Mbinga nilikuwa huko wiki iliyopitaNikiwaambia asilimia 30 mngezingua ni kweli asilimia 3 hata upate mifuko miambili kwa siku yake mitatu tu hivyo tu mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbinga nilikuwa huko wiki iliyopitaNikiwaambia asilimia 30 mngezingua ni kweli asilimia 3 hata upate mifuko miambili kwa siku yake mitatu tu hivyo tu mkuu
😀😀😀😀😀😀Mzee twende Mgodi umetema, ukiweka million 2 Kila siku unakunja 3m. Unajipa siku 100, unawapa Toyota Oda ya Land Cruiser series 200
Duh mi navuta Nissan GT-R kabisa mzee na boti 1 kulia maisha ziwani huko.Mzee twende Mgodi umetema, ukiweka million 2 Kila siku unakunja 3m. Unajipa siku 100, unawapa Toyota Oda ya Land Cruiser series 200
Ndani ya miezi 6, parking inakuwa na vyuma kibaoDuh mi navuta Nissan GT-R kabisa mzee na boti 1 kulia maisha ziwani huko.
Yap Mkuu nazan ushawishi kuja dar poriUnapita Dar Porini
Ukipata mtu sahihi wa kukusimamia hakuna risk Mkuu maana we kazi yako kuangalia tu kazi zinavyofanyika kikubwa upate mzoefu wa hizo sehemuMwanamke anaweza kuwekeza kwenye fursa hii? Au ni Risky
Woga huo mkuuNingekuja mkuu tatizo ni Msumbiji
Karibu tena mkuuMbinga nilikuwa huko wiki iliyopita
Hili si la kuulizana unapowekeza lazima ujue faida na hasara haitakusumbua ila karibu sanaHakuna hasara mkuu Naona hujatumabia kuwa tunaweza hata kukosa nauli ya kurudia ,so tujiandae kiakili
Prince KuntaUkiona unaitwa kwenye fursa ujue……?[emoji28]
Damn that car Nissan GT-R. When it clears it's throat it spits fire (cheche).Duh mi navuta Nissan GT-R kabisa mzee na boti 1 kulia maisha ziwani huko.
Lengo lako nini?Damn that car Nissan GT-R. When it clears it's throat it spits fire (cheche).
That's why they say it is from Hell!
Nimebanwa na mafiiiii!Lengo lako nini?
M3 ?Wakuu kama unajiona una mtaji kuanzia m2 hivi njoo nikusaidie ujipatie eneo la mgodi ujiingizie m3 hadi nne kwa siku hiyo ni baada ya kuwekeza ndani ya mwezi mmoja
Kikubwa ambacho nitakusaidia kukuunganisha na ml mwenye eneo atakupa eneo kwa makubaliano haya 3% ya faida utayopata itaenda kwa mwenye eneo nikimaanisha kama mgodi wako utatoa mifuko kumi kwa siku, mfano yenye ghamu 30 mwenye eneo yake mifano mitatu ww utabaki na 7
Mimi nitakusaidia kukutafutia vijana wewe utasimama kama mzamini
Kama upo tayari njoo utengeze pesa sio unamtaji alafu unakaa nao tu hujui cha kufanyia
Watu ambao nitawasaidia ni wale wenye mitaji na wenye lengo la kuwekeza kwenye dhahabu
Kama hujanielewa uliza swali nitakujibu ila kuna vingine siwezi kuviweka hapa
Location: Msumbiji
Hakuna ujanja ujanja wala utapeli lengo vijana wa kitanzania tupige hatua
Na kama unajiona huna mtaji tafuta vijana wenzako watatu hadi wa nne ambao mnajua kupiga kazi yaani kazi sio mabishoo njooni huku ila kikubwa mjue kujizamini ishu kubwa huku ni misosi,maigreshen, yaani kodi ya kichwa kila jmos 5000 kwa kila mchimbaji ukiweza hayo wee njoo upige pesa mapori kibao yanataka watu kulala maskini kuamka na tumilion kazaa kawaida kuhusu kulala usiwaze mwanaume hashangai pakulala gest zipo matulubai ya kujengea kambi yanauzwa
Kikubwa jizile sio unakuja huku anawaza hom
Kwa wale wapenda starehe huku ndio kuzimu utawakanyaga mpaka urud bila pesa kwenu kikubwa ujue kuziotea
Si unakuja huku na gundu lako utasota mpaka unione mbaya osha nyota alafu njoo
Kweli hapigwi mtu nimeona ndio shida ya kuishi nchi zenye utapeli watu huwaza kutapeliwa tu we unazan nikitaka kukutapeli nashindwa? Tena nakupa nafasi unipe mpaka muda gani niwe nimekupigaNimebanwa na mafiiiii!
Mbrrrrr mbrrr mbrrr
Kammoon hapigwi mtu hapa kizembe!
Mkuu Mbona una roho mbaya kiasi hiki. Watu tumebanwa na mafiiiii bado tu unataka kututapeli. Kwanini usilime tu mahindi? Sasa hivi mahindi gunia Hadi laki tatu. Hela inapatikana kwa kufanya kazi siyo blah blah jamvin.Kweli hapigwi mtu nimestuka
Hivi kwanini unakuwa na mawazo ya ajabu kiasi hiko hebu pitia kwanza nyuzi zangu zilizopita uone kama nina njaa za ajabu kiasi kuwatapeli watu na sizAn kama hata hayo mahindi umewahi limaMkuu Mbona una roho mbaya kiasi hiki. Watu tumebanwa na mafiiiii bado tu unataka kututapeli. Kwanini usilime tu mahindi? Sasa hivi mahindi gunia Hadi laki tatu. Hela inapatikana kwa kufanya kazi siyo blah blah jamvin.
Nataka ufanye kazi siyo upigaji.
Sauh'waaah?
Nakuonya Tena na ni amri acha upigaji mara Moja na ujikite kwenye kilimo hasa mahindi. Niko serious nakufuatilia kwa karibu. Ole wako usitii agizo langu nikuone tu Bado una randa randa huko porini kutafuta wanyonge uwapige haki ya nani Mimi na wewe.Hivi kwanini unakuwa na mawazo ya ajabu kiasi hiko hebu pitia kwanza nyuzi zangu zilizopita uone kama nina njaa za ajabu kiasi kuwatapeli watu na sizAn kama hata hayo mahindi umewahi lima