Wenye watoto wa kike wafundisheni binti zenu kujitegemea, wasitegemee pesa ya mwanaume

Mbona unatikwa na povu cn limekuuma cn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bonge moja la point

Mwanaume akiwa na pesa lazima awe positive kwa kila mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Exactly, katika maisha pendelea kukubalika as a person ila sio kwa sababu ya hela or status. Hata mahusiano yanayojengwa na msingi huo huwa yanadumu sana tofauti na yale ambayo yanajengwa na tamaa ya pesa. Mtu akifukuzwa kazi au mradi wa kuingiza pesa ukipata pigo na mahusiano yanakufa kibudu.
 
Sawa umesikika, me twins wangu sijui niwafunze kitu gani maana ni wa kiume
 
Kweli kabisa. .ndiomana mimi sipendagi mwanaume mwenye pesa anaetumia pesa zake kama fimbo
Mimi napenda mtu sipendi pesa zake wala Mali zake kwani mahusiano yana mambo mengi na vigezo vingi sio pesa tu.

Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…