Wengine hatuwezi ku-date na Mwanamke asiyeweza kujilipia nauli na kujinunulia vocha

Waulize Wanawake watakuambia.
Wapo wanaopewa mpaka Pesa na Wanawake. Unaishi wapi Mkuu.

Kuna Wanawake hapa mjini wamewapa Vijana mitaji na biashara zinasonga, au unataka niwataje
Nashindwa kuelewa wengine wanaishi vijiji gani sijui kiasi cha kushindwa ku experience mambo madogo madogo kama haya!?
 
Aisee kumbe wanwake wa jf wao wameolewa na wasiowapenda😲😲😲😲
Aisee balaaa
 
Leo mmetokea wapi wanaume wenye busara hivi??😍😍
 
Jamani siku zote unajifichaga wapi wewe?kumbe una akili hivi?mwambieni huyu mwenzenu,imagine mwanaume anaogopa kununua vocha!vocha jamani🙄🙄🙄nauli ya sh laki Moja Kweli?!?
 
Ki kanuni, Ki biblia jukumu lako ni kupenda, yeye kuheshimu, na unafanya sehemu yako bila kuangalia yeye kama kafanya yake.
Wanatulazimisha tuwapende,wakati tumeagizwa tuwaheshimu
 
Safi sana,you are correct [emoji817]
 
Sio kweli,mwanaume kumuhudumua mke wake anayependa ni wajibu
 
Sasa huyo ndio Mwanamke.
Mwanamke akikupenda Hii Dunia yote ni yako
Mwanamke AKUPENDE? Seriously?

Wakosai 3:18-19
Enyi wake,watiini waume zenu,kwani ndivyo APENDAVYO Bwana.Nanyi waume wapendeni wake zenu msiwe wakali kwao

Waefeso 5:25
Ninyi waume WAPENDENI wake zenu kama Kristo alivyolipenda kanisa akajitoa nafasi yake Kwa ajili yake.

Hayo mambo ya sisi kupenda wanaume hatujaagizwa,,,tumeagizwa kuwatii waume zetu.na tutakutii ikiwa Utawajibika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…