Wote wanaoeleza hapo juu ni kama una matatizo ya nguvu za kiume. No. Hilo sio tatizo la nguvu za kiume. Wewe una tatizo la saikorojia tu. Hiyo hali ya kulikinai tendo hilo baada ya mchezo ni hali tu imejijenga kichwani mwako. Ulianza nayo kuna uwezekano na msichana ambaye hukumpenda,uliamua kupita nae tu kwa muda. Baada ya kumkula ukachukia. Japo wengi inawatokea hiyo hali,ingawa hawasemi,baada ya kumla unataka aondoke muda huo huo.
Tiba yake ni kujicontrol wewe mwenyewe. Hasa demu kama umempenda jitahidi kuliondoa hilo wazo kichwani mwako. Badala yake uwe Frexible hivi. Uwe kawaida tu ukirudia sawa,usipomrudia jiambie tu kwamba napo itakuwa sawa.
Namna nyingine nzuri ya kujitibu fanya kumla kimoja,halafu tokeni nendeni sehemu,kama kwenye starehe hivi. Mkirudi utamtaka tu tena. La pili lala nae. Utamkula tu hata mara 3. Hilo hakikisha unakuwa na demu mwenye hamu nae,yaani wale mademu wasio wakavu. Awe na utelezi wa kutosha.
Mwisho usiwaze mpaka ugonge vitatu viwili. Hata kimoja tu kinakutosha. Ila sasa kwa wewe jitahidi sana ujicheleweshe kufika. Ukiona unataka kufika mwisho unaweza ukatulia ama ukachomoa ama ingiza sana halafu fanya kama kutulia huko huko kwa sekunde kadhaa,rudi tena. Hiyo itamfanya demu afike mara nyingi,hata 3,mpaka 4 kabla yako wewe.