Matrimonial Property)
Ukizingatia Ukweli halisi kwamba huyo Marehemu Job Ndugai tayari alishatengana muda mrefu na huyo Mwanamke aliyefungua naye Ndoa kanisani. Walikuwa hawaishi pamoja, na wakati huyo Job Ndugai alipokuwa anachuma baadhi ya Mali zake alizoziacha, huyo Mwanamke aliyefungua naye ndoa kamwe hakuchangia kitu chochote kile (hakutoa jasho lake) kwenye upatikanaji wa hizo Mali kwa sababu walikuwa hawaishi pamoja. Hivyo basi, huyo Mwanamke hawezi kuwa na Haki ya kupatiwa mgawo wa hizo Mali. Badala yake, huyo Mwanamke wa pili (huyo RAS) ambaye alikuwa akiishi pamoja na huyo Marehemu atakuwa ana Haki zote kabisa za kupata Mgawo wake kwa sababu upatikanaji wa Mali hizo yeye binafsi (RAS) ana mchango wake(i.e Matrimonial Property) chini ya kigezo Cha kuwepo kwa Dhana ya Ndoa
Hivi kisheria kwa mfano mume kajenga nyumba na document zote zinaonyesha mali ni ya mume, Je mume akifa hii nyumba atairithi mke wa marehemu? Kumbuka nimesema documents zote zinaonyesha mali ni ya mwanaume kuanzia kiwanja, na zingine zooote na hakuna ushahidi wa nyaraka yoyote ile kuwa mke alichangia hata msumari!🤣😂
 
Nilioa very Young nikiwa 25 tu , now I am 37 with 3 kids.

Sijawahi kuchepuka na sito wahi maana kwangu sex sio priority at all , natengeneza utajiri wa vijana ili wawe na continuinity ya mali . Halafu huku majuu tupo busy na paying bills sio mambo ya makalio na mavitu mengine…. Hayo mambo ni huko, huku life is busy and time goes fast

Halaf sisi kikwetu we are destined kuwa na proper family… sio baba huku mama kule …… kwa mfano, upande wa familia role Model wangu ni Lowasa…… ni kiongozi wa juu pekee mwenye familia bora iliyopangika…… hutoweza kusikia kelele kwenye ile familia
Eeeh,ma

Eti hujawahi kusikia kelele kwenye
familia ya Lowasa,mbona ndoa za binti zake zilikohoa kabla hajafa?
 
Dhana ya ndoa inatumika pale.mtu anapokuwa hajaoa mke mwingine .
Dhana ya ndoa haiwezi kutumika kwa mtu ambaye alikwishaoa mke kwa ndoa ya kikristu akaamua kuishi na mwanamke mwingine bila kumtaliki mke wa ndoa.
Kwanza sheria ya ndoa inakataza mtu ambaye amefunga ndoa ya kikristo kuoa mwanamke mwingine yaani kubadili ndoa ya kikristo ambayo sheria inaitambua ni monomogous iwe polymogous wake wengi
Soma vizuri kifungu hicho hapo chini na ukielewe bahati mbaya kipo kingreza .
Soma halafu uniambie umekielewaje
 
Attachments

  • Screenshot_20250807_231330_Chrome.jpg
    Screenshot_20250807_231330_Chrome.jpg
    228.1 KB · Views: 26
Sheria ya ndoa imepiga pin sana kwenye ndoa za Kikristo…. Ndio maana viongozi wengi wànakula kitimoto

Sasa , Mama Stella hana cheti cha ndoa , japo ana claim walifunga ndoa ya kanisa. Dr Fatima ana cheti cha ndoa cha Serikali

Hapo issue kwa mujibu wa mahakama ni complicated sana kwa upande Stella
Ndugai alifunga ndoa kanisani then mke wake hana cheti🤣 labda kilipotea!
 
Hivi kisheria kwa mfano mume kajenga nyumba na document zote zinaonyesha mali ni ya mume, Je mume akifa hii nyumba atairithi mke wa marehemu? Kumbuka nimesema documents zote zinaonyesha mali ni ya mwanaume kuanzia kiwanja, na zingine zooote na hakuna ushahidi wa nyaraka yoyote ile kuwa mke alichangia hata msumari!🤣😂

Mtu akifa mtu yeyote atakayeteuliwa na mahakama atazisimqmia Mali hizo hata kama hajachangia chochote kwenye upatikanaji wake wether mke,watoto au wazazi.
Wewe unachanganya na ishu za talaka ,kwenye kuachana suala la.mgawanyo wa Mali za ndoa ndio kuna mambo hayo ya kuangalia mchango wa mwenza kwenye kupatikana kwa.mali
 
Nilioa very Young nikiwa 25 tu , now I am 37 with 3 kids.

Sijawahi kuchepuka na sito wahi maana kwangu sex sio priority at all , natengeneza utajiri wa vijana ili wawe na continuinity ya mali . Halafu huku majuu tupo busy na paying bills sio mambo ya makalio na mavitu mengine…. Hayo mambo ni huko, huku life is busy and time goes fast

Halaf sisi kikwetu we are destined kuwa na proper family… sio baba huku mama kule …… kwa mfano, upande wa familia role Model wangu ni Lowasa…… ni kiongozi wa juu pekee mwenye familia bora iliyopangika…… hutoweza kusikia kelele kwenye ile familia
Powerful words
 
Hivi kisheria kwa mfano mume kajenga nyumba na document zote zinaonyesha mali ni ya mume, Je mume akifa hii nyumba atairithi mke wa marehemu? Kumbuka nimesema documents zote zinaonyesha mali ni ya mwanaume kuanzia kiwanja, na zingine zooote na hakuna ushahidi wa nyaraka yoyote ile kuwa mke alichangia hata msumari!🤣😂
It depends, Je, hiyo nyumba ni CHUMO LA NDOA( Matrimonial Property)??

