Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 7,982
- 27,272
Hii ni umenipanga nikapangika IB, umenionea wapi.?Hiyo piss ya kawaida, haikufikii Cha upole wetu🤣😀😂🤒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni umenipanga nikapangika IB, umenionea wapi.?Hiyo piss ya kawaida, haikufikii Cha upole wetu🤣😀😂🤒
Kamba zetu hizoHii ni umenipanga nikapangika IB, umenionea wapi.?
Sijui tu mkuu, tumetofautiana sana.Mapenzi hayana formulaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acheni puuzi nyie, uyo binti ni mtoto mdogo au wakati wa tendo alibakwa?Ndio madhara ya kutembea na binti na kumzalisha bila kujitambulisha kwao.
Hio sio mahari, ni ada ya kuwadharau wazazi na ndugu wa binti, unatembea na binti yao miaka hadi umemzalisha lakini huendi kujitambulisha kwao, umewafanyia uhuni nao watakupangia mahari ya kihuni, dawa ya moto ni moto.
Kuna mwengine aliweka mkasa wake humu aliambiwa alipie mahari milioni 10 huko Kigoma, alikuwa anaishi na binti Dsm, wana mtoto, jamaa kipindi chote hicho hajawahi kwenda kujitambulisha,