Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
Hatari...nimeimagine picha inakataKwa kweli, kuna siku nilipewa show hadi nikakumbukia Ujana. Viuno kama vyote Babu yenu nilipewa 🙈🏃🏃🏃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari...nimeimagine picha inakataKwa kweli, kuna siku nilipewa show hadi nikakumbukia Ujana. Viuno kama vyote Babu yenu nilipewa 🙈🏃🏃🏃
Falsafa ya kimaskini sana hii.Imebidi nitumie lugha hii rahisi kuweza kueleweka.
Mwanamke anapokuomba hizo elfu 50, 50 ndiyo chachu yenyewe kufanikiwa.
Wanasema kadri unavyotoa ndivyo zinavyozidi kupata
Usiimagine picha ya sisi Wazee, utapofuka macho 🤪Hatari...nimeimagine picha inakata
Hatati sheikh....unaikatikia ndani njeUsiimagine picha ya sisi Wazee, utapofuka macho 🤪
Inakuwaje mtu ana gari halafu halafu hela ya mafuta hana, kila siku vizinga vya kuwekewa mafuta loh. Ukimpenda mwanaume wala husubiri sijui upewe hela au utumiwe nauli.Hawa wanawake majambazi wamejazana hapo sinza,tbt kino atumie hela yake?
Anakwambia bby mi siji na bajaj nijazie mafuta nidrive.
Ukimpa imekula kwako.
Utachoma mahindi hatokei
Unaishia kutukana mitusi yote duniani.
Mbona wewe umefananisha utamu wa beer na Kei na ukasema beer ni tamu kuliko Kei.Nyie wazee ndo mnatabia za hovyo ili tupate vijana smart and smartest people hatuitaji jamii kuwa na watu wa hovyo Kama wewe
Wewe hapo umefanikiwa upo well financially stable so wakati nyie mnatoboa Maisha uwanja ulikuwa mrahisi to compare for the time being .
Sex is overrated ukisema utamu wa K hiyo K inautamu gani Hadi kuifananisha na Pesa
Honestly I bealive Mtoa Mada yupo sahihi anapambana kuhakikisha siku zijazo. tunapata vijana Bora huwezi kuwa unapambana na Maisha huku umezungukwa na mademu wa hovyo ambao wanaomba omba vocha then ukapiga hatua.
Usifanye Babu yako nikatembea mkono nimeweka mfukoni kukwepa aibu, maana nimeimagine hiyo nje ndani naona mapigo ya moyo yanakimbia sana 🤪🏃🏃🏃Hatati sheikh....unaikatikia ndani nje
Sasa wewe unaongelea muktadha wa ukiristo wakati kuna wasioamini upande huo. Kila mtu anapenda na kupendwa. Huwezi kuolewa na mwanaume usiyempenda. Hashima pekee haitoshiMwanamke AKUPENDE? Seriously?
Wakosai 3:18-19
Enyi wake,watiini waume zenu,kwani ndivyo APENDAVYO Bwana.Nanyi waume wapendeni wake zenu msiwe wakali kwao
Waefeso 5:25
Ninyi waume WAPENDENI wake zenu kama Kristo alivyolipenda kanisa akajitoa nafasi yake Kwa ajili yake.
Hayo mambo ya sisi kupenda wanaume hatujaagizwa,,,tumeagizwa kuwatii waume zetu.na tutakutii ikiwa Utawajibika.
Bigup , kuna ndugu yangu mume wake aliugua cancer ya koo miaka minnne, sababu alikuwa anajua kutafuta hela wala hakutetereka na aliweza kumuuguza mume wake kwa upendo wa hali ya juu huku familia ikipata mahitaji yote. Mume alikufa lakini familia inaishi maisha mazuri na watoto wanasoma shule nzuri za private. Sio mwanamke mume kapata matatizo unamkimbia au unaishia kudangaWatakaokuelewa ni sisi wachache wenye akili za kifogo mkuu.
You see,Sugu,TAITA pamoja na utajiri wake ila kila mara anajisifia kuwa mke wake ana pesa.Na kuna siku Sugu alijigamba kuwa kamwe hawezi kurudi kwenye umasikini sbb hata ikitokea akayumba wife wake Happy ataokoa jahazi sbb mke pia anaingiza pesa zake.
Mwanaume unatakiwa uwe na wife leo ukimpeleka Dubai mwakani anaku suprise kwa kuipeleka familia Ibiza.
