Wengi wanahoji wake wa Spika Job Ndugai, na kuona mmoja amesahaulika

🤣 kimada ni kama kitimoto, unaliwa kwa siri

Yule mwanamke wa Kipare wa Katibu wa Samia Waziri Salum alikuwa akiliwa kama kimada……dada akaskotiii… kwanza akabeba mimba then akamchana live msela….tunaachana au unioe but maisha ya kufichwa kama kitimoto cha Rombo sitaki…… Shekh akaitwa chap, ubqni ukachomwa…… dada akawa Mke Rasmi na kwa sasa jamaa anatambulika anawake 2 Rasmi

Girls , wasiwe wajinga….. usiishi na mtu zaidi ya mwaka bila kukuoa……..anachunguza nini …, make a choice or else hiyo ni tapeli . Na usikubali kutumika pasipo kutambulika officially…….

Na anaekutambua wewe ni mke Rasmi ni serikali…. Kama imani hazifanani…. Msiachane kama mnapendana….. nenden serikalini Officiallze hayo mahusiano …… kuna leo na kesho

Unaweza kosa stahiki za muhimu sana
Nahisi kungekua na policy ya mapenzi kazini. Hasa ofisi namba Moja. Siku yakivunda ndo utajua hujui. Anatoa Siri zote hadharani. Mpaka zile zilizofichwa ndani ya boksi serikali haizijui.
 
..inaelekea Ndugai alizaa na Stella na Fatma.

..na inaelekea walitengana kwa muda mrefu na Stella.

..inaelekea Ndugai amekuwa na Fatma wa muda mrefu na anajulikana kama mwenza wake mpaka kwa viongozi wa Bunge, na Serikali.

..kwa mfano, Mama Makinda ameeleza jambo linalowahusu Ndugai na Fatma wakati alipokuwa Spika.

..Ndugai alipokuwa India akitibiwa Fatma ndio alikuwa naye. Suala hilo alilieleza bungeni.

..pia kuna picha za Rais Magufuli kumtembelea Ndugai nyumbani kwake na Fatma anaonekana kama Mama mwenye nyumba.

..Ushauri mzuri ni Stella na Fatma waangalie maslahi ya watoto wao badala ya kujiangalia wao.
Wewe unaakili
 
Kwenye Utumishi au Serikalini kuna Mafile 2 ; moja huwa ni your basic information and correspondences, file la pili huitwa File la Siri. Mara nyingi unaweza kustaafu usiwe umewahi kujua kumeandikwa nini .

Yupo mwana mmoja alikuwa mtumishi kwa muda very hard working, Samia alipoingia akapendekezwa ale teuzi……during vetting process …..Confidential File likaonesha kuwa yeye ni SHOGA …. So process ikawa suspended

Usiri wa file za Siri haupo kwa Job tu ……viongozi wengi wa kisiasa , wakurugenzi , top leaders both men and women by 75% of them wana familia zaidi ya moja na kote huko wanawatoto and they take care of them …..so inapokuja suala la kifo…. Serikali inachukua jalada la siri ambalo hata muhusika mwenyewe halijui …. Humo ndio itaonekana SPOUSE na watoto walioandikwa na wategemezi ni kina nani bila kujali kelele za mtaani na blah blah .

Dr. Fatima ndio mke RASMI alie appear kwenye Official document za Serikali and far better ameshawahi hata kutambulishwa RASMI bungeni. Ndoa zote zipo chini ya Serikali iwe ya dhehebu TUKUFU la kikatoliki, au msikiti au gvt itself …. Zote ni za Serikali. Mambo yenu ya dini mtabaki nayo nyie walimwengu.

Inawezekana Stella ni mke wa job, je anatambulika kwenye official document as beneficiary,? hata kama anacho cheti cha ndoa, je alijazwa kwa document za serikali nae ni beneficiary ? Mkurugenzi wa TANESCO alikuwa na wake 3 wote amewaoa……but in official document alietokea ni mmoja…. Huyo ndio beneficiary. ´Nadhan Hili eneo liangaliwe kwenye katiba mpya 🤣.

Otherwise , Job ametangulia… wewe na mimi ni wafu wenye kutembea….it is just a matter of time….kila Mtu atalamba udongo na kila mtu ataliwa na mchwa….ubongo na private parts zitaliwa na wadudu watashiba na watazaliana…..is no joke…..

Yes , Viongozi hawa ni wezi na ruthless and they think they are special wakati most of them wametoka POOR FAMILIES na kwa hakika nature itawahukumu kwa matendo yao.

