Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

ile issue ni kuwa busy siku nzima. Na mda wa kulala uwe mdogo sana,
 
Dada kufanya mapenzi haiwezi kuwa dhambi uliumbiwa hormones zinazokufanya upate hizo hamu kwaajili ya nini? Zingeanza kuwa active pindi tu ukipata mume au ukiolewa kama tunavyoaminishwa.Mpaka sasa nazielewa sana jamii zinazoonekana kama ni uncivilised japo sitatoa mfano kwa kutaja jina la jamii hizo wao ukifika umri wa show ni show shoow hakuna cha kusubiri uzeeke ndiyo upate kibali cha jamii. Piga show ikiwezekana zaaa kabisa.
 
Yeahh uko sahihi kabisa asantee kwa mawazo yako!
Ukiweza kuwa mtu wa maombi pamoja na hayo niliyosema, una nafasi kubwa ya kukaa bila kushiriki ngono

Kingine ni kuepuka kusoma vitabu/kuangalia tamthiliya zenye mlengo wa ngono

Maana hivyo ndiyo vichocheo vikubwa vya kufanya utende ngono

Jambo la mwisho ni kuwa na kipato cha kueleweka, ukiwa mwombaji wa mtoko ama zawadi ama hela kutoka Kwa marafiki wa kiume

Ni lazima utajikuta unashiriki ngono, maana Wanaume wengi hupenda kusema kama una shida na hela njoo nyumbani ufate

Ukienda tu ....
 
Sasa hizo show ntapiga na nani na nitazaa na nani au yoyote tu ili mradi 😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…