Wenye nyumba wengi hapa Dar es Salaam ni watu maskini sana

Kujenga ni kazi kubwa sana. Kama ww siyo Mfanyabiashara wa kati /mkubwa kujenga ni KUJINYIMA SANA.

MWAJIRIWA ndo kabisaa labda awe MWIZI.

WAPANGAJI walitambue hilo, hakutakuwa na shida yoyote kila kitu kiwekwe kimaandishi ili kuepuka huo unaouita UMASKINI.

Jaribu kujenga yaani UTOE FEDHA halafu unaletewa MCHANGA!!

UKIMALIZA kujenga weka mpangaji ambaye wewe unamuona ni TAJIRI!

Siku anaondoka ujue, choo utakikuta kichafu hakijulikani ni rangi gani? Masinki ndo kabisaa, vitasa kukuta vizima muombe Mungu.

Hakika mpangaji hajali nyumba yako sasa FIDIA za hayo yote nani anafidia? Mpangaji mpya akija, inabidi umrekebishie yote.

Kupata mpangaji Tajiri na kupata mwenye nyumba Tajiri basi MSHUKURU MUNGU.
Upo sahihi
 
Ukiondoa wale waliorithi ambao mara nyingi ni mafukara na wasiokuwa na mwelekeo wowote wa kimaisha zaidi ya kutaka kuuza mali walizoachiwa, kuna hawa ambao wanaishi kwenye eneo hilo hilo ambapo wamepangisha. Kodi ya jengo kaweka kwenye luku ya wapangaji na sio kule kwake.

Bili ya maji hataki watu walipie moja kwa moja kwenye control number ila kila mmoja amtumie kwenye simu pamoja na ya kutolea.

Ukiangalia hela yenyewe anayopata extra haifiki hata elfu ishirini.
Tuwekee picha zao tafadhali
 
Kimfaacho mtu chake.Na wewe jenga nyumba ya kwako then jipangie ka utaratibu kako.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Kujenga ni kazi kubwa sana. Kama ww siyo Mfanyabiashara wa kati /mkubwa kujenga ni KUJINYIMA SANA.

MWAJIRIWA ndo kabisaa labda awe MWIZI.

WAPANGAJI walitambue hilo, hakutakuwa na shida yoyote kila kitu kiwekwe kimaandishi ili kuepuka huo unaouita UMASKINI.

Jaribu kujenga yaani UTOE FEDHA halafu unaletewa MCHANGA!!

UKIMALIZA kujenga weka mpangaji ambaye wewe unamuona ni TAJIRI!

Siku anaondoka ujue, choo utakikuta kichafu hakijulikani ni rangi gani? Masinki ndo kabisaa, vitasa kukuta vizima muombe Mungu.

Hakika mpangaji hajali nyumba yako sasa FIDIA za hayo yote nani anafidia? Mpangaji mpya akija, inabidi umrekebishie yote.

Kupata mpangaji Tajiri na kupata mwenye nyumba Tajiri basi MSHUKURU MUNGU.
Umeongea point mkuu.Kunywa ka Balimi kamoja kwa bili yangu

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Wenye nyumba hapa Dar huwa wakiona mtu anapanga wanadhani hana nyumba.
Kila mpangaji Ana sababu yake iliyomfanya mpaka akaenda KUPANGA.
1 - HANA NYUMBA KABISAA
2- UKARIBU NA ANAPOFANYIA SHUGHULI ZAKE.
3- KAPANGISHA NYUMBA YAKE KWA GHARAMA KUBWA KISHA KATAFUTA NYUMBA YA GHARAMA NAFUU NA KUPANGA.
4- NK
 
Back
Top Bottom