hungary
Member
- Jan 20, 2025
- 61
- 90
Kwa uchungu mkubwa ulio ndani ya moyo wangu nawaomba binadamu wenzangu ambao mmebahatika kuwa kwenye system hasa mining sector au hata sector nyingine
Naomba mumshike mkono ndugu yangu hata kwa kujitolea kwanza uku akiendelea kuwa na uzoefu na mazingira na kazi
ELimu yake ni diploma in mining . Kazi zingiñe tofauti na alichokisomea pia anweza kufanya
Nimeamua Kuja umu naanini watu heshima zao wamo umu , matajiri, wenye migodi , ma HR ata na viongozi wetu wa serikari pia wamo umu
Kwa sababu changamoto anazopitia yeye na familia yake ni kubwa mno
Ombi kwa wewe utakesoma huu Uzi na unaona una nafasi ya kuweza kumsaidia nikwambie tuu utamsaidia yeye peke yake bali itaipa oxygen familia yake hasa kwa mtoto wake wa kike wa mwaka na miezi sita
MUNGU AWABARIK