Wewe unaruhusu vipi mtu kuingia kwenye chumba chako au unakaa bure? Unafahamu rights of privacy? hiyo ni Mali yako kwa muda utakapokuwa umepalipia hapo, hata mwenye nyumba Hana HAKI na chumba chako, labda kama kuna amri ya ukaguzi ndani ya chumba chako na balozi anapaswa kuhusishwa na anapaswa kuwa na kibali cha kufanya hivyo. Hawa wenye nyumba msiwaendekezeHabari za wakati huu!! Kuna hili suala binafsi linanikera na nikero hata Kwa wengine,hii tabia ya mwenye nyumba kuleta mtu kuangalia chumba wakati bado hujahama au mkataba bado haujaisha sio nzuri na hili lipo haswa maeneo ya uswahilini. Ifike mahala wabadilike hili jambo linakera Kwa mpangaji sio jambo nzuri. Unashindwa vipi kusubiri aondke ndo ulete mtu aangalie chumba??
Hilo lipo sawa lakini ukifnya hvo vitaanza visa na Mikasa humo ndani mda mwngne watu huwapisha kuepusha shari na wengi wao hawajui Right of privacy zinasema vp!Wewe unaruhusu vipi mtu kuingia kwenye chumba chako au unakaa bure? Unafahamu rights of privacy? hiyo ni Mali yako kwa muda utakapokuwa umepalipia hapo, hata mwenye nyumba Hana HAKI na chumba chako, labda kama kuna amri ya ukaguzi ndani ya chumba chako na balozi anapaswa kuhusishwa na kuweka na kibali cha kufanya hivyo. Hawa wenye nyumba msiwaendekeze
Kukaa kwenye boma la mtu ni miseryWewe unaruhusu vipi mtu kuingia kwenye chumba chako au unakaa bure? Unafahamu rights of privacy? hiyo ni Mali yako kwa muda utakapokuwa umepalipia hapo, hata mwenye nyumba Hana HAKI na chumba chako, labda kama kuna amri ya ukaguzi ndani ya chumba chako na balozi anapaswa kuhusishwa na kuweka na kibali cha kufanya hivyo. Hawa wenye nyumba msiwaendekeze
Wewe unaogopa visa wakati Kodi unalipa? Ila tambua maamuzi ni ya kwako, unaweza kuwakubalia au kuwakatalia na kufanya hivyo hautakuwa umevunja sheria yoyoteHilo lipo sawa lakini ukifnya hvo vitaanza visa na Mikasa humo ndani mda mwngne watu huwapisha kuepusha shari na wengi wao hawajui Right of privacy zinasema vp!
Hapana , kama haukai bure na unalipa kodi basi unao ubavu wa kukataa Mambo ya hovyo kutoka kwa mmilikiKukaa kwenye boma la mtu ni misery
Nyumba tupu haivutii kama iliyokuwa na samani. Mteja anaanza kujipima akiwemo ndani kutakuwaje. Na wengi wanatambua zaidi ukubwa wa chumba kama kuna samani ndani. Anajua kama kitanda chake cha futi 6 kwa 6 kitatoshq au la. Au seti zake mbili za makochi zitaingiaje. Ni biashara tu.Habari za wakati huu!! Kuna hili suala binafsi linanikera na nikero hata Kwa wengine,hii tabia ya mwenye nyumba kuleta mtu kuangalia chumba wakati bado hujahama au mkataba bado haujaisha sio nzuri na hili lipo haswa maeneo ya uswahilini. Ifike mahala wabadilike hili jambo linakera Kwa mpangaji sio jambo nzuri. Unashindwa vipi kusubiri aondke ndo ulete mtu aangalie chumba??
Je vipi Kwa huyo utakayemkuta ndani atajiskia vpi? Wewe kuona jinsi anavyoishi ndani?Nyumba tupu haivutii kama iliyokuwa na samani. Mteja anaanza kujipima akiwemo ndani kutakuwaje. Na wengi wanatambua zaidi ukubwa wa chumba kama kuna samani ndani. Anajua kama kitanda chake cha futi 6 kwa 6 kitatoshq au la. Au seti zake mbili za makochi zitaingiaje. Ni biashara tu.
Amandla...
Ile ni biashara. Hawajali unavyo jisikia. Nahisi wanawaleta kwa sababu nyumba yako iko vizuri.Je vipi Kwa huyo utakayemkuta ndani atajiskia vpi? Wewe kuona jinsi anavyoishi ndani?
Mwenye haki ya kutoa ruhusa ni wewe mpangaji. Shida ipo kwako mtoa ruhusa.Habari za wakati huu!! Kuna hili suala binafsi linanikera na nikero hata Kwa wengine,hii tabia ya mwenye nyumba kuleta mtu kuangalia chumba wakati bado hujahama au mkataba bado haujaisha sio nzuri na hili lipo haswa maeneo ya uswahilini. Ifike mahala wabadilike hili jambo linakera Kwa mpangaji sio jambo nzuri. Unashindwa vipi kusubiri aondke ndo ulete mtu aangalie chumba??