Wenye nyumba wengi hapa Dar es Salaam ni watu maskini sana

Wenye nyumba wengi hapa Dar es Salaam ni watu maskini sana

Kuna kipindi nilikuja chuo hapa dar nikapanga chumba kwa mzee fulani mchaga, mke wake alikuwa mnyanyasaji sana sasa baada ya kama mwaka mmoja mume wake akahamishiwa mkoani niliotoka kipindi hicho. Nikamwambia kama huna pa kufikia basi utafikia kwangu maana nyumba iko wazi tu huko. Alipofika kwenye hiyo nyumba sijui nini kilimtokea ila nikaona mkewe ameacha dharau na kutaka kuunga undugu kwangu.

Wenye nyumba dar msidharau wapangaji wenu
 
Back
Top Bottom