Wenye nyumba wamekuwa na hii tabia Kwa wapangaji wao

Pule

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2024
Posts
378
Reaction score
719
Habari za wakati huu!! Kuna hili suala binafsi linanikera na nikero hata Kwa wengine,hii tabia ya mwenye nyumba kuleta mtu kuangalia chumba wakati bado hujahama au mkataba bado haujaisha sio nzuri na hili lipo haswa maeneo ya uswahilini. Ifike mahala wabadilike hili jambo linakera Kwa mpangaji sio jambo nzuri. Unashindwa vipi kusubiri aondke ndo ulete mtu aangalie chumba??
 
Wewe unaruhusu vipi mtu kuingia kwenye chumba chako au unakaa bure? Unafahamu rights of privacy? hiyo ni Mali yako kwa muda utakapokuwa umepalipia hapo, hata mwenye nyumba Hana HAKI na chumba chako, labda kama kuna amri ya ukaguzi ndani ya chumba chako na balozi anapaswa kuhusishwa na anapaswa kuwa na kibali cha kufanya hivyo. Hawa wenye nyumba msiwaendekeze
 
Wewe unaruhusu vipi mtu kuingia kwenye chumba chako au unakaa bure? Unafahamu rights of privacy? hiyo ni Mali yako kwa muda utakapokuwa umepalipia hapo, hata mwenye nyumba Hana HAKI na chumba chako, labda kama kuna amri ya ukaguzi ndani ya chumba chako na balozi anapaswa kuhusishwa na kuweka na kibali cha kufanya hivyo. Hawa wenye nyumba msiwaendekeze
Hilo lipo sawa lakini ukifnya hvo vitaanza visa na Mikasa humo ndani mda mwngne watu huwapisha kuepusha shari na wengi wao hawajui Right of privacy zinasema vp!
 
Kukaa kwenye boma la mtu ni misery
 
Hilo lipo sawa lakini ukifnya hvo vitaanza visa na Mikasa humo ndani mda mwngne watu huwapisha kuepusha shari na wengi wao hawajui Right of privacy zinasema vp!
Wewe unaogopa visa wakati Kodi unalipa? Ila tambua maamuzi ni ya kwako, unaweza kuwakubalia au kuwakatalia na kufanya hivyo hautakuwa umevunja sheria yoyote
 
Kuna mtu atakuja kwanini ukae nyumba ya kupanga?binafsi Nina zaidi ya miaka ishirini ya kupanga,nina hekalu langu lakini ndio hivyo,utafutaji,leo hapa kesho pale
 
Habari za wakati huu!! Kuna hili suala binafsi linanikera na nikero hata Kwa wengine,hii tabia ya mwenye nyumba kuleta mtu kuangalia chumba wakati bado hujahama au mkataba bado haujaisha sio nzuri na hili lipo haswa maeneo ya uswahilini. Ifike mahala wabadilike hili jambo linakera Kwa mpangaji sio jambo nzuri. Unashindwa vipi kusubiri aondke ndo ulete mtu aangalie chumba??
Nyumba tupu haivutii kama iliyokuwa na samani. Mteja anaanza kujipima akiwemo ndani kutakuwaje. Na wengi wanatambua zaidi ukubwa wa chumba kama kuna samani ndani. Anajua kama kitanda chake cha futi 6 kwa 6 kitatoshq au la. Au seti zake mbili za makochi zitaingiaje. Ni biashara tu.

Amandla...
 
Je vipi Kwa huyo utakayemkuta ndani atajiskia vpi? Wewe kuona jinsi anavyoishi ndani?
 
Kama umelipa Kodi mwenye Nyumba akafanya hivyo huyo siyo mstaarabu, huenda unadaiwa Kodi hivyo anaona unamchelewesha, pole kwa yote.
 
Habari za wakati huu!! Kuna hili suala binafsi linanikera na nikero hata Kwa wengine,hii tabia ya mwenye nyumba kuleta mtu kuangalia chumba wakati bado hujahama au mkataba bado haujaisha sio nzuri na hili lipo haswa maeneo ya uswahilini. Ifike mahala wabadilike hili jambo linakera Kwa mpangaji sio jambo nzuri. Unashindwa vipi kusubiri aondke ndo ulete mtu aangalie chumba??
Mwenye haki ya kutoa ruhusa ni wewe mpangaji. Shida ipo kwako mtoa ruhusa.
 
Back
Top Bottom