Wengi wanaotaka wake zao wasifanye kazi wana upeo mdogo wa kufikiri halafu ni wabinafsi

Huja Mamlaka ya mtu yeyote wewe.
Huja Mamlaka kisheria ya kumuamulia mkeo afanye kazi au asifanye. Hiyo ni hiyari yake.

Mawazo haya anatakiwa atoe mtu wa zamani ambaye hana elimu yoyote Il
The moment anakubali kuolewa na mwanaume, akakubali kutoka kwao au kwake na kumfuata mwanaume. Maana yake amekubali ku submit some of her rights Kwa huyo mwanaume. Labda kama mumeoana au mwanaume ameolewa. Ndoa ni taasisi and there must be a leader anayeiongoza. Sasa inategemeana, umemuoa na upate mandate ya kumuongoza, mumeoana Ili mshee powers au umeolewa Ili akuongoze yeye.
 

Hiyo ni sheria ya wapi?
Tangu Dunia inaumbwa wanawake na wanaume wanafanya kazi kama nature itakavyo. Kabla mashetani na Watu binafsi hamjaingia.
 
Kama ni mke wangu nitakupangia na ukibisha unarudi kwenu mchana saa saba

😂😂
Kama upo kijijini atarudi kwao lakini majiji makubwa huwezi sema hivyo.
Ati anarudi kwao kwani wewe ndio unamuamulia wapi pakwenda?
 

Nionyeshe wapi kuna wamama wanyumbani ambao hawatoki nje.
Uzinzi ni tabia haihusiani na mtu kufanya kazi au kutokufanya Mkuu
 

😂😂

Unapausha mtoto wa mtu. Au unamzeesha kwa mlo mmoja kila siku ugali kabeji. Alafu unaambiwa Mama mkwe anashida ya hela ya palizi. Huna uwezo wa kutoa pesa na bado unasema wewe ni mwanaume. Shenzhen types
 
Bro umeanza kazi ya ushauri kwa wanaume wenzio waliooa ?
 
Simple kama hela za mawazo tafuta mwanamke mfanyakazi ....kama hela nyingi na una asset chagua golikipa wako enjoy maisha na competition ndogo and peace ....ila ukiwa kajamba nani kama mwandishi hela huna tafuta dem mfanye kazi wote
 
Simple kama hela za mawazo tafuta mwanamke mfanyakazi ....kama hela nyingi na una asset chagua golikipa wako enjoy maisha na competition ndogo and peace ....ila ukiwa kajamba nani kama mwandishi hela huna tafuta dem mfanye kazi wote

Wewe angalau umeelewa mada.
 
Kwani akifanya kazi hawezi kuwa pambo au kumburudisha mumewe?

Kuna wanawake wanaofanya kazi na bado ni warembo kuliko wanaokalizwa nyumbani.
Hoja yako haina mashiko
Hapo sasa ni kumpa kazi mbili ambayo ni ngumu sana. Ni sawa na wewe urudi nyumbani kutoka kazini halafu mkeo akuombe umpikie na umsaidie kufua nguo za mtoto na kumbembeleza alale. Ni ngumu sana.
 
Mentality ya Kimaskini sana hii
 
Hapo sasa ni kumpa kazi mbili ambayo ni ngumu sana. Ni sawa na wewe urudi nyumbani kutoka kazini halafu mkeo akuombe umpikie na umsaidie kufua nguo za mtoto na kumbembeleza alale. Ni ngumu sana.

Mkuu upo dunia ipi hiyo?
Yaani dunia hii iliyoahirishwa na tunavyohangaika kutafuta pesa bado mkeo afue nguo. Mashine zinauzwa mpaka laki tano.
Majiko yanayorahisisha mapishi ambayo ukipika humalizi lisaa kimoja yapo.

Huko kuchoka kunatoka wapi Mkuu?
Ndio maana ya kufanya kazi na kazi na Dawa
 
Mkuu Robert, itoshe kukuambia wewe oa mwanamke anaefqnya kazi, na mimi (sisi wengine) tutaoa magolikipa. Kila mtuvna test yake, na hitaji lake.
 
Uyu ajakua ngoja yamkute kapata kidemu Cha chuo washapanga mipango wajenge kwa pesa ya mwanamke
Hahahaaa, kuna mwanangu alioa mwanamke mfanya kazi miaka miwili iliyopita, wakajenga nyumba fasta ilabpesa ilikua ya demu yeye mwenyewe alikua anakiri. Sasa hivi kimeanza kuuma, kila siku analia status na jumbe za mafumbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…