Mohamedex121
JF-Expert Member
- Jan 27, 2022
- 1,725
- 3,271
Mkataba wa upangishaji unasoma kabla ya kulipa kodi??Kuhusiana na huu uzi, hii ni master ya 150k kapanga mdogo wangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkataba wa upangishaji unasoma kabla ya kulipa kodi??Kuhusiana na huu uzi, hii ni master ya 150k kapanga mdogo wangu.
Vumilieni hadi mjenge mijengo yenu. Maana hapo mlipopanga sio kwenu , nyumba zinawenye na wanamasharti yao.kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake.
Mimi sijapanga apartment mkuu. Tupo wote kwenye nyumba za kupanga. Sema wengi tunakosea kwenye kuchagua vyumba pamoja na kusoma mikataba kabla ya kukilipia kodi.Sio wanakimbilia mkuu uwezo ndio unalazimisha mtu afanye hivyo. Unafikiri nani ambaye hataki kuchukua apartment pale Kilimanjaro Kempinski mwaka mzima kama wewe ulivyopanga hotel nzima mkuu.
Sijakuelewa, hiyo ni sehemu dogo kapanga. Kodi ya jengo imewekwa kwenye luku yake wakati mwenye nyumba anakaa hapohapo na pia hataki kutoa control number ili bili ilipwe moja kwa moja.Mkataba wa upangishaji unasoma kabla ya kulipa kodi??
😂😂😂😂kila mmoja amtumie kwenye simu pamoja na ya kutolea.
Jenga yako🤣🤣🤣Ukiondoa wale waliorithi ambao mara nyingi ni mafukara na wasiokuwa na mwelekeo wowote wa kimaisha zaidi ya kutaka kuuza mali walizoachiwa, kuna hawa ambao wanaishi kwenye eneo hilo hilo ambapo wamepangisha. Kodi ya jengo kaweka kwenye luku ya wapangaji na sio kule kwake.
Bili ya maji hataki watu walipie moja kwa moja kwenye control number ila kila mmoja amtumie kwenye simu pamoja na ya kutolea.
Ukiangalia hela yenyewe anayopata extra haifiki hata elfu ishirini.
Ukipanga ni lazima usiwe na nyumba? Watu kibao wanaishi kinondoni, mikocheni na sinza ingawa wana nyumba kigamboni, bunju, mapinga, mbezi nkSi ujenge kwako ili kuondokana na hizo changamoto?Nyumba yake mwache ajiwekee masharti yake ukiona magumu hamia kwako.Eti wenye Nyumba maskini unamjua maskini wewe?
tena nilikopanga huku kwa mnyamani nyumba moja ina room 12 na choo kimoja na bafu moja.Vumilieni hadi mjenge mijengo yenu. Maana hapo mlipopanga sio kwenu , nyumba zinawenye na wanamasharti yao.
Uliona mbali kwakweli.Nilishaliongelea hili suala.
Tujadili uwepo wa idadi kubwa ya wenye nyumba ambao ni maskini hapa Tanzania hasa jijini Dar
Nini kifanyike? Kiukweli idadi ya wenye nyumba maskini ni kubwa mno jijini Dar na miji mingine nchini kwetu. Je, ni mitazamo mibovu ya wananchi wengi kuhusu kumiliki nyumba? Yaani kwa haraka haraka kuna wapangaji wengi wana maisha mazuri kuliko wapangishaji. Maeneo ya uswahilini ni kawaida...www.jamiiforums.com
Hongera sana kwa kupata mmiliki wa nyumba mwenye hela. Hawa wamiliki maskini ni tatizo kubwa.Mwenye nyumba wangu hana hizo tabia.
Mzungu wa roho,kwanza hata kuonana physically hatujawahi.
Anakula zake cake ya taifa huko mji wao,,,na nasikia ana mijengo kama yote.
Bill ikitoka anaiforward.
Ukarabati anatuma fundi wake ndio basi hana usumbufu.
Japo mijengo yake yote nasikia ni mikali ila wala hana muda wa kufatilia mtu unaishije.Hongera sana kwa kupata mmiliki wa nyumba mwenye hela. Hawa wamiliki maskini ni tatizo kubwa.
Wenye akili kama zako mko wengi sana ndo maana miji yetu inakuwa ya hovyo. Sheria zikizingatiwa kuna watu wengi sana watapoteza nyumba zao. Wengi wamejenga nyumba za hovyo kwenye maeneo yasiyopimwa. Baadae wakivunjiwa ni kilio.Jenga yako🤣🤣🤣
Mimi sijawahi kumwona LIVE mwenye nyumba wangu. Nilipopanga ni sehemu zimejengwa nyumba 12. Tunamjua meneja wake tu. Bill za maji na umeme kila nyumba inajitegemea. Mazingira ya nje kuna mfanya usafi kabisa haituhusu. Sisi usafi mwisho barazani. Hela pekee tunayochangishana ni ya ni ya kusomba taka. WENYE NYUMBA MASKINI NI KERO MJINI.Mwenye nyumba wangu hana hizo tabia.
Mzungu wa roho,kwanza hata kuonana physically hatujawahi.
Anakula zake cake ya taifa huko mji wao,,,na nasikia ana mijengo kama yote.
Bill ikitoka anaiforward.
Ukarabati anatuma fundi wake ndio basi hana usumbufu.