Pule
JF-Expert Member
- Apr 18, 2024
- 378
- 719
Habari za wakati huu!! Kuna hili suala binafsi linanikera na nikero hata Kwa wengine,hii tabia ya mwenye nyumba kuleta mtu kuangalia chumba wakati bado hujahama au mkataba bado haujaisha sio nzuri na hili lipo haswa maeneo ya uswahilini. Ifike mahala wabadilike hili jambo linakera Kwa mpangaji sio jambo nzuri. Unashindwa vipi kusubiri aondke ndo ulete mtu aangalie chumba??