Ukiwa Umeaminiwa Tenda haki, huna uspesho wowote wewe ni chakula cha wadudu kwa namna yoyote.
Marehemu wakati wa uhai wake alikumbuka kutubu hii dhambi?

View: https://youtu.be/pxhY4mJIGwc?si=klLYxOk_FxJYcY1A
 
Sasa mbona nchi za Kiislam zina kiwango kidogo sana cha maambukizi ya UKIMWI licha ya kuwa Dini yao imehalalisha kuoa mke zaidi ya mmoja?

Itakuwa umekariri vibaya au hujafanya tafiti zako vizuri.

Unstable families zina sababu nyingi kubwa na usikimbilie polygamy.

Uislam ndio umeweka utaratibu mzuri zaidi wa Polygamy.

Sio watu wana michepuko kila mji na wengine wanawaficha kama bangi.
Hakuna heri kwenye Polygamy ….. fanya study fanya study kijana…… do not be
Too Subjective …….fanya study hata kwa 20 women wa kiislam unaowajua wawe honest….. nini mtazamo wao wa polygamy

Kwa mwanamke yoyote kuolewa mitara ni sawa na Kumwaga petrol kwenye kidônda

Wengi watavumilia kama upo vema financially…. Utasikia atajua mwenyewe…. Mimi nalea wanangu tu

Polygamy kwa maisha ya sasa ni irrelavant na haiwezi kuleta uimara wa familia

Mwanamke mwenye maono , akili na anaetaka familia yenye kujielewa hawezi kukubali MITARA, never
 
Yupo mwana mmoja alikuwa mtumishi kwa muda very hard working, Samia alipoingia akapendekezwa ale teuzi……during vetting process …..Confidential File likaonesha kuwa yeye ni SHOGA …. So process ikawa suspended
Kama hili lingekuwa linazingatia kusingekuwa na mawaziri mashoga na wasagajiwakurugenzi mashoga na wasagaji,makatibu mashoga na wasagaji nk nk
 
Hadi uthibitishe

Kuna wengine wanakuwa obvious miscles zimeshalegea kila mahali
 
🤣 huko ni kuleta maukimwi na ku create unstable family kwa maisha ya sasa

Hayo mambo waachieni waarabu….. hata waaarabu wa sasa imeshawashinda

Moja ya study yangu ya underground nilienda kuangalia risk ya Polygam kwa cases za HIV

POLYGAMY NI anather risk of HIV transmission na unstable familles
Taarifa ikufikie kuwa Rais mstaafu, mzee Mwinyi alikuwa na mke zaidi ya mmoja.
 
Kwenye Utumishi au Serikalini kuna Mafile 2 ; moja huwa ni your basic information and correspondences, file la pili huitwa File la Siri. Mara nyingi unaweza kustaafu usiwe umewahi kujua kumeandikwa nini .

Yupo mwana mmoja alikuwa mtumishi kwa muda very hard working, Samia alipoingia akapendekezwa ale teuzi……during vetting process …..Confidential File likaonesha kuwa yeye ni SHOGA …. So process ikawa suspended

Usiri wa file za Siri haupo kwa Job tu ……viongozi wengi wa kisiasa , wakurugenzi , top leaders both men and women by 75% of them wana familia zaidi ya moja na kote huko wanawatoto and they take care of them …..so inapokuja suala la kifo…. Serikali inachukua jalada la siri ambalo hata muhusika mwenyewe halijui …. Humo ndio itaonekana SPOUSE na watoto walioandikwa na wategemezi ni kina nani bila kujali kelele za mtaani na blah blah .

Dr. Fatima ndio mke RASMI alie appear kwenye Official document za Serikali and far better ameshawahi hata kutambulishwa RASMI bungeni. Ndoa zote zipo chini ya Serikali iwe ya dhehebu TUKUFU la kikatoliki, au msikiti au gvt itself …. Zote ni za Serikali. Mambo yenu ya dini mtabaki nayo nyie walimwengu.

Inawezekana Stella ni mke wa job, je anatambulika kwenye official document as beneficiary,? hata kama anacho cheti cha ndoa, je alijazwa kwa document za serikali nae ni beneficiary ? Mkurugenzi wa TANESCO alikuwa na wake 3 wote amewaoa……but in official document alietokea ni mmoja…. Huyo ndio beneficiary. ´Nadhan Hili eneo liangaliwe kwenye katiba mpya 🤣.

Otherwise , Job ametangulia… wewe na mimi ni wafu wenye kutembea….it is just a matter of time….kila Mtu atalamba udongo na kila mtu ataliwa na mchwa….ubongo na private parts zitaliwa na wadudu watashiba na watazaliana…..is no joke…..

