Ndio madhara ya kutembea na binti na kumzalisha bila kujitambulisha kwao.
Hio sio mahari, ni ada ya kuwadharau wazazi na ndugu wa binti, unatembea na binti yao miaka hadi umemzalisha lakini huendi kujitambulisha kwao, umewafanyia uhuni nao watakupangia mahari ya kihuni, dawa ya moto ni moto.
Kuna mwengine aliweka mkasa wake humu aliambiwa alipie mahari milioni 10 huko Kigoma, alikuwa anaishi na binti Dsm, wana mtoto, jamaa kipindi chote hicho hajawahi kwenda kujitambulisha,