Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Sasa watangazaji wa safari ni wale wale wa TBC mkuu πππππSAFARI CHANNEL Ile ni unyama sana.. Napenda sana wanyama
1. Nampenda sana NGIRI,
2. Na baadhi ya ndege hasa flamengo
πππππππππUkiwa dingi wa kiafrika unatakiwa uweke chanel ambayo nyumba nzima hawapendi alafu we mwenyewe huangalii unasinzia ila wakibadilisha tu chanel unashtuka usingizi unaisha halafu unawaambia rudisha haraka.
πππ. Shida ni KwambaSasa watangazaji wa safari ni wale wale wa TBC mkuu πππππ
Ila kwanini watu hawaipendi channel ya taifa huo sio uzalendo mkui ππππ
Wizo ww watoto wako unawaachia π€£π€£π€£Hawa ni wababa wa enzi za ukoloni. Ni washamba na wanavaa MAYENU.
Kwanini usiwaache watoto wakaangalia katuni zao wewe uende chumbani ukasali hata rozari?
Watoto hawana raha, libaba linabadilisha tu chaneli! Khaaa!!!
Hili nalo mkalitazame!
cc Lamomy cocastic fundi bishoo Extrovert
π€£π€£π€£π€£ roho mbaya hiyoUkiwa dingi wa kiafrika unatakiwa uweke chanel ambayo nyumba nzima hawapendi alafu we mwenyewe huangalii unasinzia ila wakibadilisha tu chanel unashtuka usingizi unaisha halafu unawaambia rudisha haraka.
Mkuu nimesoma Coment zote na nimegundua kuwa kumbe tatizo sio watoto wa siku hizi bali ni wazazi wa siku hizi waliojaa upumbavu vichwani mwao kwa kudhani ni uzungu na usasa.Mtoto na TV wapi na wapi!
Angalau kwa Wiki mtoto aangalie TV mara moja.
Akifikisha miaka 14 angalau muongezee muda.
Mkuu nimesoma Coment zote na nimegundua kuwa kumbe tatizo sio watoto wa siku hizi bali ni wazazi wa siku hizi waliojaa upumbavu vichwani mwao kwa kudhani ni uzungu na usasa.
Kiufupi nchi hii ina janga kubwa sana la malezi.
Mzazi unashinda kazini, watoto wanarudi mapema kutoka shule.... TV marufuku kuwasha?Mtoto na TV wapi na wapi!
Angalau kwa Wiki mtoto aangalie TV mara moja.
Akifikisha miaka 14 angalau muongezee muda.
Wee ndio baba bora.Nikishakubali matokeo kuwa kwangu Tv ya sebuleni sio mali yangu.
Nashukuru Mungu niliweka TV chumbani. Ninachotaka kuangalia nakiangalia chumbani kwangu. Huko sebuleni ni Nickelodeon na Cartoon Network.
Ningeweza kutumia ubabe wa ubaba lakini sioni faida yake. Ikiwa nipo hai acha wanangu wa enjoy nyumbani kwa baba yao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ushamba tu. Watoto watakuchukia bure.
Kwanza jitu zima unaangalia tv ya nini? Kama ni mpira kaangalie vibandani na wenzako!
Waache watoto wajimwaye mwaye waangalie tv wanavyotaka!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanza baba muda wa kutazama TV sebuleni anapata wapiii? Achilia kupora remote na kubadili channel. UwiiiiiihHawa ni wababa wa enzi za ukoloni. Ni washamba na wanavaa MAYENU.
Kwanini usiwaache watoto wakaangalia katuni zao wewe uende chumbani ukasali hata rozari?
Watoto hawana raha, libaba linabadilisha tu chaneli! Khaaa!!!
Hili nalo mkalitazame!
cc Lamomy cocastic fundi bishoo Extrovert
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wizooo km nakuonaa unavyosonya wababa wenye ukoloni mamboleo na gubu zisizo za maana. WoiiiiihNataka anisaidie kuwashambulia hawa mababa wa kikokoloni wanaovaa MAYENU na kung'ang'ania TV [emoji81][emoji81]
Ndo ukifanya hivyo bas hawatakua upinde? Wee umevurugwa? Nawee ni baba wa familia kww akili hizi?Unawaandaa hao wakina junior kuwa upinde wa baadae,,, kwangu ni marufuku kuwasha tv wakati hakuna taarifa ya habari na wakishaangalia taarifa ya habari inabidi wanisimulie na nikirudi jioni nawabebea magazeti wayasome na wanisimulie walichokielewa
Mimi Huwa nawaambia wajikaze nao waje wanunue za kwao. Chaneli zote zenye tamthilia nimefuta.Watoto saa mbili wanatazama katuni ili wagundue nini, saa mbili wanatakiwa walale usingizi mzito kabisa. Na mama hizo tamthiria zake anatakiwa atazame marudio au usiku. Mwanaume ununue tv yako halafu usiifaidi?
Kwema mkuu...Sasa kuniita mie shida nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwemaa?