Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

Ya kwanza hiyo, wapo wanaobanduana na huku wapo vizuri kiuchumi.I
Ya pili hiyo, wapo wasio na wasiwasi na kila wapatapo nafasi wanabanduana
Ya tatu hiyo, burudani ni muhimu sana. lazima uupe mwili pole baada ya kuutumikisha kwenye kuzitafuta
Ya nne hiyo, wapo watu wanabanduana vilivyo na hawana magonjwa ya zinaa wala mimba zisizotarajiwa
Ya tano hiyo MNAISHIAGA KUPIGA PUCHUU, AU KUBAKA WANYAMA...!!!!
 
yes, ipo hiyo pia. Haya mambo sio Pi
 
Ukiwa mtu wa maombi hazikusumbui sana/kabisa, tatizo kubwa ni vishawishi hivyo tuviepuke tu!
Wewe unayetaka ushauri unaanza kushauri Tena πŸ€” πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…