Wengine hatuwezi ku-date na Mwanamke asiyeweza kujilipia nauli na kujinunulia vocha

Mkuu umemaliza kila kitu!! Halafu ni wanaume wasiojiamini na wasio na kipato cha uhakika ndio hujitahidi kujaribu kujionesha kuwa wana pesa na kuwashawishi wanawake kwa pesa za fasta fasta! akiombwa nauli anaachia hapo hapo!! Mara nyingi mahusiano hayo huwa hayana mwendelezo!! Mwanamume anayejielewa ili amwamini mwanamke kuwa anastahili kuwa mama watoto wake ni kwa kumwangalia kwa mambo madogo madogo kama haya tunayozungumza!!
 
Asipokuelewa na hapo nitashangaa sana!!
 
Unajikanyaga unaenda mbele unarudi nyuma....Hapa kikubwa Tafuta Hela.
Sema kikubwa TUTAFUTE HELA!! Wewe tafuta na yeye atafute na kila mmoja awe tayari kutumia hela yake kwa ajili ya mwenzake!! Siyo hela ya "me" ni ya wote halafu hela ya "ke" ni ya kwake tu!! Kwenye jamii wanawake waliokata tamaa ya kuolewa ndio huwadanganya wenzao kuwa "mwanamke huwezi kujilipia nauli kumfuata mwanaume". Kumbe lengo lake ni kuongeza timu ya walioshindikana kuolewa au walioshindwa kuishi na waume zao!!. Kinyume chake utajijengea heshima sana ukionesha kwa vitendo kujitoa kwako kuhudumia mahusiano!!
 
Punguza makasiriko.....Hao wanaodanganywa hawana akili?Mimi hapa simuongelei mtu najiongelea mwenyewe....Kwa ufupi tu,Nina uwezo wa kujilipia nauli hata ukisema upo Joberg.,ila msimamo wangu siendi Kwa mwanaume mkoa mwingine au nchi nyingine bila kunitumia nauli... Yaani siwezi pelekea mtu kei Kwa nauli yangu
 
Siishi kumplease mtu naishi uhalisia wangu,ye aniweke tu kundi analotaka, who cares?
 
Endelea kudhani mapaja yanaachwa wazi Kwa ajili ya genye..ukikua utaelewa Kwa Nini yanaachwa wazi.
 
Wala hapa hakuna makasiriko ila tunapeana mawazo na mitazamo! katika maisha ni vizuri "to think out of the box". Inasaidia kujua mambo mengine ambayo yana faida kwako pia! Sikulaumu maana ni mtazamo wako, ila ukiweza tafakari pia mawazo mbadala!
 
Siishi kumplease mtu naishi uhalisia wangu,ye aniweke tu kundi analotaka, who cares?
Suala si kum-please mtu hata kidogo!! Japo mwisho wa siku wewe kum-please yule ambaye atakuwa mwenza au ambaye sasa ni mwenza wa maisha ni jambo lisiloepukika kama unataka mahusiano yawe na mwendelezo!! Hakuna aliyewahi kufaidi maisha ya kuwa too rigid!!! Flexibility is important for your own good!!
 
Endelea kudhani mapaja yanaachwa wazi Kwa ajili ya genye..ukikua utaelewa Kwa Nini yanaachwa wazi.
Halafu nadhani tunazungumzia suala la mahusiano yenye afya yawezayo kuwaweka watu pamoja katika maisha ya kujenga familia!! Sidhani kama tunaongelea suala la uhuni na tamaa!!! Kwa mwenye tamaa ili atimize tamaa zake za muda huyo anaweza kweli kutuma nauli ili atimize tamaa yake!! Lakini mwenye mawazo ya kujenga nyumba hakuiti kwa ajili ya tamaa, na unaweza kushangaa kuwa hata hana mawazo na hayo mapaja kwa sasa!. Ukienda utashangaa atakuongelesha mambo makubwa katika maisha, mipango mikubwa katika maisha halafu mnaagana!! Tatizo kuna vwanawake hudhani shida ya mwanamume ni ngono tu!! Hakuna mwanamume mwenye tamaa ya mapaja atakayekataa kutuma nauli!! Hao wanapatikana sana tuu!!!. Lakini mwanamume aliye makini na maisha, anaangalia mbali zaidi!!
 
Kama ana mipango mikubwa ya maisha mipango midogo ya nauli haiwezi kumshinda,nyumba huanza na msingi kabla kuezeka..
 
Mkuu umepiga sana spana ila chanzo kikuu cha yote haya ni umaskini kwa ujumla wake.
 
Huyu dada kama sio muuza papuchi au ni wale wanawake waliokufa kimaisha yaani jobless na kilichobaki ni matumizi ya Kei yake kujiingizia Uchumi.

Utumiwe nauli ili iweje? Kisa Kei ambayo jirani au bk3 anayo nikutumie nauli wewe uilete [emoji23].

Mwanaume anayetuma nauli kwa mwanamke ambaye sio mke wake huyo amejaa tamaa ya Ngono ya muda mfupi na baada ya tendo hujutia.

Na mwanamke anayetumiwa nauli kwangu Mimi nakuona Malay tu.. kuna msemo unasema

" Mwanamke akikupenda kweli akuombi nauli anakuja mwenyewe" sasa kama wewe unaomba nauli basi wewe ni muuza Kei kwa staili ya Nauli upate cha juu
 

Wewe ndio type yangu sasa. Sema unajishaua tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…