Yes , Viongozi hawa ni wezi na ruthless and they think they are special wakati most of them wametoka POOR FAMILIES na kwa hakika nature itawahukumu kwa matendo yao.

Ukiwa Umeaminiwa Tenda haki, huna uspesho wowote wewe ni chakula cha wadudu kwa namna yoyote.

Kwa Sheria za Tanzania, kuwepo kwa Ndoa Kati ya Mume na Mke hakuthibitishwi kwa kuwepo kwa Cheti Cha Ndoa tu peke yake, hata Dhana ya Ndoa (Presumption of Marriage) pia ni Uthibitisho tosha Mojawapo wa kwamba Wahusika walikuwa au ni Wenza.

Kwa Kesi hii ya huyu mtu, nadhani busara ya Mahakama itatumika katika kuamua Mgawanyo wa Mirathi ya huyo Marehemu kwa hawa Wenza wake wawili aliokuwa nao. Naamini kwamba kila mmoja hapo ana Haki ya kupata Urithi wake kutoka kwa huyo Marehemu.

Huyo Mwanamke RAS wa Singida hata kama hakufunga naye Ndoa kisheria Wala hakuzaa na huyo Marehemu, bado anayo Haki ya kupata Mgawo wa Mali kutoka kwa huyo Marehemu.

Kumbukeni tafsiri za kisheria za maneno haya:-
1. Dhana ya Ndoa (Presumption of Marriage).
2. CHUMO LA NDOA (Matrimonial Property)
Ukizingatia Ukweli halisi kwamba huyo Marehemu Job Ndugai tayari alishatengana muda mrefu na huyo Mwanamke aliyefungua naye Ndoa kanisani. Walikuwa hawaishi pamoja, na wakati huyo Job Ndugai alipokuwa anachuma baadhi ya Mali zake alizoziacha, huyo Mwanamke aliyefungua naye ndoa kamwe hakuchangia kitu chochote kile (hakutoa jasho lake) kwenye upatikanaji wa hizo Mali kwa sababu walikuwa hawaishi pamoja. Hivyo basi, huyo Mwanamke hawezi kuwa na Haki ya kupatiwa mgawo wa hizo Mali. Badala yake, huyo Mwanamke wa pili (huyo RAS) ambaye alikuwa akiishi pamoja na huyo Marehemu atakuwa ana Haki zote kabisa za kupata Mgawo wake kwa sababu upatikanaji wa Mali hizo yeye binafsi (RAS) ana mchango wake(i.e Matrimonial Property) chini ya kigezo Cha kuwepo kwa Dhana ya Ndoa.
 
Kwa Sheria za Tanzania, kuwepo kwa Ndoa Kati ya Mume na Mke hakuthibitishwi kwa kuwepo kwa Cheti Cha Ndoa tu peke yake, hata Dhana ya Ndoa (Presumption of Marriage) pia ni Uthibitisho tosha Mojawapo wa kwamba Wahusika walikuwa au ni Wenza.

Kwa Kesi hii ya huyu mtu, nadhani busara ya Mahakama itatumika katika kuamua Mgawanyo wa Mirathi ya huyo Marehemu kwa hawa Wenza wake wawili aliokuwa nao. Naamini kwamba kila mmoja hapo ana Haki ya kupata Urithi wake kutoka kwa huyo Marehemu.

Huyo Mwanamke RAS wa Singida hata kama hakufunga naye Ndoa kisheria Wala hakuzaa na huyo Marehemu, bado anayo Haki ya kupata Mgawo wa Mali kutoka kwa huyo Marehemu.

Kumbukeni tafsiri za kisheria za maneno haya:-
1. Dhana ya Ndoa (Presumption of Marriage).
2. CHUMO LA NDOA (Matrimonial Property)
Ukizingatia Ukweli halisi kwamba huyo Marehemu Job Ndugai tayari alishatengana muda mrefu na huyo Mwanamke aliyefungua naye Ndoa kanisani. Walikuwa hawaishi pamoja, na wakati huyo Job Ndugai alipokuwa anachuma baadhi ya Mali zake alizoziacha, huyo Mwanamke aliyefungua naye ndoa kamwe hakuchangia kitu chochote kile (hakutoa jasho lake) kwenye upatikanaji wa hizo Mali kwa sababu walikuwa hawaishi pamoja. Hivyo basi, huyo Mwanamke hawezi kuwa na Haki ya kupatiwa mgawo wa hizo Mali. Badala yake, huyo Mwanamke wa pili (huyo RAS) ambaye alikuwa akiishi pamoja na huyo Marehemu atakuwa ana Haki zote kabisa za kupata Mgawo wake kwa sababu upatikanaji wa Mali hizo yeye binafsi (RAS) ana mchango wake(i.e Matrimonial Property).
Ufafanuzi Mzuri Quod.
 
