Wenye ushahidi namna Paul Makonda alivyohusika kwenye utekaji, mauji na upigwaji risasi Lissu tuwekeeni hapa. Kuchafuana kisiasa ni ushamba

HAO jamaa Wana ushahidii ukiutaka utaumbuka
 
Makonda alichukua kandarasi ya kuangamiza wote wali mchalenji yule mzee, akahisi jamaa ni Mungu naye ndio msaidizi, kwa hiyo aliwaua na kuteka. Lipo hapo linafikiri hatujui alichofanya,wote mnafahamika hadi yule dereva wake Jose, mnavamia clouds utafikiri wajinga. wale Askari kikosi kazi walikuwa hawapendi yale Ila basi tu, walilipwa marupurupu makubwa
 
HAO jamaa Wana ushahidii ukiutaka utaumbuka
Mimi sijadai ushahidi wti kwa sababu nina uhakika haupo laa hapana.

Mimi ninachotaka huo ushahidi uwepo ili mtu ahukumiwe kwa uadilifu.

Sioni haja ya kupiga kelele mitandaoni waati mahakama zipo.

Mahakama zimemhukumu sabaya na makonda inawezekana akahukumiwa pia.
 
Hakuna kazi kubwa Kama kumtetea shetani.
economist hii comment yako imenifanya nicheke, kwani kuna hekaya tulisimuliwa ya mtu aliyejifanya kumtetea shetani mwishowe aliumbuka. Kisa chenyewe ni kilimhusu jamaa ambaye alikuwa kwenye ibada ya hija huko Makka, miongoni mwa taratibu za hija kuna wakati inabidi mwende sehemu na kuashiria kama kumpiga shetani mawe, sasa huyu jamaa aligoma kwenda kwasababu anasema watu wanafanya makosa na wanamsingizia shetani, hivyo yeye hana haja ya kumlaani shetani kwa kitenda cha kuashiria kuchukiwa kwa kurushiwa mawe, siku hiyo alilala na akamjia Shetani kwenye ndoto na kumwambia katika dunia yeye ni mtu pekee mwenye kumtetea Shetani, hivyo basi alimwambia nitakufanyia chochote unachotaka lakini tu amfanyie haja ndogo kichwani mwake, yule jamaa akafanya, alipoamka asubuhi akajikuta amejikojolea kwa hasira ikabidi akusanye mawe kwenye toroli ili akamvurumishiye shetani.
 
Nimeanza kuamini Makonda anahusika na vifo vya watu wengi sana awamu ile fedhuli ya JPM. Sasa ni wakati wa HAKI kutendeka!
 
Utakubali CIA au FBI wakitaka kuruhusiwa kufanya kazi yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…