Wengine hatuwezi ku-date na Mwanamke asiyeweza kujilipia nauli na kujinunulia vocha

Wengine hatuwezi ku-date na Mwanamke asiyeweza kujilipia nauli na kujinunulia vocha

Waulize Wanawake watakuambia.
Wapo wanaopewa mpaka Pesa na Wanawake. Unaishi wapi Mkuu.

Kuna Wanawake hapa mjini wamewapa Vijana mitaji na biashara zinasonga, au unataka niwataje
Nashindwa kuelewa wengine wanaishi vijiji gani sijui kiasi cha kushindwa ku experience mambo madogo madogo kama haya!?
 
Hujamwelewa mtoa mada naona umekurupuka kumponda ili upate likes za wadada sijui.

Nilivomwelewa mtoa mada ni kuwa yeye hajakataa kumpa hela mke/mpenzi wake, kwasababu kiuhalisia Na kihaki kabisa hilo ni jukumu letu sisi wanaume kuwapa hela wake/wapenzi wetu, alichokataa Mtibeli ni yeye kutumika.

Na hii ni kwasababu kuna wanawake wana mindset za kishetani, yupo na wewe kwenye mahusiano ili umpe hela na kiuhalisia moyoni hakupendi kabisa na havutiwi na wewe kimapenzi.

Mara nyingi wanawake wanawaambiaga rafiki zao kwenye vijiwe vyao vya story, yule mwanaume sio type yangu, simpendi ila niko naye tu kwenye mahusiano ili nimalizie nyumba yangu, aweze lipa kodi mjini, ajikimu kimaisha, infact hata humu jf wanawake wengi wanakiri kuwa wanaolewa kisa matunzo/pesa ilhali hawavutiwi kimapenzi na waume zao.

Huo ndio utapeli ambao mtibeli ameukataa uttoh2002
Aisee kumbe wanwake wa jf wao wameolewa na wasiowapenda😲😲😲😲
Aisee balaaa
 
Kila mtu ale kwa urefu wa kamba.Wanaume tutafute hela..na ukijaliwa kupata kiasi panga na kuchagua mwenyewe starehe utakayo....kama ni mwanamke tafuta unaendana naye....kama huna hela za kutosha weka budget kali....tafuta wanawake watakaojiongeza- kama uwezo wa kutuma nauli hata kama ni London upo..na nafsi yako inapenda na unajisikia amani-fanya tu...

Mwisho wa siku maisha haya yote ni kujilisha upepo..yanapita....tufanye mambo yanayotupa amani....na yaliyo ndani ya uwezo wetu.

Unaweza ukakaza ukaacha mali za kutosha watoto wako wa kiume na kike wakatapanya-mali zikauzwa hata hujaoza kaburini...
Maisha hayana formula haya -FANYA KILE ROHO YAKO INAAMANI
Leo mmetokea wapi wanaume wenye busara hivi??😍😍
 
Wengine huwa hawaishi na wanawake, wanaishi wenyewe mpaka wanakufa. MWANAUME aliyakmilika anasaidia mwanamke wake kwa Upendo anapokuwa ma uwezo.

Huwezi kuwa mwanaume timamu, unayejiandaa na kujipanga kutosaidia mwanamke, mna shida gani vizazi vya kipindi hiki?

Misingi ya ndoa, ambayo inaonekana kwenye uanaume na uanawake toka utotoni,

A Man is'

  • Protector.
  • Provider.

Yani ili nijisikie vizuri i lazima ni provide na ku protect ( kwa uwezo na Upendo lakini), sio kujiumiza, kujiumiza haifai, na hapo utapendeka.

Nachokupinga ni kwamba wewe unajiandaa kwenda kinyume na kanuni za k uanaume na uanawake, na hapo ndo Unaharibu.

