Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #201
Mwanamke AKUPENDE? Seriously?
Wakosai 3:18-19
Enyi wake,watiini waume zenu,kwani ndivyo APENDAVYO Bwana.Nanyi waume wapendeni wake zenu msiwe wakali kwao
Waefeso 5:25
Ninyi waume WAPENDENI wake zenu kama Kristo alivyolipenda kanisa akajitoa nafasi yake Kwa ajili yake.
Hayo mambo ya sisi kupenda wanaume hatujaagizwa,,,tumeagizwa kuwatii waume zetu.na tutakutii ikiwa Utawajibika.
🤣🤣🤣ATI Mwanamke anakuambia kama usiponipa hiki Mimi na wewe basi, na wewe unaanza kuhangaika. Mpumbavu wewe!
Kwa kweli.nyumbani ni salamaNjoo nyumbani
🤣🤣🤣Mwanamke hakuombi hata hela ya kununua Peruvian Hair, sembuse ya kwenda kusafisha Kucha Saluni.
Unadate na Mwanamke ambaye hakuombi Vocha si atafanya akili yako ilale, Mwanamke lazima akuombe vi elfu 50, 50 ili akufanye utie bidii kutafuta hela
Siku nyingine usome post kwanza😂Kwa kweli.nyumbani ni salama
🤣🤣🤣WAnawaharibia wenzenu wale wanaume halisia ...kutoa pesa yeye sio shida zake...hao mngeanza nao mkawa kitu kimoja💃
Imebidi nitumie lugha hii rahisi kuweza kueleweka.Unachotaka kuongea hapa ni tofauti na ulichoongea mwanzo.
Jamani 😅😅🏃🏃🏃Ubahili tu
Mambo yamekuwa mengi sio poa!!Legend yaani mnanipa mawazo sana kama mnaogopa hata kununua vocha jamani,.....jamani kizazi Cha baba zetu ndio kinaishia hivyo
Hicho kibali Cha kuanza kupingana na Biblia umekitoa wapi??Paul hawezi kuwa reference nzuri kwenye mambo ya sheria. Tena sheria za mahusiano.
Paulo ni kama Yesu, ishu za mahusiano ya kindoa hatuwezi kumtumia MTU ambaye hana uzoefu wa mahusiano. Na ambaye hajawahi kuingia kwenye ndoa.
Hapo labda uwataje kina Ibrahim, Yakobo, Daudi, Suleiman na wote waliokuwa na familia.
Lakini kina Daniel, Isaya, Yesu, Paulo na wa mfano huo hawawezi kuwa role model wa mambo hayo.
Ananivuruga😂😂😂Siku nyingine usome post kwanza😂
Mleta Uzi ni MPARE by tribe tumuelewe tu.Mkuu unaonaje ukigombea nafasi ya mwenyekiti wa UWABATA( Umoja wa Wanaume Bahili Tanzania)?
Hicho kibali Cha kuanza kupingana na Biblia umekitoa wapi??
Anyways,hata tukiwaangalia hao uliowataja kama reference
Suleiman,Kuna Muongaji kama huyu tangu kuumbwa Kwa ulimwengu?fuatilia chanzo Cha "The hanging garden ya Babylon ndio utajua hujui
Daudi,huyo kama hujui ndio kiboko mwingine,kama unabisha muulize mke wa Uria akuoe Stori
Ibrahim,Hakuna mwanamke alikuwa anadekezwa kama Sarah kama hujui huyu hata vyombo alikuwa haoshi,kila kitu analetewa na Ibu,kazi anafanya Hajir,
Tena hao uliowatoa mfano wanahonga Vito vya thamani,dhahabu,rubi,lulu sio nyie wa siku hizi hata vocha mnashindwa nunua Pete ya silver mtaweza?
Mleta Uzi ni MPARE by tribe tumuelewe tu.
Upendo una gharama both side! Kama one side haigharamikii basi hamna upendo. Kama unashindwa vidogo vidogo kama Vocha au Nauli nini utagharamia kwenye relationship. Huyo kupe hafai.
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app