Wenye mtaji Njoo tuwekeze huku kwenye migodi ya dhahabu

Mwanamke anaweza kuwekeza kwenye fursa hii? Au ni Risky
 
Mwanamke anaweza kuwekeza kwenye fursa hii? Au ni Risky
Ukipata mtu sahihi wa kukusimamia hakuna risk Mkuu maana we kazi yako kuangalia tu kazi zinavyofanyika kikubwa upate mzoefu wa hizo sehemu
 
Hakuna hasara mkuu Naona hujatumabia kuwa tunaweza hata kukosa nauli ya kurudia ,so tujiandae kiakili
Hili si la kuulizana unapowekeza lazima ujue faida na hasara haitakusumbua ila karibu sana
 
M3 ?
 
Nimebanwa na mafiiiii!

Mbrrrrr mbrrr mbrrr

Kammoon hapigwi mtu hapa kizembe!
Kweli hapigwi mtu nimeona ndio shida ya kuishi nchi zenye utapeli watu huwaza kutapeliwa tu we unazan nikitaka kukutapeli nashindwa? Tena nakupa nafasi unipe mpaka muda gani niwe nimekupiga
 
Kweli hapigwi mtu nimestuka
Mkuu Mbona una roho mbaya kiasi hiki. Watu tumebanwa na mafiiiii bado tu unataka kututapeli. Kwanini usilime tu mahindi? Sasa hivi mahindi gunia Hadi laki tatu. Hela inapatikana kwa kufanya kazi siyo blah blah jamvin.

Nataka ufanye kazi siyo upigaji.

Sauh'waaah?
 
Hivi kwanini unakuwa na mawazo ya ajabu kiasi hiko hebu pitia kwanza nyuzi zangu zilizopita uone kama nina njaa za ajabu kiasi kuwatapeli watu na sizAn kama hata hayo mahindi umewahi lima
 
Hivi kwanini unakuwa na mawazo ya ajabu kiasi hiko hebu pitia kwanza nyuzi zangu zilizopita uone kama nina njaa za ajabu kiasi kuwatapeli watu na sizAn kama hata hayo mahindi umewahi lima
Nakuonya Tena na ni amri acha upigaji mara Moja na ujikite kwenye kilimo hasa mahindi. Niko serious nakufuatilia kwa karibu. Ole wako usitii agizo langu nikuone tu Bado una randa randa huko porini kutafuta wanyonge uwapige haki ya nani Mimi na wewe.

Kammoon shambani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…