Wenye watoto wa kike wafundisheni binti zenu kujitegemea, wasitegemee pesa ya mwanaume

Upo sahihi, tutafute pesa. Ila pia sisi wenye watoto wa kike tuwafundishe binti zetu kuwa independent, wakikuwa watinduliwe sio kwa sababu wana shida ya kulipiwa chumba au kupelekwa chuo, watinduliwe kwa starehe zao huku wakiwa wanajiweza kiuchumi. Kuna wanawake wanatengeneza pesa ya kutosha, waliandaliwa hivyo, wengine ni bahati zao japo wapo wametumia pia hiyo resource kupata uwezo, lakini they live good, wakitoa utamu sio kwa malipo bali kwa kuwa wanataka kupunguza genye zao.
 

Negative minds huanza kujengewa ndani ya familia then watoto hukua nazo na kushi nazo nje ya familia zao...

Stay positive, tafuta pesa kwa bidii, kila jambo litachukua mkondo wake kwa uzuri...



Cc: mahondaw
 

Nimekuuliza evidence naona unazunguka mibuyu.....

why do you think you can change something that have been used for years with a topic hapa JF?????.

.first why do you think it has been persistent across generations and all ages???

Second, hivi unajua kwa nini leo hii unaweza kumpata mtu mtaani .akienda kwa mdada baada ya kuongea mawili matatu,anamuambia 'naomba kukutoa out'' kwa nini sio mwanamke anayesema ''naomba nikutoe out''??...ni hivi huko out ni chance/sehemu ya mwanaume kuonyesha he can ''take care'' of a woman and their children ndio maana analipa bill yote,kwa mwanaume real man kulipiwa bill na mwanamke lazima uumize ego yake....ni hivyo....usipokubaliana na me ni sawa pia....

Mpaka hapo ushaelewa what is nature...
 
We lijamaa bana, usikwepe majukumu.
 
Big Point ila kuna Mambumbumbu watakuja kukuponda
 
Mkuu wapo wenye pesa zao na bado wanalamba papuchu km kionjo cha mapenzi tu[emoji28]...haya mambo hayana formula maalum

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo wajibu wa wanaume ni upi?

Aliekwambia sina hela ni nani? Mengine gani ya kubakia kwenye social media?

Aliekwambia nataka kuoa ana nataka ndoa ni nani? Wito ndio kitu gani?

Hivi shule ulibahatika kweli kwenda? Sidhani.
Kama umekwenda shule basi ulikuwa mhudhuriaji tu. Si kila mtu anakombolewa na elimu kama inavyodhaniwa. Hii hoja yako si ya kisomi hata nukta moja, jitafakari.

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Sikiliza.

Kwanza there is no need of evidence for everything and absence of evidence is not evidence of absence. Ndio maana sikuona kama kuna hoja inayohitaji the so called evidence. Hivyo basi jifunze kua sio kila kitu unakimbilia kutaka evidence. Unaweza usipewe na bado hoja yako ikakosa msingi na maana.

Pili, what is that you say have been used for years? Nani kasema nataka kubadili na JF topic? Mimi nimeshangaa kuona wanawake wa kitanzania wengi bado mnaishi kwa mazoea ya kutegeme uchi wenu na wanaume. Jamii nyingi zilishabailika for years nyie bado mmekarili eti nature. Hiyo nature wanawake wa ulaya haiwahusu au wao ni wanaume?

Wewe unaonekana bado unaishi kwenye mazoea. Ndio maana nilisema toka kwanzo hapa tatizo ni moja, kwanza dhiki pili mazoea.

Mwisho nakubaliana na wewe kua haya nayoyaona huku kwetu ni nature ila kwa wanawake wa jamii nyingine hiyo unayoiita nature walishaachana nayo miaka mingi.
 
Wao wakitafuta Pesa na wanaume watakuwa na kz gani au ndo unatakiwa mamario
 
Hivi Unadhani kuomba pesa sio kz unapigwansound craft hadi unatoa kadi ya bank Unadhani sio taaluma waliyofubdishwa jaribu we kama unaweza
 
Hata wewe pia ni miongoni mwao hao "wanawake by default" maana hauko verified πŸ˜‰
Unajua kusoma vizuri kweli?

Sikusema ambao hatuko verified, nimesema ambao hawako verified.

Sasa wewe ukisema wote ambao hawako verified ni wanawake by default sikukatalii maana umesema wewe ila mimi sijasema.

Jifunze kusoma katikati ya mistari.
 
Safi. Hiki ndicho nachokisema.

Lazima tuwafunze binti zetu kua financially independent and financially stable.

Binti akitoa uchi atoe kwa raha zake kumaliza nyege zake sio atoe kulipia chumba, atoe kulipia umeme, atoe kulipa watoto ada, atoe kupata pesa ya saloon, atoe kununua nguo, atoe kupata mtoko, atoe kupata pesa ya kusaidia ndugu zake. Atatoa mara ngapi na kwa wanaume wangapi hasa kama hajaolewa au kua na mwanaume wake mwenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…