Naona muuaji umekuja jitetea, acha sindano ikuingieHabari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito.
Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa...
Huu ndo ushahidi?HUYU MTU SERIKALI INA KILA KITU IKAAMUA TU KUMPELEKA MAHAKAMANI WATAMNYONGA.
NA NI SUALA LA MUDA TU BASHITE HANA MAISHA MAREFU KWENYE POLITICAL EXPERIENCE...
Huu ndo ushahidi.?Naona muuaji umekuja jitetea, acha sindano ikuingie
Ibara ya 18 ya katiba ya JMT ipo wazi kutoa maoni ni pamoja na kupata taarifa. Kuweka hapa jamvini ushahidi ni ishara tosha kuwa hata mahakamani maana hii ni dunia ya kidijitari.Ibara ya 18 inataka wewe kupewa ushahidi au kutoa maoni? ukizingatia wewe umekuwa mtetezi wa majambazi kina Sabaya na sasa Bashite. tuambie kwanza umeridhika na ishahidi wa kulifunga gaidi Sabaya?
Tatzo la Bashite anajifanya ana Siri nyingi za serikali anatishia tishia nazo. Awamu ni Ile ya upepo utapita Tu hivyo ata asemeje hawaogopi sana Sana watamkausha Tu mate.HUYU MTU SERIKALI INA KILA KITU IKAAMUA TU KUMPELEKA MAHAKAMANI WATAMNYONGA.
NA NI SUALA LA MUDA TU BASHITE HANA MAISHA MAREFU KWENYE POLITICAL EXPERIENCE....
Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito.
Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa.
Sasa mwenye ushahidi wa Makonda kupanga njama, kushiriki atuwekee hapa.
Ushahidi uwe wa video, sauti au nyaraka utakuwa unafaa maana itathibitika ni mhalifu anayelindwa.
then tutaleta clip za sauti kama za napeAnza na ubalozi wa marekani waliomtangaza kwamba anadhurumu watu haki ya kuishi na kumpiga marufuku kwenda huko marekani...
Kwenye video ya clauds inaonesha makonda aliingia na walinzi wake wakiwa wamebeba bunduki ,je ni makosa kisheria kuingia clauds na bunduki!?Hayo klauzi tivii mbona hakushughulishwa nayo badala yake akaukumia aliekuwa anataka haki itendeke, kwanini hili watu hamkuhoji?
sabaya sio gaidi ni jambaziIbara ya 18 ya katiba ya JMT ipo wazi kutoa maoni ni pamoja na kupata taarifa. Kuweka hapa jamvini ushahidi ni ishara tosha kuwa hata mahakamani maana hii ni dunia ya kidijitari.
Sabaya sio gaidi. Kumbuka pia sio wote wanaokuwa gerezani ni magaidi.
Mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa sio kosa kutembea na askariKwenye video ya clauds inaonesha makonda aliingia na walinzi wake wakiwa wamebeba bunduki ,je ni makosa kisheria kuingia clauds na bunduki!?
aise kuna watu wabishi, hivi hata video za Bashite akitukana na kutisha watu hadharani jamaa hajaziona. Magari ya kifari yaliyokua na plate namba na usajiri wa wafanyabiashara kisha yakaonekana yanaendeshwa na Bashite kisha ghafla yakabadilishwa plate number pia jamaa atabisha Bashite hakudhulumu watu. Kwa mshahara wa mkuu wa mkoa ananunua vipi magari 7 ya kuanzia million 500 kila gari ?!! Ebo !!jamaa anahitaji ushahidi jinsi Bashite alivyovamia Clouds media
Ukifanya independent audit ofisi ya makamu wa Rais kwa mwaka 2019-2020 utakosa lolote.Ubalozi ww marekani wanasukuma ajenda yao kidiplomasia, kupitia taasisi za kidiplomasia, na wanawapa ushahidi jinsi Makonda alivyodhulumu haki ya kuishi (kaua), mama anawekewa ushahidi mezani, na Kila siku wanaulizia hatua zilizochukuliwa.
Bado mambo mengi yasiyo na idadi. Nina imani Ofisi ya uhasibu ya mkuu wa Mkoa ikipekenyuliwa, hachomoki, akifanyiwa life style audit, hachomoki, akifanyiwa audit ya Mali vs mshahara, hachomoki
Naona unataka ushahidi. Yeye kaweka mashoga wanaotaka kumuua?Mimi kama mtanzania huru ninayo haki ya kuwaomba ubalozi wa marekani ushahidi wa wapi makonda kadhulumu haki ya kuishi.
Yaani ushahidi ni upi au kwa kuwa ubalozi wa marekani umesema hayo...
Samahani mkuu ila we jamaa una ubishi wa kijinga, hata alivyovamia clouds anasingiziwa sio ?!Habari za kumchafua mtu kwa speculations ni jambo baya sana. Na upuuzi usiofaa. Tena kumhusisha mtu na matukio mazito.
Sheria yetu ya Jinai ipo wazi kabisa, kupanga njama, kushiriki kosa wote mnahesabika mmefanya kosa...
Huyu sukuma gang hawezi kukujibu hili.Anza na ubalozi wa marekani waliomtangaza kwamba anadhurumu watu haki ya kuishi na kumpiga marufuku kwenda huko marekani...
Ushahidi unapelekwa mahakamani sio tukupe wewe. ungetulia tu dada subiri mahakamani.Huu ndo ushahidi.?
Tunataka anyongwe ila si kwa maneno tuu ambayo pengine si ya kweli jomba!!
We Ni mataQo, we upewe Ushaidi we Kama Nani binti?????Acha kujibu legal issues kama unajadili Simba na Toto Africans
Kwani Sabaya kufungwa ndio sababu kuwa alitenda kosa? Kuthibitishiwa kuwa Makonda alifanya uhalifu mpaka niwe prosecutor? Mbona watu kibao wanaonyeshwa walivyofanya makosa kupitia JF?we Tahila kweli,uletewe Ushaidi we Ni prosecutor?! Na kwa jambazi Sabaya mlimtetea hivyohivyo, mwishoe akaenda jela, yaani wafuasi wa Magufuli aliwapandikiza mentality yakupenda viongozi wahalifu