Mwanamke uliyemchagua, ukampenda kwa Hiyari, lazima u provide, lazima umsaidie, lazima umvishe, lazima ajisikie yupo na mtu (ila kwa Upendo, na uwezo)

Vitu vyenyewe unavyolalamikia ni vocha nauli! Uwewahi jiuliza kwa nini wanaume ni wateja kwenda kununua Malaya? Inatokana na asili......

Mwanaume is considered ana benefit kwa sex, na mwanamke ni kama anatoa service, ni asili, ni nature, ndivyo ilivyo.

Kama ukiwa na akshi unaenda nunua mwanamke, kwa nini usimhudumie unayempenda kwa dhati kwa uwepo wako kwenye maisha yako?

Aisee kama una miaka zaidi ya 30, wewe utakuwa ni mtu wa hovyo sana.
Jamani siku zote unajifichaga wapi wewe?kumbe una akili hivi?mwambieni huyu mwenzenu,imagine mwanaume anaogopa kununua vocha!vocha jamani🙄🙄🙄nauli ya sh laki Moja Kweli?!?
 
Wengine huwa hawaishi na wanawake, wanaishi wenyewe mpaka wanakufa. MWANAUME aliyakmilika anasaidia mwanamke wake kwa Upendo anapokuwa ma uwezo.

Huwezi kuwa mwanaume timamu, unayejiandaa na kujipanga kutosaidia mwanamke, mna shida gani vizazi vya kipindi hiki?

Misingi ya ndoa, ambayo inaonekana kwenye uanaume na uanawake toka utotoni,

A Man is'

  • Protector.
  • Provider.

Yani ili nijisikie vizuri i lazima ni provide na ku protect ( kwa uwezo na Upendo lakini), sio kujiumiza, kujiumiza haifai, na hapo utapendeka.

Nachokupinga ni kwamba wewe unajiandaa kwenda kinyume na kanuni za k uanaume na uanawake, na hapo ndo Unaharibu.

Mwanamke uliyemchagua, ukampenda kwa Hiyari, lazima u provide, lazima umsaidie, lazima umvishe, lazima ajisikie yupo na mtu (ila kwa Upendo, na uwezo)

Vitu vyenyewe unavyolalamikia ni vocha nauli! Uwewahi jiuliza kwa nini wanaume ni wateja kwenda kununua Malaya? Inatokana na asili......

Mwanaume is considered ana benefit kwa sex, na mwanamke ni kama anatoa service, ni asili, ni nature, ndivyo ilivyo.

Kama ukiwa na akshi unaenda nunua mwanamke, kwa nini usimhudumie unayempenda kwa dhati kwa uwepo wako kwenye maisha yako?

Aisee kama una miaka zaidi ya 30, wewe utakuwa ni mtu wa hovyo sana.
Safi sana,you are correct [emoji817]
 
Mwanaume hawezi kuwa mtumwa WA Mwanamke.
Kitendo cha kumhudumia Mwanamke mbinafsi Kwa kigezo cha kumpenda moja Kwa moja kinaonyesha mwanaume hajiamini na NI mtumwa wa huyo Mwanamke.

Mwanaume hata awe na Pesa au utajiri wa kiwango gani, kumsaidia Mwanamke kunaendana na tabia za Mwanamke husika. Na hapa nazungumzia Tabia njema.
Sio kweli,mwanaume kumuhudumua mke wake anayependa ni wajibu
 
Sasa huyo ndio Mwanamke.
Mwanamke akikupenda Hii Dunia yote ni yako
Mwanamke AKUPENDE? Seriously?

Wakosai 3:18-19
Enyi wake,watiini waume zenu,kwani ndivyo APENDAVYO Bwana.Nanyi waume wapendeni wake zenu msiwe wakali kwao

Waefeso 5:25
Ninyi waume WAPENDENI wake zenu kama Kristo alivyolipenda kanisa akajitoa nafasi yake Kwa ajili yake.

Hayo mambo ya sisi kupenda wanaume hatujaagizwa,,,tumeagizwa kuwatii waume zetu.na tutakutii ikiwa Utawajibika.
 
Back
Top Bottom