We naye sijui una waza nini! Umekuja kigubugubu kinegavite negative tu, kwahiyo umeyashuhudia maisha ya mtu usiyemjua unakuja na shuhuda za umri mara za kufanya hilo tendo sanaaa vile kama ulikuwepo! 🙄Angalau umeniunga mkono katika hili Bushmamy ...
Hivi mtu yupo 30+ unasema "nataka nitulie", unatuliaje wakati ulishauzoesha mwili kuwekana, na tayari maungo, akili na asili vinakuambia ni lazima upate hiyo kitu. Wakati huo, 30s na 40s ndio umri mzuri wa kufurahia ngono, uki-abstain leo, ukifika 50 hiyo raha utaipata wapi wakati tayari upo kwenye kipindi kingine cha maisha.
Tusidanganyane asee!
Unataka mawazo yanayokufurahisha tu? Umeleta uzi wako tulia soma kila comment, ikikusaidia nenda nayo, ikikukosoa nenda nayo, ikikuudhi nenda nayo. Huwezi kuwapangia watoa posts nini cha kuandika mkuu.We naye sijui una waza nini! Umekuja kigubugubu kinegavite negative tu, kwahiyo umeyashuhudia maisha ya mtu usiyemjua unakuja na shuhuda za umri mara za kufanya hilo tendo sanaaa vile kama ulikuwepo! 🙄
Toa ushauri wa kiimani kama huna basi hayo mawazo yako hayatafaa utaandika hapa kufurahisha wenye mawazo kama yako tu ila mi umenikosa! Na ni ujinga mkubwa kuamini mtu akiwa na maisha ya ajabu nyuma hawezi kuyaacha! Yani kuna wanaume wengine eti wana familia na wanatoa ushauri kabisa na haya ndo mawazo yao😳
U still have a long way to go bruh!
Ohh asante kunijuza baba kumbe u chat what u want! Kdg nipagawe maana umekomalia eti 15-30 yrs😳 nashukuru sikusema umri wangu halali ungeninyea mno apa🤭Unataka mawazo yanayokufurahisha tu? Umeleta uzi wako tulia soma kila comment, ikikusaidia nenda nayo, ikikukosoa nenda nayo, ikikuudhi nenda nayo. Huwezi kuwapangia watoa posts nini cha kuandika mkuu.
Kwamba umekitombesha huko hadi leo upo 30 unataka utulie upate Mr right, wakati huo u spent 15yrs changing dicks.
Wacha tukuseme tu, kaa kwa kutulia maana hii ni open forum, we chat what we want.
15yrs anakula gegedo mixa,Unataka mawazo yanayokufurahisha tu? Umeleta uzi wako tulia soma kila comment, ikikusaidia nenda nayo, ikikukosoa nenda nayo, ikikuudhi nenda nayo. Huwezi kuwapangia watoa posts nini cha kuandika mkuu.
Kwamba umekitombesha huko hadi leo upo 30 unataka utulie upate Mr right, wakati huo u spent 15yrs changing dicks.
Wacha tukuseme tu, kaa kwa kutulia maana hii ni open forum, we chat what we want.
Usipagawishwe na maneno, acha nyeghe zikupagawishe banaaa..!!Ohh asante kunijuza baba kumbe u chat what u want! Kdg nipagawe maana umekomalia eti 15-30 yrs😳 nashukuru sikusema umri wangu halali ungeninyea mno apa🤭
Basi sawa uwanja ni wako, wafurahishe🤣
Sasa kama umri tu umeshindwa kuwa mkweli, maana unaogopa kivuli chako mwenyewe, hata migegedo si unadanganya tu, maana umeleta gahawa kijiweni na sisi tunakunywa tu.Ohh asante kunijuza baba kumbe u chat what u want! Kdg nipagawe maana umekomalia eti 15-30 yrs😳 nashukuru sikusema umri wangu halali ungeninyea mno apa🤭
Basi sawa uwanja ni wako, wafurahishe🤣
Teh, ndio maana issue ya mahari kwangu naipinga sana. Mtu kachapisha huko for yrs, leo unaambiwa toa 3m mahari kwa sababu binti yetu alijitunza sana.15yrs anakula gegedo mixa,
Asante sana kwa ujumbe huu wa kina. Umenipa mwanga zaidi na kunitia nguvu. Ni kweli kabisa, ushindi si kwa nguvu zetu bali kwa neema ya Mungu. Naamini kabisa kuwa kwa kumtumaini Yesu na kuendelea kutembea katika Roho, tunaweza kushinda tamaa za mwili.Angalau Seran umekuwa mwamanifu.Nashukuru pia nimepokea uzoefu na ushauri kutoka kwa watu mbalimbali naamini utanisaidia pia.
Binafsi nia yangu pia ni kuishi katika usafi bila kuzini🙏.
