Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

Bi Seran

Kina nani tena hao wanakutibua nyongo?

 

Dawa ya nyege ni ndogo sana. Olewa au tafuta msaada kwenye tuta. Wanaoweza kuishi kwa kuvumilia bila sex, wapo. Ila ni wachache sana. wanahesabika

Hata dildo na vibomba vya maji sio solution...acha Mungu aitwe Mungu. Cha msingi ni kufanya responsibly. Kuna mtu anasema uwe busy...I hope utakuwa busy 24/7.
Kuna watu wanasema fanya mazoezi. Nimeenda kwenye mazoezi ya aina nyingi na bado watu wanakulana.
Tunadanganyana nini?
 
Wengi lakini sio wote, ni bora nifate ushauri chanya niepukane na mengi acha niwe kati ya hao wachache😅🤝🏽
 
Uwe KE au ME kuishi bila kufanya ngono inawezekana na bila shida .
Kwenye haya maisha uraibu wa namna yoyote unakwepeka ni kujiendekeza tu.

Kama ni mpenda ngono, fursa za ngongongono hazitakupita utalomba au kulombwa kila upatapo hamu, kama ni mlevi utakunywa hata kama huna pesa, mvuta fegi anakula fegi kila atakapo.

Ni msimamo wako tu utakuondoa huko.
 
Unadhani hatutaki.nwili I radhi ila roho ni dhaifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…