Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

Nani amekudanganya kwamba wanawake ambao sio single hawashiriki uzinzi? Wengi wa married women wana michepuko yao. Single yeye hana michepuko—hizo ndiyo njia zake za kawaida, siku akiamua kutoka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…