1. Endapo kama jibu ni Ndiyo, Basi Mke ataweza kurithi Nyumba hiyo baada ya mume wake kufariki.
2. Kama jibu ni Hapana, Basi Mke huyo hataweza kurithi nyumba hiyo unless Marehemu Kama ataacha Wosia wa kumrithisha Mke wake nyumba hiyo.

NB: Ijue tafsiri ya kisheria ya neno CHUMO LA NDOA (Matrimonial Property) kwa mujibu wa Sheria za Tz.

Hata kama Mke wako akiwa anakupikia tu chakula, kukufulia nguo, n.k, na kamwe hachangii hata Senti moja kwenye suala la ujenzi wa nyumba ya familia, hiyo kisheria inahesabika kuwa amechangia gharama kwenye ujenzi wa nyumba hiyo. Hivyo Basi, naye pia anakuwa mmiliki mmojawapo wa nyumba husika hata kama kwenye Nyaraka zote kabisa za umiliki wa ardhi jina lake halimo
 
It depends, Je, hiyo nyumba ni CHUMO LA NDOA( Matrimonial Property)??

1. Endapo kama jibu ni Ndiyo, Basi Mke ataweza kurithi Nyumba hiyo baada ya mume wake kufariki.
2. Kama jibu ni Hapana, Basi Mke huyo hataweza kurithi nyumba hiyo unless Marehemu Kama ataacha Wosia wa kumrithisha Mke wake nyumba hiyo.

NB: Ijue tafsiri ya kisheria ya neno CHUMO LA NDOA (Matrimonial Property) kwa mujibu wa Sheria za Tz.

Hata kama Mke wako akiwa anakupikia chakula, kukufulia nguo, na kamwe hachangii hata Senti moja kwenye suala la ujenzi wa nyumba ya familia, hiyo kisheria inahesabika kuwa amechangia gharama kwenye ujenzi wa nyumba hiyo. Hivyo Basi, naye pia anakuwa mmiliki mmojawapo wa nyumba husika hata kama kwenye Nyaraka zote kabisa za umiliki wa ardhi jina lake halimo
Suppose, chakula, hapiki, nguo hafui, na hakuchangia hata senti still atakuwa na umiliki? na hivi niulize suppose mke naye amejenga nyumba na mume hakutoa hata sent je mke akifa mume atakuwa mrithi wa hiyo nyumba ya marehemu mkewe?
 
Dhana ya ndoa inatumika pale.mtu anapokuwa hajaoa mke mwingine .
Dhana ya ndoa haiwezi kutumika kwa mtu ambaye alikwishaoa mke kwa ndoa ya kikristu akaamua kuishi na mwanamke mwingine bila kumtaliki mke wa ndoa.
Kwanza sheria ya ndoa inakataza mtu ambaye amefunga ndoa ya kikristo kuoa mwanamke mwingine yaani kubadili ndoa ya kikristo ambayo sheria inaitambua ni monomogous iwe polymogous wake wengi
Soma vizuri kifungu hicho hapo chini na ukielewe bahati mbaya kipo kingreza .
Soma halafu uniambie umekielewaje
Kwenye comment yangu hiyo nimeainisha Mambo mawili:
1. Dhana ya Ndoa
2. Chumo la Ndoa.

NB: Muunganiko wa Ndoa siyo Ubia wa Kibiashara Wala siyo suala la muunganiko wa Watu wawili kwa lengo la kumiliki Mali kibiashara. La hasha!

Suala la Dhana ya Ndoa limeingizwa kwenye Sheria ya Ndoa makusudi kabisa kwa lengo kusimamia mgawanyo wa Mali (chumo la ndoa) wakati wachumba wanapoachana au wakati wa mgawanyo wa mirathi pale 'mchumba' mmojawapo anapofariki kama hivi ilivyotokea kwa Job Ndugai
 
Na lengo Kuu kabisa lililosababisha suala hili la Dhana ya Ndoa (Presumption of Marriage) Kuingizwa kwenye Sheria ya Ndoa ya Tz ni kulinda maslahi ya Wachumba (au wanandoa tarajali) wakati wanapoachana ikiwa tayari wachumba hao walishachuma Mali zao kwa pamoja kama mke na mume au katika masuala ya mgawanyo wa Mali katika Mirathi wakati mchumba mmojawapo akifariki kama hivi katika suala hili

Presumption of Marriage does not apply when one of the couple dies.
Ndio maana watu wanashauriwa sana wafunge ndoa au waandike wosia .
Wanawake wengi sana wanapoteza haki za mali pale wenza wao ambao hawajafunga ndoa anapofariki na ndugu wa marehemu wanaamua kumkataa .
Dhana ya ndoa inatumika pale mtu anapotaka kumkataa mwenza wake waliyeshi naye .
Kwenye suala la mirathi dhana ya ndoa haitimiki na wala haijawahi kutumika .
Sheria ya mirathi inatambua ndugu au wanaukoo ndio wakae kikao wateue msimamizi wa mirathi
Sasa kama kulikuwa na.mwanamke alikuwa hana cheti cha ndoa hatambuliki kwenye mirathi .
 
Kwa Watanzania wanavyopenda vitu vya kurithi utakuta Dkt Fatuma naye anakimbilia mahakamani kudai mali za Ndugai ziwe zake wakati hajazaa naye hlf akijua kbs Bi Stella ni mke halali wa Ndugai na amezaa naye watoto watatu.
Mtu kama ndugai kuumwa hadi kuwa india lazima alishaandika urithi huku nyuma wasisumbuane
 
Back
Top Bottom