Kama Job alifunga ndoa kanisani na Stela,na hakuwahi kumtakaki kwa uasherati ambao dini ndio inatambua sababu pekee ya kuvunja ndoa,Hapo bi Fatma ni kimada hana chake,Kama angekuwa amezaa nae basi angekula kupitia mtoto maana kwenye mirathi watoto wote ni sawa
 
hata watoto naona wamekwepa kutaja idadi!....
Bi STELLA tayari kesha zidiwa kete, maana hatambuliki popote, ila uzuri wake yeye ndie alie zaa na ndugai watoto watatu, ila Bi Fatuma hakubahatika kuzaa na Ndugai.
Kumbe Fatima hajazaa?Sasa why Ndugai aliambatana na Fatima hata India?
 
Amezaa nae

Pia Job ndio alie mu officialize Dr Fatima

Sasa Job ndio
Anajua zaidi…..
Amezaa nae watoto wangapi ??Maana inasemekana walikutana huyu Fatima akiwa Dr Kongwa .Na alimchukua kutoka kwa mwanaume mwingine .Au watoto aliomkuta nao kawaadopt?
 
Kama Job alifunga ndoa kanisani na Stela,na hakuwahi kumtakaki kwa uasherati ambao dini ndio inatambua sababu pekee ya kuvunja ndoa,Hapo bi Fatma ni kimada hana chake,Kama angekuwa amezaa nae basi angekula kupitia mtoto maana kwenye mirathi watoto wote ni sawa
You are wrong in some extent.

1. Ni kweli kabisa kwamba Watoto wa Marehemu watapata mgawo wa Mali za baba yao.
2. Bi Fatuma siyo kimada kama unavyofikiri, bali pia ni Mwenza Halali wa Marehemu kwa mujjbu wa Sheria ya Ndoa ya Tz chini ya Kifungu Cha Sheria hiyo kinachotambua uwepo wa Dhana ya Ndoa ( Presumption of Marriage).
Hivyo Basi, Bi Fatuma atapata Mgawo wake wa Mirathi kutoka kwa Marehemu hata kama hawakuwahi kufunga Ndoa officially.
Kumbuka: Job Ndugai alishatengana muda mrefu na huyo Mwanamke wa kwanza ambaye alifunga naye Ndoa kanisani.
Baadhi ya Mali zake huyo Marehemu amezichuma akiwa anaishi pamoja na huyo Mwanamke wa pili Bi. Fatuma. Hivyo Basi, huyo Mwanamke wa kwanza aliyefunga naye Ndoa Kanisani hana Haki kabisa za kuweza kupata Mgawo kutoka kwenye Mali hizo kwa sababu hajachangia kitu chochote kile kwenye upatikanaji wa Mali hizo.
 
Amezaa nae watoto wangapi ??Maana inasemekana walikutana huyu Fatima akiwa Dr Kongwa .Na alimchukua kutoka kwa mwanaume mwingine .Au watoto aliomkuta nao kawaadopt?
Stori za Koridon

Wana two kids
 
You are wrong in some extent.

1. Ni kweli kabisa kwamba Watoto wa Marehemu watapata mgawo wa Mali za baba yao.
2. Bi Fatuma siyo kimada kama unavyofikiri, bali pia ni Mwenza Halali wa Marehemu kwa mujjbu wa Sheria ya Ndoa ya Tz chini ya Kifungu Cha Sheria hiyo kinachotambua uwepo wa Dhana ya Ndoa ( Presumption of Marriage).
Hivyo Basi, Bi Fatuma atapata Mgawo wake wa Mirathi kutoka kwa Marehemu hata kama hawakuwahi kufunga Ndoa officially.
Kumbuka: Job Ndugai alishatengana muda mrefu na huyo Mwanamke wa kwanza ambaye alifunga naye Ndoa kanisani.
Baadhi ya Mali zake huyo Marehemu amezichuma akiwa anaishi pamoja na huyo Mwanamke wa pili Bi. Fatuma. Hivyo Basi, huyo Mwanamke wa kwanza aliyefunga naye Ndoa Kanisani hana Haki kabisa za kuweza kupata Mgawo kutoka kwenye Mali hizo kwa sababu hajachangia kitu chochote kile kwenye upatikanaji wa Mali hizo.
Sahihi…. Tatizo wengi wanakariri hawajui kuwa JF tuna experts wa kila aina
 
Back
Top Bottom