Kqbisa kakaUbalozi wa Marekani uliudhiwa na kitendo cha Makonda kusema mashoga wote watatafutwa popote walipo Dar ili washatakiwe au wafukuzwe kutoka jiji hilo.
Kqbisa kakaUbalozi wa Marekani uliudhiwa na kitendo cha Makonda kusema mashoga wote watatafutwa popote walipo Dar ili washatakiwe au wafukuzwe kutoka jiji hilo.
Mwacheni kijana wa watu apumzike maana hakuna mkamilifu hapa chini ya juaHabari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito.
Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa.
Sasa mwenye ushahidi wa Makonda kupanga njama na kushiriki atuwekee hapa.
Ushahidi uwe wa video, sauti au nyaraka utakuwa unafaa maana itathibitika ni mhalifu anayelindwa.
Ulitaka aseme nani ndiyo iwe kweli? Baadhi ya wananchi wamesema, unasema siyo kweli. Baadhi ya maafisa wa TISS wamesema, unasema siyo kweli. Lisu amesema, unasema siyo kweli. Wamarekani wamesema, unasema siyo kweli. Unataka aseme nani ndiyo iwe kweli?Kisa tu wamerakani walisema ndio imekuwa kweli?
Viongozi wangapi walishawekewa ban na Usa kwa figisu ili wakubaliane na matakwa yao?
Hivi unajua hata Mwl Nyerere Wamarekani walikuwa wakimuita dikteta mkomunist?
Wewe weka ushahidi humu hata wmarekani walikuonyesha ushahidi ulio wa wazi.
Mimi kama mtanzania huru ninayo haki ya kuwaomba ubalozi wa Marekani ushahidi wa wapi Makonda kadhulumu haki ya kuishi.
Yaani ushahidi ni upi au kwa kuwa ubalozi wa marekani umesema hayo ?
Mbona huu ubalozi wa marekani haukusema hayo kwa sabaya na ilhali sabaya kuna clip zake zilivuja akifanya uhalifu dukani kama ambavyo za makonda zilivuja akivamia clauzi tivii ?
Ubalozi wa marekani has nothing to do with uhalifu wa makonda.
Kamw ambavyo CCTV zimeonesha makonda akivamia clauzi basi ilikuwa bora tuone ushahidi mwingine makonda akivamia Tundu lissu pale dodoma.
Hatukatai makonda ana makandokando lakini hayo makandokando yawe na ushahidi tusizungumze kwa mihemko.
Hizo ni assumption mbovu tu.Ukiona mtu anaomba ushahidi ujue anajishtukia.
Huu ndo ushahidi.?
Tunataka anyongwe ila si kwa maneno tu ambayo pengine si ya kweli jomba!!
Kwenye video ya clauds inaonesha makonda aliingia na walinzi wake wakiwa wamebeba bunduki ,je ni makosa kisheria kuingia clauds na bunduki!?
Sikujua kama JF kuna vilaza ambao hawajui sheria walau kidogo. Mnaambiwa mtoe ushahidi dhidi ya tuhuma zake za kumshambulia Tundu Lissu ila mnasema anamiliki magari kuliko mshahara, alivamia Clouds, alitukana watu. Ukivamia Clouds risasi zinajifyatua kwenye bunduki kutoka Dar kwenda Dodoma kumshambulia mtu?
Sasa mashtaka yataenda na ushahidi nyanya kama huu. Hata Lissu mwenyewe sio kiazi anajua sheria hakuna kesi inaenda hivi. Wanaosema kahusika watoe ushahidi then ushahidi ukiwepo yeyote yule anaweza fungua kesi
Hizo ni assumption mbovu tu.
Makonda mwamba. Hapa tu ndo nawasfu akina ngosha. Wanajiamini balaa.
Chenge, Makonda + Jiwe.
Hivi Mpina naye ni ngosha nini? Msukuma wa Geita naye pia?
Viva ngoshas.
Narudi usafani
Asante Sana kwa hoja hii, mwenye ushahidi usiotia shaka ajitokeze not necessarily aulete humu, aupeleke kunako husika.
Mimi niliwahi kufanya kautafiti kadogo kumhusu huyu jamaa, nikabaini
PKumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze
Wanabodi. Naanza na kanuni ya haki duniani inayoitwa "the presumption of innocence until proven guilty" Yaani mtuhumiwa yoyote anahesabiwa kuwa hana hatia hadi atakapotiwa hatiani, na mahakama yenye mamlaka sahihi, hivyo Paul Christian Makonda anaendelea kuwa ni Paul Christian Makonda na Mkuu...www.jamiiforums.com
P
Sasa kinachoshindikana ni nini si ushahidi ufike mahakamani. Kelele za nini kama hakuna mwenye nia ya kufungua mashtaka.
Kesi za Sabaya za ujambazi zilijulikana na uhusika wake kwenye wizi ulikuwepo, mahakamani walipeleka ushahidi wa CCTV footage baada ya kesi kufunguliwa. Hapa kwa Makonda hawasemi alihusika vipi, alituma watu au alitoa amri au alifanya nini. Na bado kesi hawataki kufungua
Halafu waliomtuma hawatajwiHuyo Makonda si ndiye bila adabu na aibu aliyemkwida shati Waziri mkuu mstaafu Jaji Warioba?!! π€£
Loo, Jamaa ana vituko na roho ngumu kweli kweli!!.
Mwacheni kijana wa watu apumzike maana hakuna mkamilifu hapa chini ya jua
Naona huko ni walio wahi kuwa madarakani.Hapa US, , deep state ni kina bush, obama, jimmy carter, warren buffet, etc
Tafuta pale youtube statement ya Bashite akiwaambia waandishi wa habari kwamba Roma Mkatoliki atachiliwa soon. It means alikuwa anajua waliomteka na siu watakayomwachia!Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito.
Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa.
Sasa mwenye ushahidi wa Makonda kupanga njama na kushiriki atuwekee hapa.
Ushahidi uwe wa video, sauti au nyaraka utakuwa unafaa maana itathibitika ni mhalifu anayelindwa.