Wenye wapenzi (wanawake) humu JF mliwezaje kuwapata?

Wenye wapenzi (wanawake) humu JF mliwezaje kuwapata?

Tupeane uzoefu wakuu, inauma sana unaweka chapisho lako kuhusu mambo ya kilimo mtu anakuja kuchati na demu wake, mara mashemeji, mara mawifi, hivi hawa mademu zenu mliwezaje kuwapata?

Mwisho kabisa kama kuna demu mnamfahamu kuwa yuko singo humu nishtueni nianze kumlia doria.
Shemeji unazingua ujue?unajifanya uko single?
 
Back
Top Bottom