Wengi wanahoji wake wa Spika Job Ndugai, na kuona mmoja amesahaulika

Kwa Watanzania wanavyopenda vitu vya kurithi utakuta Dkt Fatuma naye anakimbilia mahakamani kudai mali za Ndugai ziwe zake wakati hajazaa naye hlf akijua kbs Bi Stella ni mke halali wa Ndugai na amezaa naye watoto watatu.
Labda mwamba ATAKUA ameacha wosia kurahisisha.

Mi nikipata mali labda nife ghafla hakutakua na Cha kurithi. Kila mtu nitampa chake nikiwa hai. Hii inaitwa estate planning.....
 
Duuh Kuna shoga mkuu aliwashtukia wajumbe! Akajiteua kwa njia za panya!
 
Ametumia conspiracy theory kujustify alichoandika nusu kweli nusu uongo
 
Yupo mwana mmoja alikuwa mtumishi kwa muda very hard working, Samia alipoingia tu , Jamaa akawa ameshakula uteuzi one of the highest position, lilipokuja jalada la Siri, jamaa ikaonekana file lake limeandikwa kuwa yeye ni SHOGA …. So teuzi ikawa withdrawn ila yeye hajui why teuzi was withdrawn.

Hapo maana yake ilikua nini ?
 
Kama ulivoelewa. Chukua maana iliyokuja kwenye akili yako

Trust your instincts Junior
 
Tafuta hukumu ya Nyimbo vs Nyimbo Ina toa position ya shetia kwenye issue ya ndoa ya kwanza na ya pili endeoo ya kwanza haijavunjwa
 
Kwa hiyo akiwa Shoga ni shida ila akiwa anajula Mashoga ni fresh tu? Kwa sababu hawa wanaokula, wanasababisha uwepo wa wanaouliwa.

Na vipi wanawake wanaoliwa, huwa wanateuliwa huko Serikalini?
 
Labda mwamba ATAKUA ameacha wosia kurahisisha.

Mi nikipata mali labda nife ghafla hakutakua na Cha kurithi. Kila mtu nitampa chake nikiwa hai. Hii inaitwa estate planning.....
🤣
 
hata watoto naona wamekwepa kutaja idadi!....
Bi STELLA tayari kesha zidiwa kete, maana hatambuliki popote, ila uzuri wake yeye ndie alie zaa na ndugai watoto watatu, ila Bi Fatuma hakubahatika kuzaa na Ndugai.
Naona anaweza kupata kikubwa kupitia watoto wake..maana hapa mgao utapita kisha watoto watabaki na mama
 
Hilo unajua wewe

Kinachoangaliwa yeye alijaza nini
Wake wa hayati Sokoine walitambuliwa wote na kuhudumiwa na serikali na hata RC walimzika kwa taratibu zote sijui kwa nini kuna utata kwa hawa.
Ila kwa Samia atawahidumia wote kimya kimya kama slivyolipa kesi zilizoachwa na awamu ya Magufuli bila sheria wala kibali cha bunge.
 
Acha kuchanganya mambo! Ndugai kabla ya kuwa Spika alikuwa mtumishi wa kawaida na bahati nzuri alioa kabla hajawa Spika kwa hiyo taarifa za mke wa kwanza zimo katika faili lake la Siri!

Huyo mke wa pili Dr. Fatuma, alimuoa baada ya kuwa fisadi na ana fedha za kutosha. Kwa kuzingatia hilo lazima mke wa kwanza apewe kipaumbele!
 
Uliziona ? Taarifa za utumishi una update kila baada ya muda gani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…