Nimejaribu kufatilia njia gani nitumie niweze kuwa mshindi katika hili… vita dhidi ya uzinzi na uasherati ni kali sana…
Kuwa na hisia kali za mapenzi naamini sio ugonjwa ni ishara kuwa afya ni njema na tukiona hisia zinakuwa kali yatupasa kumshukuru Mungu kwa kutupa zawadi hii.
Naamini moja ya njia ya muhimu ya kushinda hisia zinazotuelekeza kwenye uzinzi ni kumtumaini Mungu kwa moyo wote.
Binafsi nakiri wazi kuwa kushinda dhambi hii si rahisi kwetu lakini kwa Mungu ni rahisi sana. Hakika kushinda dhambi hii ya uzinzi ni neema ya Mungu pekee.”
“Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe;” tumtumaini Mungu hata wakati akili zetu hazielewi tutashindaje.Tusiwe na mashaka je kesho, mwakani je nitaweza kudumu kuwa mwaminifu bila kuzini..??? Kama leo ametuwezesha kuwa washindi kesho na kesho kutwa tutashinda pia.
Pia nimegundua dhambi zingine tunaweza kuomba tukazikemea na kushinda lakini katika uzinzi Biblia inasema yenyewe tusijadili nayo tuikimbie kabisa …”
Ikimbieni zinaa…. ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.”
Jambo la mwisho Yesu Kristo ndiye kielelezo pekee katika kushinda dhambi zote…”
“bali yeye alijaribiwa sawasawa na sisi katika mambo yote, bila kufanya dhambi.”
Yeye aliwezaje kushinda… kwa ufupi nikitazama maisha ya Yesu duniani alishinda sana ubinafsi kwa kutamani kuishi tu akimpenda Baba wa mbinguni na kuwahudumia sana wanadamu wengine. Hivyo alikuwa na maombi mengi ili kujua mapenzi ya Mungu na kuyatenda.
Hisia zetu zinapotupelekea kuzini ni kwasababu ya ubinafsi wa kutaka kujiridhisha… tutamani kuishi kwaajili ya Mungu na kuwatumikia wengine tutashinda ubinafsi hatimaye uzinzi pia.
Kwa kusisitiza mwandishi mmoja anaitwa E.G.White anaandika ..”Our heavenly Father has a thousand ways to provide for us of which we know nothing. “MH 481.2 Naamini Mungu ana njia nyingi kusaidia kukidhi mahitaji yetu hata kukidhi hisia zetu kabla ya kuingia kwenye ndoa.
Angalizo: Hisia za mapenzi zinapokuja tusitafute njia yoyote kushindana nazo labda kwa kushiriki mapenzi kwa namna yoyote ile(kwa ambao hawako kwenye ndoa.) Hisia kamwe si za kudumu kwa utulivu baada ya muda fulani zinapotea tunarudi kuwa kawaida.
Tunayaweza yote( hata kushinda dhambi ya uzinzi) kupitia Mungu anayetutia nguvu. Mungu na atusaidie🙏.
Nipande ungo trans rapid transport nije 👀👀👀👀👀👀👀Hakuna show hata
Wengi lakini sio wote, ni bora nifate ushauri chanya niepukane na mengi acha niwe kati ya hao wachache😅🤝🏽
Wewe ni msabato?Angalau Seran umekuwa mwamanifu.Nashukuru pia nimepokea uzoefu na ushauri kutoka kwa watu mbalimbali naamini utanisaidia pia.
Binafsi nia yangu pia ni kuishi katika usafi bila kuzini🙏.
Nimejaribu kufatilia njia gani nitumie niweze kuwa mshindi katika hili… vita dhidi ya uzinzi na uasherati ni kali sana…
Kuwa na hisia kali za mapenzi naamini sio ugonjwa ni ishara kuwa afya ni njema na tukiona hisia zinakuwa kali yatupasa kumshukuru Mungu kwa kutupa zawadi hii.
Naamini moja ya njia ya muhimu ya kushinda hisia zinazotuelekeza kwenye uzinzi ni kumtumaini Mungu kwa moyo wote.
Binafsi nakiri wazi kuwa kushinda dhambi hii si rahisi kwetu lakini kwa Mungu ni rahisi sana. Hakika kushinda dhambi hii ya uzinzi ni neema ya Mungu pekee.”
“Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe;” tumtumaini Mungu hata wakati akili zetu hazielewi tutashindaje.Tusiwe na mashaka je kesho, mwakani je nitaweza kudumu kuwa mwaminifu bila kuzini..??? Kama leo ametuwezesha kuwa washindi kesho na kesho kutwa tutashinda pia.
Pia nimegundua dhambi zingine tunaweza kuomba tukazikemea na kushinda lakini katika uzinzi Biblia inasema yenyewe tusijadili nayo tuikimbie kabisa …”
Ikimbieni zinaa…. ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.”
Jambo la mwisho Yesu Kristo ndiye kielelezo pekee katika kushinda dhambi zote…”
“bali yeye alijaribiwa sawasawa na sisi katika mambo yote, bila kufanya dhambi.”