Unatakiwa uwe na wife hata ukifa au kuugua mwaka familia haiteseki sbb mama ana uwezo wa kulisongesha.
Mwanamke asiyemudu hata vocha au mlo wake ni LAANA.
Huyu hata ushauri wa maana hawezi kukupa.
Huyu ni wale ukikaa nae maongezi pekee anayomudu ni ya ngono ngono na kubebishana ,ukibadili topic ni pumba tu anaproduce.
Mkuu niwie radhi kwa maoni yangu, ila kwa maisha ya sasa kama utakuwa hutoi hela/huudumii itakugharimu sana.Falsafa ya kimaskini sana hii.
huyo ni akili ndogo...alafu atafte kwa hasira alafu aje ampe huyo kunguru alafu baadae utasikia "nilipambana kumhudumia akaja nisaliti" anafanyishwa Contract labourUongo huu eti mwanamke ndo akufanye utie bidii kwahiyo maisha yako PASIPO mwanamke kukuombaomba Hela uwezi tia juhudi
Sijakataa kumuhudumia mwanamke coz ni jukumu letu sisi kama wanaume, hapa ninaowapinga ni wale wanawake manarcisst na ile mwanamke kumfanya mwanaume ATM card yake kwa kila kitu.Mkuu niwie radhi kwa maoni yangu, ila kwa maisha ya sasa kama utakuwa hutoi hela/huudumii itakugharimu sana.
Vijana wangu wenyewe nimewaelekeza wajikite kutafuta hela usiku na mchana kwaajili ya stability ya familia zao kwani maisha ya enzi zetu na ninyi yamekuwa tofauti kabisa.
Miaka yetu Wake zetu walikuwa wakienda kusuka wanasuka Mtindo wa "Twende Kilioni" bure kabisa, lakini Siku hizi Wanawake wanavaa mawigi ya dollar 150 imagine
Kwahiyo ukiombwa mara mbili hizo gharama za saluni na wigi itakufanya Mwanaume kichwa kiume na upambane kupata hizo hela
Nimekuelewa Mkuu, peace ✌️Sijakataa kumuhudumia mwanamke coz ni jukumu letu sisi kama wanaume, hapa ninaowapinga ni wale wanawake manarcisst na ile mwanamke kumfanya mwanaume ATM card yake kwa kila kitu.
Mwanamke anayekupenda kwa dhati hawezi kukufanya kuwa mtumwa wake kwa kila jambo, vitu vidogo vidogo kama vocha sijui nauli hawezi kukuomba abadani.
Pamoja mkuu.Nimekuelewa Mkuu, peace
Yaishe babuUsifanye Babu yako nikatembea mkono nimeweka mfukoni kukwepa aibu, maana nimeimagine hiyo nje ndani naona mapigo ya moyo yanakimbia sana 🤪🏃🏃🏃
Usijali Mjukuu, just jokinglyYaishe babu
Nimeongea kilogic mkuu asipokuelewa atakuwa ana shida binafsiSifa ya Kwanza ya mwanaume ni AKILI.
Ili uwezo kutimiza majukumu mengine Kwa ufanisi ni laza mwanaume uwe na Akili.
Sio unakadhania ku-protect na ku-provide bila Kutumia AKILI.
Ninyi ndio wale mnachezewa shere na Wanawake Kwa kutembelea ujinga na Akili mgando za Mimi ni dume lazima ni linde na kuhudumia.
Hudumia na Linda Kwa Akili usijeingizwa kingi.
Kumhudumia Mwanamke mbinafsi Kwa kisingizio ATI wewe ni Mwanaume ni dalili ya kuwa haujitambui, hujui unachokifanya na pengine hujui matokeo ya ufanyacho.
Ndio maana wanaume wengi wajinga wamebambikiziwa Watoto, wanatunza Watoto wasio wao, wanahudumia Wanawake alafu Wanawake haohao wanawanyima unyumba, lakini Kwa vile ni misukule kwao ni Sawa.
🤣🤣🤣🤣Aisee polesana punguza hasira😀
🤣🤣🤣🤣So kama kuna ambao wanaona ulichoandika ni upuuzi pia unaojaza threads humu JF,na kukuona wewe kavulana,unapaswa kufanyiwa hilo jambo na mwanamke wako au wanawake wako?