Kwenye Utumishi au Serikalini kuna Mafile 2 ; moja huwa ni your basic information and correspondences, file la pili huitwa File la Siri. Mara nyingi unaweza kustaafu usiwe umewahi kujua kumeandikwa nini .
Yupo mwana mmoja alikuwa mtumishi kwa muda very hard working, Samia alipoingia akapendekezwa ale teuzi……during vetting process …..Confidential File likaonesha kuwa yeye ni SHOGA …. So process ikawa suspended
Usiri wa file za Siri haupo kwa Job tu ……viongozi wengi wa kisiasa , wakurugenzi , top leaders both men and women by 75% of them wana familia zaidi ya moja na kote huko wanawatoto and they take care of them …..so inapokuja suala la kifo…. Serikali inachukua jalada la siri ambalo hata muhusika mwenyewe halijui …. Humo ndio itaonekana SPOUSE na watoto walioandikwa na wategemezi ni kina nani bila kujali kelele za mtaani na blah blah .
Dr. Fatima ndio mke RASMI alie appear kwenye Official document za Serikali and far better ameshawahi hata kutambulishwa RASMI bungeni. Ndoa zote zipo chini ya Serikali iwe ya dhehebu TUKUFU la kikatoliki, au msikiti au gvt itself …. Zote ni za Serikali. Mambo yenu ya dini mtabaki nayo nyie walimwengu.
Inawezekana Stella ni mke wa job, je anatambulika kwenye official document as beneficiary,? hata kama anacho cheti cha ndoa, je alijazwa kwa document za serikali nae ni beneficiary ? Mkurugenzi wa TANESCO alikuwa na wake 3 wote amewaoa……but in official document alietokea ni mmoja…. Huyo ndio beneficiary. ´Nadhan Hili eneo liangaliwe kwenye katiba mpya 🤣.
Otherwise , Job ametangulia… wewe na mimi ni wafu wenye kutembea….it is just a matter of time….kila Mtu atalamba udongo na kila mtu ataliwa na mchwa….ubongo na private parts zitaliwa na wadudu watashiba na watazaliana…..is no joke…..
Yes , Viongozi hawa ni wezi na ruthless and they think they are special wakati most of them wametoka POOR FAMILIES na kwa hakika nature itawahukumu kwa matendo yao.
Ukiwa Umeaminiwa Tenda haki, huna uspesho wowote wewe ni chakula cha wadudu kwa namna yoyote.