Yeye aliwezaje kushinda… kwa ufupi nikitazama maisha ya Yesu duniani alishinda sana ubinafsi kwa kutamani kuishi tu akimpenda Baba wa mbinguni na kuwahudumia sana wanadamu wengine. Hivyo alikuwa na maombi mengi ili kujua mapenzi ya Mungu na kuyatenda.
Hisia zetu zinapotupelekea kuzini ni kwasababu ya ubinafsi wa kutaka kujiridhisha… tutamani kuishi kwaajili ya Mungu na kuwatumikia wengine tutashinda ubinafsi hatimaye uzinzi pia.
Kwa kusisitiza mwandishi mmoja anaitwa E.G.White anaandika ..”Our heavenly Father has a thousand ways to provide for us of which we know nothing. “MH 481.2 Naamini Mungu ana njia nyingi kusaidia kukidhi mahitaji yetu hata kukidhi hisia zetu kabla ya kuingia kwenye ndoa.
Angalizo: Hisia za mapenzi zinapokuja tusitafute njia yoyote kushindana nazo labda kwa kushiriki mapenzi kwa namna yoyote ile(kwa ambao hawako kwenye ndoa.) Hisia kamwe si za kudumu kwa utulivu baada ya muda fulani zinapotea tunarudi kuwa kawaida.
Tunayaweza yote( hata kushinda dhambi ya uzinzi) kupitia Mungu anayetutia nguvu. Mungu na atusaidie🙏.
Imeandikwa nini kuhusu hao wahuni unaowaita wewe ni watumishi wa mungu ? Imeandikwa ni 👉 CHUKIZO LA UHALIBIFU LILILO SIMAMA PATAKATIFU...pia imeandikwa 👉Yesu akasema jihadhalini na mitume na manabij wa uongo ...siku hiyo watakuja kwangu na kusema bwana atukutoa pepo kwa jina lako na kwa jina lako kuponya na kufanya miujiza mingi ,Ndipo Yesu akawaambia wazi 👉ONDOKENI KWANGU NYINYI MTENDAO MAOVU .....tatizo lenu nyinyi wapumbavu wa makanisani na madhehebuni .....MNAJIDAI KUMJUA MUNGU HUKU MNAMKANUSHA SHETANI hayo unayo sema wewe ni ushahidi wa watu kama wewe... kusema Mungu yupo ila hakuna Shetani ....HIVYO UNAYO SEMA WEWE ITAKUWA KWELI TU KAMA HUYO MUNGU WAKO ALIKUFUNDISHA KUWA YEYE YUPO ILA SHETANI HAYUPO.Usimdharau Mungu kwa maneno ya kiburi. Mathayo 12:36 inasema kila neno lisilo na maana watu watalipa siku ya hukumu. Dhambi haikuwahi kuwa suluhisho, na kudhihaki watumishi wa Mungu si ushindi bali ni ushahidi wa mtu aliyepotea njia. Uvuguvugu si dini bali hali ya moyo. Yesu yupo hai, na bado anaokoa. Badilika kabla hukujuta.
Uzi ufungweee!!Uwe KE au ME kuishi bila kufanya ngono inawezekana na bila shida .
Nyegee hii hii au ipi? Au ndo kutofautiana vichocheo vyakee?Kama week ilopita kuna siku sijaenda job sikuwahi kujua kama nyeeege ni ugonjwa yaani
Ila kontena likijaa ni mtitiUwe KE au ME kuishi bila kufanya ngono inawezekana na bila shida .
Ila kontena likijaa ni mtiti
Sijakuelewa unaposema shetani hayupo! Kama hayupo tunamkemea nani na tunaomba ili iweje? Shetani yupo na ni adui, nadhani unajua matendo yake maovu ata bila kufundishwa, matendo mema tunayojifunza kutoka kwa neno la Mungu yanakukwaza wapi?Imeandikwa nini kuhusu hao wahuni unaowaita wewe ni watumishi wa mungu ? Imeandikwa ni 👉 CHUKIZO LA UHALIBIFU LILILO SIMAMA PATAKATIFU...pia imeandikwa 👉Yesu akasema jihadhalini na mitume na manabij wa uongo ...siku hiyo watakuja kwangu na kusema bwana atukutoa pepo kwa jina lako na kwa jina lako kuponya na kufanya miujiza mingi ,Ndioo Yesu akawaambia wazi 👉ONDOKENI KWANGU NYINYI MTENDAO MAOVU .....tatizo leni nyinyi wapumbavu wamakanisani na madhehebuni .....MNAJIDAI KUMJUA MUNGU HUKU MNAMKANUSHA SHETANI hayo unayo sema wewe ni ushahidi wa watu kama wewe kusema Mungu yupo ila hakuna Shetani ....HIVYO UNAYO SEMA WEWE YATAKUWA KWELI TU KAMA HUYO MUNGU WAKO ALIKUFUNDISHA KUWA YEYE YUPO ILA SHETANI HAYUPO.