Wengine hatuwezi ku-date na Mwanamke asiyeweza kujilipia nauli na kujinunulia vocha

Hawa wanawake majambazi wamejazana hapo sinza,tbt kino atumie hela yake?
Anakwambia bby mi siji na bajaj nijazie mafuta nidrive.
Ukimpa imekula kwako.
Utachoma mahindi hatokei
Unaishia kutukana mitusi yote duniani.
Inakuwaje mtu ana gari halafu halafu hela ya mafuta hana, kila siku vizinga vya kuwekewa mafuta loh. Ukimpenda mwanaume wala husubiri sijui upewe hela au utumiwe nauli.
 
Mbona wewe umefananisha utamu wa beer na Kei na ukasema beer ni tamu kuliko Kei.

Ila ukweli, kei ni tamu kuliko beer Mkuu.

Ila to be honest, ukiendekeza hivyo viwili Kei na Beer utakuwa na maendeleo hafifu sana kuliko asiyeshiriki.

Wanasema drink responsibly

Lakini pia wanasema Play safe, usije ukamaliza kipato chako chote kwenye kei πŸ€ͺ
 
Sasa wewe unaongelea muktadha wa ukiristo wakati kuna wasioamini upande huo. Kila mtu anapenda na kupendwa. Huwezi kuolewa na mwanaume usiyempenda. Hashima pekee haitoshi
 
Kama naona tunaotumiwa nauli na vocha tunavosonya😏😏😏😁😁🀠🀠🀠🀠

Halafu si kwamba baadhi hawawezi jilipia nauli wanaweza vizuri tu ilaa kuna wanaume ni waelewa mnoooo nyieee!

Wazidi kubarikiwa na kuongezewa maradufu kwakweli !!

Halafu cha kujua ni kwamba kwani kabla yako alikua haweki vocha?? πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Bigup , kuna ndugu yangu mume wake aliugua cancer ya koo miaka minnne, sababu alikuwa anajua kutafuta hela wala hakutetereka na aliweza kumuuguza mume wake kwa upendo wa hali ya juu huku familia ikipata mahitaji yote. Mume alikufa lakini familia inaishi maisha mazuri na watoto wanasoma shule nzuri za private. Sio mwanamke mume kapata matatizo unamkimbia au unaishia kudanga
 
Falsafa ya kimaskini sana hii.
Mkuu niwie radhi kwa maoni yangu, ila kwa maisha ya sasa kama utakuwa hutoi hela/huudumii itakugharimu sana.

Vijana wangu wenyewe nimewaelekeza wajikite kutafuta hela usiku na mchana kwaajili ya stability ya familia zao kwani maisha ya enzi zetu na ninyi yamekuwa tofauti kabisa.

Miaka yetu Wake zetu walikuwa wakienda kusuka wanasuka Mtindo wa "Twende Kilioni" bure kabisa, lakini Siku hizi Wanawake wanavaa mawigi ya dollar 150 imagine

Kwahiyo ukiombwa mara mbili hizo gharama za saluni na wigi itakufanya Mwanaume kichwa kiume na upambane kupata hizo hela
 
Uongo huu eti mwanamke ndo akufanye utie bidii kwahiyo maisha yako PASIPO mwanamke kukuombaomba Hela uwezi tia juhudi
huyo ni akili ndogo...alafu atafte kwa hasira alafu aje ampe huyo kunguru alafu baadae utasikia "nilipambana kumhudumia akaja nisaliti" anafanyishwa Contract labour

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijakataa kumuhudumia mwanamke coz ni jukumu letu sisi kama wanaume, hapa ninaowapinga ni wale wanawake manarcisst na ile mwanamke kumfanya mwanaume ATM card yake kwa kila kitu.

Mwanamke anayekupenda kwa dhati hawezi kukufanya kuwa mtumwa wake kwa kila jambo, vitu vidogo vidogo kama vocha sijui nauli hawezi kukuomba abadani.
 
Nimekuelewa Mkuu, peace ✌️
 
Nimeongea kilogic mkuu asipokuelewa atakuwa ana shida binafsi
 
So kama kuna ambao wanaona ulichoandika ni upuuzi pia unaojaza threads humu JF,na kukuona wewe kavulana,unapaswa kufanyiwa hilo jambo na mwanamke wako au wanawake wako?
🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…