Wenye conection nanyenyekea mbele zenu kwa moyo wangu wote naomba muokoe familia hii

Wewe umeshawahi kwenda machimboni?
Na ndio maana nikamwambia uvivu tu wa kwenda machimboni... Ninajua nilichomshauri japo anaona namkejeli.. Shauri yake mwenyewe ila nakazia analia lia hapa ni uvivu tu wa kwenda machimboni
 
Habari ...wakuu bado ajapata kazi kama ukiona Uzi huu na unaona unanafasi ya kuweza kumsaidia
KARIBU
 
Kwa uchungu mkubwa ulio ndani ya moyo wangu nawaomba binadamu wenzangu ambao mmebahatika kuwa kwenye system hasa mining sector au hata sector nyingine

Naomba mumshike mkono ndugu yangu hata kwa kujitolea kwanza uku akiendelea kuwa na uzoefu na mazingira na kazi

ELimu yake ni diploma in mining . Kazi zingiñe tofauti na alichokisomea pia anweza kufanya

Nimeamua Kuja umu naanini watu heshima zao wamo umu , matajiri, wenye migodi , ma HR ata na viongozi wetu wa serikari pia wamo umu

Kwa sababu changamoto anazopitia yeye na familia yake ni kubwa mno

Ombi kwa wewe utakesoma huu Uzi na unaona una nafasi ya kuweza kumsaidia nikwambie tuu utamsaidia yeye peke yake bali itaipa oxygen familia yake hasa kwa mtoto wake wa kike wa mwaka na miezi sita
MUNGU

MUNGU AWABARIK
Nitumie namba yake ya WhatsApp Pm
 
Jaman na swali mwanamke anaweza Fanya kazi machimboni na kama kweli hateswi na mfumo dume na akipata kadhahabu Kuna usalama?
 
Back
Top Bottom